KENGE 01
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 1,705
- 4,217
Sote tunajua juhudi zinazofanywa/zilizofanywa na Azam kwa ujumla. Nipo nchini burundi kisumbusi chao pendwa ni Azam na sasa Azam imeingia Kenya kwa Ruto kwa kasi ya ajabu.
Ligi ya Kenya ni nzuri sana tena pengine zaidi ya NBC PL kama watapata muamko wa kushabikia team zao naamini watatuacha mbali sana tena sana.
Sasa msiache kutuwekea mtangazaji mwenye lafudhi ya kikenya kama DJ Afro mechi itakua na mzuka sana, imagine commentator kama DJ Afro.
".....Sijui Mambo gani ako anafanya Omera..Onyango anapatia pasi Ogutu..Odhiambo anakwendaa paleeee..anapita kameta kama Stima vile inawaka kwa nyumba...Tonui anapress kwa ololo washalalaaaa chekshia manenoooo GOOOOOOO........"
Anyway sijajua wataweka Commentator wa lugha gani lakini mkiweka mwenye Kiswahili fasaha cha Tanzania kama kina Mpenja itakua hainogi kama mkiweka Wakenya wakenya wenyewe.
Kisimbuzi kinachoongoza KE kwasasa ni DSTV lakini wao wamekua wakilalamika juu ya bei kubwa ya vifurushi kwani kifurushi cha chini ni 3500/ ksh (60k Tsh).
Vilevile Startimes ni ya hukohuko kwao lakini hii aiwezi kuwasumbua. Kwanza startimes washenzi sana kwenye matangazo wanakwambia wanaonesha na EPL lakini ukilipia ndo unajua kuwa ni wapigaji si bora Azam kuna baadhi ya mechi za EPL wanaonesha ila kwa siri sana kwani ni kinyume na sheria kabsaa
Sasa mnapambana na miamba DSTV ambao wanaonesha ligi kama 5+ za Africa+EPL,UCL na zote Ulaya na juzi waliongeza ligi ya Ethiopia wanaonesha South Africa PL, Ghana, Egypt n.k.
Ushauri mwingine wa ziada wahini kununua Kibali cha Ligi ya Uarabuni kwasababu msimu ujao Messi lazima aende huko kwa hiyo Media lazima zioneshe Ligi hiyo yenye Ronaldo na Messi na Pitso Mosimane na team yake. Hakika ligi ya Saudi Arabia itaongezeka mvuto na vibali vitakua juu sana kwa wateja wapya.
Once again, hongera sana Azam licha ya kuwa mnapigwa sana vita hapa nyumbani (Hasa hapahapa JF) akini hayo hayajawatoa relini na kuzidi kuchapa kazi.