Honda na Nissan zaungana

Kwa soko la tz na Africa ni ngumu sana kumpoteza toyota, tayari amejikita mizizi kwa zaidi ya miaka 20 ijayo bado tutakuwa na circle ya magari ambayo yamekuwa imported muda huu. Mazda anafanya vizuri ila simuoni akimtikisa toyota.
Uko Sahihi, Toyota Africa ni nyumbani japo soko lenye faida zaidi kwa Toyota halipo Africa as Africa wengi wana nunua used cars. Tho target ya hoa magiant wilioungana ni kupoteza makampuni makubwa kwenye soko la dunia kama Toyota
 
Sahihi, japo BYD kutake over Africa inaweza kuchukua mda mrefu. Nadhani competition iko zaidi kwenye soko la dunia, ukizingatia wilioungana Wana majina na experience kwenye hii industrial, na target yenye faida zaidi ni Tier 1 & 2 countries na huko ndo Tesla na makampuni mengine kama ford yameweka target. In the long-run Toyota anaweza akawin hii battle au aka lose
 
Mwenye hisa kubwa atakuwa NISSAN, Huyo HONDA lini alianza kutengeneza magari? tujuavyo anatengeneza pikipiki
Aisee futa hii kitu haraka kabla hujakosolewa na kila mtu. Maana kupuyanga na kuchochoa, huwa kunatokea wakati fulani.
 
Ukiwa Africa Tanzania unajuwa gari ni Toyota tu,upo sahihi kutokana na maono ya kariakoo .. jaribu kuvuka mpaka hata kwa madiba tu.
Aende tu hapo Malawi aone Honda zilivo nyingi.. watumiaji wa IST pata bongo ni watumiaji wa HONDA FREED Malawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…