Hong Kong yaandaa mapambo maalumu ya mji kukaribisha miaka 25 tangu irudi China

Hong Kong yaandaa mapambo maalumu ya mji kukaribisha miaka 25 tangu irudi China

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
VCG111385544425.jpg

Hivi karibuni mitaa na majengo mengi maarufu huko Hong Kong yamepambwa na bendera ya taifa la China na bendera ya mkoa huo huku shughuli mbalimbali za kusherehekea miaka 25 tangu Hong Kong irudi China, ikiwemo maonyesho ya taa za LED.

VCG111388699395.jpg

VCG111388638412.jpg
VCG111385544425.jpg
VCG111388699395.jpg
VCG111388638412.jpg
 
Hong Kong imerudi nyuma sana baada ya kujiunga na China hata demokrasia hakuna wamekuwa na utawala wa kidikteta tu mithili ya China.
Kwahiyo China hakuna demokrasia au umechanganya kati ya demokrasia na uhuru wa kujiamulia mambo ya hovyohovyo.Maana kule western countries wenzetu hata ndoa za jinsia moja wanaita ni demokrasia...
 
Takwimu ndo inahitajika sio maneno
Takwimu gani unataka wewe, akina Magufuli na ccm kwa ujumla wamekuwa na hizo unazoita takwimu za uongo kwa muda mrefu na nchi ndio inazidi kuparara kila siku.
 
Takwimu gani unataka wewe, akina Magufuli na ccm kwa ujumla wamekuwa na hizo unazoita takwimu za uongo kwa muda mrefu na nchi ndio inazidi kuparara kila siku.
Mbona blah blah ndugu? Unaongea bila fact tatizo
 
Back
Top Bottom