Hongera Afande Muliro

Hongera Afande Muliro

Kwenye kongamano la TLS umeonyesha kuwa Jeshi la polisi na askari polisi wana upeo, wamekwenda shule na wana weledi wa mambo. Umeweza kukabili hadhira ambayo ina uadui na taasisi yako na bado ume deliver. Ipelelezi ni sayansi na hauwezi kuendeshwa kwa ushabiki maandazi.
Hongera tena.
Kila siku zinavyokwenda unazidi kudhihirisha kuwa umefilisika kifikra. Lina hasara tumbo lililokubeba kwa miezi 9
 
Kwenye kongamano la TLS umeonyesha kuwa Jeshi la polisi na askari polisi wana upeo, wamekwenda shule na wana weledi wa mambo. Umeweza kukabili hadhira ambayo ina uadui na taasisi yako na bado ume deliver. Ipelelezi ni sayansi na hauwezi kuendeshwa kwa ushabiki maandazi.
Hongera tena.

Umesahau ya kwako na Rwakatale au?????
 
Muliro ange spend tu weekend yake sehemu nyingine kuliko kwenda kwenye kongamano....amejidhalilisha sana yeye pamoja na jeshi lake la polisi...damu za watu siyo maji ndugu zangu
Bahati mbaya na watoto kama walimsikia,wanaona kabisa baba alivyo...!
 
Kwenye kongamano la TLS umeonyesha kuwa Jeshi la polisi na askari polisi wana upeo, wamekwenda shule na wana weledi wa mambo. Umeweza kukabili hadhira ambayo ina uadui na taasisi yako na bado ume deliver. Upelelezi ni sayansi na hauwezi kuendeshwa kwa ushabiki maandazi.
Hongera tena.
Subiri siku mumeo akitekwa ndiyo uji upongeze
 
Muliro ameonyesha uwezo mkubwa sana kwa wanaojua hii kazi.
Ameonyesha vile hajawa pale kwa bahati mbaya.
Ameonyesha vile mambo ya kiuchunguzi yanashughulikiwa vipi na sio kwa mihemko.
Jeshi lina misingi na taratibu zake,haliwezi kufuata maneno ya mitandaoni kufanya utekelezaji wake.
Hukuonyesha mzaha hata kidogo wala kutaka kupigiwa makofi, hiki ndio moja kati ya vichwa makini vya jeshi la Polisi.
 
Kiukweli afande Muliro alijibu maswali kisomi na kitaalamu japokuwa alitegeka kwenye issue ya washikaji kumpeleka Sativa kituoni.Hao washikaji ni wakina nani?Tunasubiri upelelezi wa shauri hilo anadai Muliro Tuesday Muliro.
sasa mtu kasema alibebwa na washkaji, huwezi kuwa na mshikaji ambaye humjui, sativa aeleze tu wazi kuwa alikula vya watu
 
Nipomdharau ni pale alipodai polisi ndio walimuokoa SATIVA.
Nini maana ya kumuokoa mtu wakati wasamalia wema ndio walimchukua na kumpeleka hospitali?.
Mtu mzima anayekaribiabkustaafu na kurudi uraiani ,Halafu anaongea pumba za mchele Aibu sana.wanakufa kihoro uraiani Hata kujichanganya wanaona haya .
 
kawakabili wale jamaa wanajiitaga wasomi. kawatoa knock out
Na huo ndo ukweli, walijipanga wenyewe eti wamyumbishe kwa kumtumia mwendesha kipindi chao waliyemuandaa lakini wapi.......mwamba alikomaa na alikuwa ngangari kweli kweli. Aliwapa ukweli 'live' na umewaingia kweli.

Walipoona jamaa amewafunika kipoints, wakakimbilia jukwaani humu haraka kuanzisha viuzi vye vichwa vikuuubwa vinavyotisha....oh, muliro achanganya habari! Oh, muliro ashindwa --- na ----. Nilipoenda kuangalia Yale mahojiano yake ya dakika kama 28 hivi; naona mwamba kumbe alisimama vema kabisa. Na kwamba kumbe ni nyumbu ndio waliochemka.
 
Watu kama Nyie hamkosekani katika hii Dunia ila hamna Cha maana,mawazo yenu yapotea kama mavi ,hakuna wa kuwakumbuka,Bora ukose mtoto kuliko hivi.
 
Back
Top Bottom