Honda na Nissan zaungana

Honda na Nissan zaungana

Kwa soko la tz na Africa ni ngumu sana kumpoteza toyota, tayari amejikita mizizi kwa zaidi ya miaka 20 ijayo bado tutakuwa na circle ya magari ambayo yamekuwa imported muda huu. Mazda anafanya vizuri ila simuoni akimtikisa toyota.
Uko Sahihi, Toyota Africa ni nyumbani japo soko lenye faida zaidi kwa Toyota halipo Africa as Africa wengi wana nunua used cars. Tho target ya hoa magiant wilioungana ni kupoteza makampuni makubwa kwenye soko la dunia kama Toyota
 
Yes sahihi kabisa ndio maana nikasema kuwa ni swala la kujua jinsi ya kucheza karata ndo maana nikaandika kuwa hata toyota wakiona kuna unafuu wa gharama na uwezekano wa kupiga pesa kupitia merging au kutumia "enginereing design" ya brand zingine anafanya hivyo.. mfano sasa hivi china anasumbua industry ya magari sababu ya uwezo wao wa kutengeneza gari kwa gharama nafuu na nguvu kazi .. hasa kwenye EV.. so kampuni badala ya kampuni za nje zimeamua kuingia JV na local companies za china ili kupush brand zao mfano FAW MOTORS (FAW) ya china ana JV na toyota wanatengeneza corrola Models na kuziuza china na masoko jiran kupitia FAW TOYOTA MOTORS LTD pia at the same time hao hao FAW wana JV na Audi, Mazda na VW pia kutengeneza baadhi ya Model ya gari zao kuziuza kwenye soko la china

Huku kwenye EV, kampuni ya BYD amekimbiza sana na EV zake kamzidi hadi tesla.. Toyota akaona kwenye EV sio tu uwekezaji mkubwa bali na mda pia so kaamua kuingia joint na BYD kwenye EV hii inamanisha nini inamaanisha kuwa BYD tayar ana miziz kwenye EV so Toyota hana haja ya kuwekeza kwenye research na mda ili aje na vya kwake simply anaweka proposal mezani kwa BYD kuwa yeye BYD atanufaika kutumia platform ya Toyota worldwide kwa kujitanua kuuza gari zake EV huku. Huku Toyota akinufaika na well proven teknoloji ya EV za BYD na wataanza kutoa EV za toyota ambazo simply ni rebadged BYD EV kisha toyota wanaanza kuzisukuma kwenye masoko yake mfano afrika kama Toyota EV

Maana yake Hautakuja kukuta BYD EV zikauzwa Afrika kama BYD ila ni kama Toyota
Sahihi, japo BYD kutake over Africa inaweza kuchukua mda mrefu. Nadhani competition iko zaidi kwenye soko la dunia, ukizingatia wilioungana Wana majina na experience kwenye hii industrial, na target yenye faida zaidi ni Tier 1 & 2 countries na huko ndo Tesla na makampuni mengine kama ford yameweka target. In the long-run Toyota anaweza akawin hii battle au aka lose
 
Mwenye hisa kubwa atakuwa NISSAN, Huyo HONDA lini alianza kutengeneza magari? tujuavyo anatengeneza pikipiki
Aisee futa hii kitu haraka kabla hujakosolewa na kila mtu. Maana kupuyanga na kuchochoa, huwa kunatokea wakati fulani.
 
Ukiwa Africa Tanzania unajuwa gari ni Toyota tu,upo sahihi kutokana na maono ya kariakoo .. jaribu kuvuka mpaka hata kwa madiba tu.
Aende tu hapo Malawi aone Honda zilivo nyingi.. watumiaji wa IST pata bongo ni watumiaji wa HONDA FREED Malawi.
 
Mwenye hisa kubwa atakuwa NISSAN, Huyo HONDA lini alianza kutengeneza magari? tujuavyo anatengeneza pikipiki
Screenshot_20241229-190928.jpg
 
Back
Top Bottom