CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kila siku zinavyokwenda unazidi kudhihirisha kuwa umefilisika kifikra. Lina hasara tumbo lililokubeba kwa miezi 9Kwenye kongamano la TLS umeonyesha kuwa Jeshi la polisi na askari polisi wana upeo, wamekwenda shule na wana weledi wa mambo. Umeweza kukabili hadhira ambayo ina uadui na taasisi yako na bado ume deliver. Ipelelezi ni sayansi na hauwezi kuendeshwa kwa ushabiki maandazi.
Hongera tena.
Kwenye kongamano la TLS umeonyesha kuwa Jeshi la polisi na askari polisi wana upeo, wamekwenda shule na wana weledi wa mambo. Umeweza kukabili hadhira ambayo ina uadui na taasisi yako na bado ume deliver. Ipelelezi ni sayansi na hauwezi kuendeshwa kwa ushabiki maandazi.
Hongera tena.
Bahati mbaya na watoto kama walimsikia,wanaona kabisa baba alivyo...!Muliro ange spend tu weekend yake sehemu nyingine kuliko kwenda kwenye kongamano....amejidhalilisha sana yeye pamoja na jeshi lake la polisi...damu za watu siyo maji ndugu zangu
Subiri siku mumeo akitekwa ndiyo uji upongezeKwenye kongamano la TLS umeonyesha kuwa Jeshi la polisi na askari polisi wana upeo, wamekwenda shule na wana weledi wa mambo. Umeweza kukabili hadhira ambayo ina uadui na taasisi yako na bado ume deliver. Upelelezi ni sayansi na hauwezi kuendeshwa kwa ushabiki maandazi.
Hongera tena.
Huyu shetani anadhani yupo salama sn kuwa upande wa uovuMleta mada siyo wa kwanza kuwa upande wa uovu, maana hata shetanI ana wafuasi
Subiri siku mumeo atekwe ndiyo uji uandike ujinga wako hapaAise huyu AFANDE MULIRO yuko vizuri sana. Mstaarabu ni ametulia sana. He is very wise,mature as well.
Tena wanalalamika hao!Kila mitandao ataingia ili aonewe huruma hata Forbes atataka wajue.Subiri siku mumeo atekwe ndiyo uji uandike ujinga wako hapa
Watu wanaopamba ujinga kwa kweli ukienda hospital ya Mirembe,utaambiwa wapimwe hatoki mtu!Alichapwa maswali mazito kuhusu Sativa akaanza kutumbua macho ya vitisho, akarusha taulo eti kwa swala la sativa niishie hapa
Hatari snTena wanalalamika hao!Kila mitandao ataingia ili aonewe huruma hata Forbes atataka wajue.
sasa mtu kasema alibebwa na washkaji, huwezi kuwa na mshikaji ambaye humjui, sativa aeleze tu wazi kuwa alikula vya watuKiukweli afande Muliro alijibu maswali kisomi na kitaalamu japokuwa alitegeka kwenye issue ya washikaji kumpeleka Sativa kituoni.Hao washikaji ni wakina nani?Tunasubiri upelelezi wa shauri hilo anadai Muliro Tuesday Muliro.
Mtu mzima anayekaribiabkustaafu na kurudi uraiani ,Halafu anaongea pumba za mchele Aibu sana.wanakufa kihoro uraiani Hata kujichanganya wanaona haya .Nipomdharau ni pale alipodai polisi ndio walimuokoa SATIVA.
Nini maana ya kumuokoa mtu wakati wasamalia wema ndio walimchukua na kumpeleka hospitali?.
Na huo ndo ukweli, walijipanga wenyewe eti wamyumbishe kwa kumtumia mwendesha kipindi chao waliyemuandaa lakini wapi.......mwamba alikomaa na alikuwa ngangari kweli kweli. Aliwapa ukweli 'live' na umewaingia kweli.kawakabili wale jamaa wanajiitaga wasomi. kawatoa knock out
Ukiwa nyumbu si rahisi kumuelewa muliro sababu yeye anaongea kitaalamu na si kimihemko ya kilema lema au kilisulisuNipomdharau ni pale alipodai polisi ndio walimuokoa SATIVA.
Nini maana ya kumuokoa mtu wakati wasamalia wema ndio walimchukua na kumpeleka hospitali?.
Watu kama Nyie hamkosekani katika hii Dunia ila hamna Cha maana,mawazo yenu yapotea kama mavi ,hakuna wa kuwakumbuka,Bora ukose mtoto kuliko hivi.Na huo ndo ukweli, walijipanga wenyewe eti wamyumbishe kwa kumtumia mwendesha kipindi chao waliyemuandaa lakini wapi.......mwamba alikomaa na alikuwa ngangari kweli kweli. Aliwapa ukweli 'live' na umewaingia kweli.
Walipoona jamaa amewafunika kipoints, wakakimbilia jukwaani humu haraka kuanzisha viuzi vye vichwa vikuuubwa vinavyotisha....oh, muliro achanganya habari! Oh, muliro ashindwa --- na ----. Nilipoenda kuangalia Yale mahojiano yake ya dakika kama 28 hivi; naona mwamba kumbe alisimama vema kabisa. Na kwamba kumbe ni nyumbu ndio waliochemka.
Ujumbe huo pia uwafikie nyie nyumbu kama vinavyokuonyesha hivyo vidole vyako vitatuWatu kama Nyie hamkosekani katika hii Dunia ila hamna Cha maana,mawazo yenu yapotea kama mavi ,hakuna wa kuwakumbuka,Bora ukose mtoto kuliko hivi.