Mbona wanafanana nayo usoniHonda N-Box ni moja ya best selling car Japan, na kuna miaka inampita hadi mkali wa miaka yote Toyota Corolla
Umetisha sana mkuu. Especially kwenye maelezo ya "Kei cars". Shukrani sana.Na udogo wake kina tech za gari kubwa za kisasa kama Collision Mitigation Braking System, Lane Keep Assist System...
Hii gari ipo kwenye group ya yale magari kwa huko Japan wanasema "Kei Car", ni magari madogo yaliyoainishwa rasmi na serikali ya Japan.
sifa zake ili kuwa Kei Car-
Engine isizidi 660cc...
Horsepower isizidi 64..
Urefu isizidi mita 3.4..
Upana usizidi mita 1.48...
Design ya hilo gari ni refu kwa kwenda juu na kwa ndani lina nafasi kubwa japo ni 'Kei car'..
Sasa tuangalie kwanini wajapan wanalipenda..
Kodi ndogo ya kila mwaka..
Gharama ndogo za bima..
Matumizi ya mafuta ni madogo..
Maegesho ni rahisi, na wakati mwingine hauna haja ya kuwa na kiwanja cha maegesho ili kusajili gari
Ada ya barabara (toll fees) inaweza kuwa ya chini...
Matengenezo ni rahisi na ya gharama ndogo....
Hivyo ni kigari flani licha ya kuwa ni Kei Car, lakini kina sifa za ziada kuzizidi Kei car zingine, hivyo kwa soko la Japan kinafanya vizuri sababu kubwa ikiwa ni Kei Car.. nothing else...
Wanapenda hut tugari tudogo kwa ajili ya kuepuka gharama za kodi, uendeshaji, kupark, ada ya barabara n.k
Ushuru si uwizi kbs huu wa waziUshuru nimeona 6m JP nakaona kwa $4000-$4500 CIF
Yeah gari economical ni chini ya cc 999.Na udogo wake kina tech za gari kubwa za kisasa kama Collision Mitigation Braking System, Lane Keep Assist System...
Hii gari ipo kwenye group ya yale magari kwa huko Japan wanasema "Kei Car", ni magari madogo yaliyoainishwa rasmi na serikali ya Japan.
sifa zake ili kuwa Kei Car-
Engine isizidi 660cc...
Horsepower isizidi 64..
Urefu isizidi mita 3.4..
Upana usizidi mita 1.48...
Design ya hilo gari ni refu kwa kwenda juu na kwa ndani lina nafasi kubwa japo ni 'Kei car'..
Sasa tuangalie kwanini wajapan wanalipenda..
Kodi ndogo ya kila mwaka..
Gharama ndogo za bima..
Matumizi ya mafuta ni madogo..
Maegesho ni rahisi, na wakati mwingine hauna haja ya kuwa na kiwanja cha maegesho ili kusajili gari
Ada ya barabara (toll fees) inaweza kuwa ya chini...
Matengenezo ni rahisi na ya gharama ndogo....
Hivyo ni kigari flani licha ya kuwa ni Kei Car, lakini kina sifa za ziada kuzizidi Kei car zingine, hivyo kwa soko la Japan kinafanya vizuri sababu kubwa ikiwa ni Kei Car.. nothing else...
Wanapenda hut tugari tudogo kwa ajili ya kuepuka gharama za kodi, uendeshaji, kupark, ada ya barabara n.k
Si bora nitumie tu boda mdogo mdogoLabda kwa siku 2.
Sedan ikiwa na engine ndogo yenye CC 650 itakuaje kwenye balance ya gari?Kwa nini gari zenye specs kama hizi zinakuwa hatchbacks zaidi na siyo sedans?