Hongera Azam kwa kuanza kuonesha Ligi ya Kenya mtafika mbali. Commentator awe na lafudhi yao kama DJ Afro

Hongera Azam kwa kuanza kuonesha Ligi ya Kenya mtafika mbali. Commentator awe na lafudhi yao kama DJ Afro

who will finance the Kenya leagues . Kenya are not football fans . Check the national team .
Kwasababu ligi yao pia imebase kwenye ukabila ndo maana wengi wanajionea bora wajisumbue na ligi za nje kuliko ligi ya kenya
 
Wewe ndo utakua mgeni wa mpira sasa kwani kabla ya Azam kurusha Live mpira wa bongo ulikuaje?? Mechi kati ya Lipuli na mgambo jkt inachezwa nje uwanja wa nyamagana mwanza ulikua hovyo kabsa Nani alijivunia Ligi ya bongo nje ya (Simba na Yanga)???

Nikuhakikishie KE wanaligi nzuri mno na wachezaji wazuri mno sasa Ligi yao imeanza Kurushwa kwa HD tena Live wataipenda tu na kuwekeza huko

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hakuna ligi inayoifikia ligi ya tz hapa cecafa,acha ujinga
 
EPL hutoa game moja free kila weekend kwa tv za ndani,hivi app gani inaonesha mipira siku hz!?..maana hesgoal washapita nayo
Game free??jichanganye

App ziko nyingi mno
Yalla sports
Yacinne TV
Football live HD
N.k
zote playstore unazipata
 
Dstv ameonyesha mara nyingi ligi ya kenya kuliko ligi ya bongo na bado haikukua,,,,,........ Ligi ya Kenya ipo DSTV muda sana
Acha siasa bwana wee kama ipo basi sio HD dstv hawahawa kabsa waoneshe ligi ya KE.
 
Umedanganya. Kifurushi cha chini dstv Kenya ni 500ksh. Msemo wa dunia kijiji kwako haujafika?
 
Kisirisiri sana ni kama sisi tunaostream online kwenye viAPP uchwara hapo wakiripotiwa wanaweza kupigwa faini mpaka wachanganyikiwe
Ipigwe faini na nani?
Kwa wiki kuna free match moja EPL na kwa E.A wanarusha K24, NTV Uganda na hao UTV
 
Back
Top Bottom