Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam hawaonyesh EPL kwa siri...zile mechi huwa ni za free..yan ligi ya uingereza huwa kuna mechi huwa zinaruhusiwa kurushwa free ili ku ipromote ligi yao..na ndo hizo huwa zinarushwa na azam kupitia UTVSote tunajua juhudi zinazofanywa/Zilizofanywa na AZAM kwa ujumla.Nipo nchini burundi king'amuzi chao pendwa ni AZAM na sasa Azam imeingia KENYA kwa Ruto kwa kasi ya ajabu.
Ligi ya Kenya ni nzuri sana tena pengine zaidi ya NBC PL kama watapata muamko wa kushabikia team zao naamini watatuacha mbali sana tena sana
Sasa msiache kutuwekea mtangazaji mwenye lafudhi ya kikenya kama DJ Afro mechi itakua na mzuka sana..imagine commentator kama DJ Afro
".....Sijui Mambo gani ako anafanya Omera..Onyango anapatia pasi Ogutu..Odhiambo anakwendaa paleeee..anapita kameta kama Stima vile inawaka kwa nyumba...Tonui anapress kwa ololo washalalaaaa chekshia manenoooo GOOOOOOO........"
Anyway sijajua wataweka Commentator wa lugha gani lakini mkiweka mwenye kiswahili fasaha cha TZ kama kina Mpenja itakua hainogi kama mkiweka wakenya wakenya wenyewe
King'amuzi kinachoongoza KE kwasasa ni DSTV lakini wao wamekua wakilalamika juu ya bei kubwa ya vifurushi kwani kifurushi cha chini ni 3500/ ksh (60k Tsh)
Vilevile Startimes ni ya hukohuko kwao lakini hii aiwezi kuwasumbua.Kwanza startimes washenzi sana kwenye matangazo wanakwambia wanaonesha na EPL lakini ukilipia ndo unajua kuwa ni wapigaji si bora Azam kuna baadhi ya mechi za EPL wanaonesha ila kwa siri sana kwani ni kinyume na sheria kabsaa
Sasa mnapambana na miamba DSTV ambao wanaonesha ligi kama 5+ za Africa+EPL,UCL na zote ulaya na juzi waliongeza ligi ya Ethiopia wanaonesha S.Africa PL,Ghana,Egypt n.k
Ushauri mwingine wa ziada wahini kununua kibali cha ligi ya uarabuni kwasababu msimu ujao Messi lazima aende huko kwahyo Media lazima zioneshe Ligi hyo yenye Ronaldo na Messi na Pitso Mosimane na team yake..hakika ligi ya saudi Arabia itaongezeka mvuto na vibali vitakua juu sana kwa wateja wapya..
Once again,Hongera sana Azam Licha ya kuwa mnapigwa sana vita hapa nyumbani(Hasa hapahapa JF)Lakini hayo hayajawatoa relini na kuzidi kuchapa kazi...!!
Wakienda uingereza njoo unitag.. maskini wanaishi na maskini wenzao....YANI WANAACHA EPL WANAHANGAIKA NA UJINGA WA MCHANGANI KENYA .kpl
NENDENI UINGEREZA.
Azam TV hakuna siku watakuja kunishawishi ninunue king'amuzi chao nikiwa Tanzania.. napenda ubora zaidi wa king'amuzi cha DSTV kuanzia contents mpaka ubora wa picha.. Azam TV nooooo! mpaka mwishoSote tunajua juhudi zinazofanywa/Zilizofanywa na AZAM kwa ujumla.Nipo nchini burundi king'amuzi chao pendwa ni AZAM na sasa Azam imeingia KENYA kwa Ruto kwa kasi ya ajabu.
Ligi ya Kenya ni nzuri sana tena pengine zaidi ya NBC PL kama watapata muamko wa kushabikia team zao naamini watatuacha mbali sana tena sana
Sasa msiache kutuwekea mtangazaji mwenye lafudhi ya kikenya kama DJ Afro mechi itakua na mzuka sana..imagine commentator kama DJ Afro
".....Sijui Mambo gani ako anafanya Omera..Onyango anapatia pasi Ogutu..Odhiambo anakwendaa paleeee..anapita kameta kama Stima vile inawaka kwa nyumba...Tonui anapress kwa ololo washalalaaaa chekshia manenoooo GOOOOOOO........"
Anyway sijajua wataweka Commentator wa lugha gani lakini mkiweka mwenye kiswahili fasaha cha TZ kama kina Mpenja itakua hainogi kama mkiweka wakenya wakenya wenyewe
King'amuzi kinachoongoza KE kwasasa ni DSTV lakini wao wamekua wakilalamika juu ya bei kubwa ya vifurushi kwani kifurushi cha chini ni 3500/ ksh (60k Tsh)
Vilevile Startimes ni ya hukohuko kwao lakini hii aiwezi kuwasumbua.Kwanza startimes washenzi sana kwenye matangazo wanakwambia wanaonesha na EPL lakini ukilipia ndo unajua kuwa ni wapigaji si bora Azam kuna baadhi ya mechi za EPL wanaonesha ila kwa siri sana kwani ni kinyume na sheria kabsaa
Sasa mnapambana na miamba DSTV ambao wanaonesha ligi kama 5+ za Africa+EPL,UCL na zote ulaya na juzi waliongeza ligi ya Ethiopia wanaonesha S.Africa PL,Ghana,Egypt n.k
Ushauri mwingine wa ziada wahini kununua kibali cha ligi ya uarabuni kwasababu msimu ujao Messi lazima aende huko kwahyo Media lazima zioneshe Ligi hyo yenye Ronaldo na Messi na Pitso Mosimane na team yake..hakika ligi ya saudi Arabia itaongezeka mvuto na vibali vitakua juu sana kwa wateja wapya..
Once again,Hongera sana Azam Licha ya kuwa mnapigwa sana vita hapa nyumbani(Hasa hapahapa JF)Lakini hayo hayajawatoa relini na kuzidi kuchapa kazi...!!
Yaccine tv sio app uchwara😀Kisirisiri sana ni kama sisi tunaostream online kwenye viAPP uchwara hapo wakiripotiwa wanaweza kupigwa faini mpaka wachanganyikiwe
Walianzaga tena muda sana kama hio ni 2013 na hd ya dstv imetulia kuliko ya azam.... Na ligi yao bado haikuweza kua maarufu kama ligi ya bongoAcha siasa bwana wee kama ipo basi sio HD dstv hawahawa kabsa waoneshe ligi ya KE.
Machaguo ya resolutionApp uchwara inakipi cha ajabu
~Inachelewa dakika nyingi sana hata ukiweka resolution ya chini kabsa ile 230 quality game inachelewa dakika 3-5 nyumaMachaguo ya resolution
Ubora wa picha na sauti
Mechi nyingi (karibu zote)
Channel nyingine za movie nk
Hakuna matangazo mengi wala buffering
Una uhakika huyo RUTO hayupo kwenye biashara. Wake up buda RUTO owns pesa chafu than any other EAST AFRICAN citizen.Uhuru hakuwa huru kwa Wafanyabiashara wa Tz, alikiwaogopa. Entrance ya Azam Kenya isingewezekana wakati wa Uhuru Kenyatta
Angalia hata Taifa Gas ilipata usumbufu sana kuingia Kenya ila baada ya kuingia Ruto shughuli ikawa nyepesi sana
Wakati mwingine wanasiasa wakiingia kwenye biashara kunakuwa na matatizo