Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Kwasababu ligi yao pia imebase kwenye ukabila ndo maana wengi wanajionea bora wajisumbue na ligi za nje kuliko ligi ya kenyawho will finance the Kenya leagues . Kenya are not football fans . Check the national team .
Hakuna ligi inayoifikia ligi ya tz hapa cecafa,acha ujingaWewe ndo utakua mgeni wa mpira sasa kwani kabla ya Azam kurusha Live mpira wa bongo ulikuaje?? Mechi kati ya Lipuli na mgambo jkt inachezwa nje uwanja wa nyamagana mwanza ulikua hovyo kabsa Nani alijivunia Ligi ya bongo nje ya (Simba na Yanga)???
Nikuhakikishie KE wanaligi nzuri mno na wachezaji wazuri mno sasa Ligi yao imeanza Kurushwa kwa HD tena Live wataipenda tu na kuwekeza huko
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
EPL hutoa game moja free kila weekend kwa tv za ndani,hivi app gani inaonesha mipira siku hz!?..maana hesgoal washapita nayoKisirisiri sana ni kama sisi tunaostream online kwenye viAPP uchwara hapo wakiripotiwa wanaweza kupigwa faini mpaka wachanganyikiwe
Game free??jichanganyeEPL hutoa game moja free kila weekend kwa tv za ndani,hivi app gani inaonesha mipira siku hz!?..maana hesgoal washapita nayo
Yacine inasumbua sanaGame free??jichanganye
App ziko nyingi mno
Yalla sports
Yacinne TV
Football live HD
N.k
zote playstore unazipata
Duu jau.Za ndani nakupa
Azam,Startimes na Dstv wakishirikiana na TCRA walikiripoti king'amuzi hiko hvyo kinapigwa vita balaa na ukikamatwa unauza faini yake hutoamini btw Canal+ wanatangaza kwa kifaransa
Natanguliza shukraniTeh inachelewa dakika 5 nyuma
Ngoja nikutaftie link kuna moja inaitwa Football live HD ni balaa bando lako tu
Hizo ndio level zao,na iwapo wangeweza kuonyesha epl,la liga na serie a bei ya vifurushi vyao vingeizidi dstvYANI WANAACHA EPL WANAHANGAIKA NA UJINGA WA MCHANGANI KENYA .kpl
NENDENI UINGEREZA.
Kenyans are very good football fans. Unfortunately they don't support their local league.who will finance the Kenya leagues . Kenya are not football fans . Check the national team .
Ipigwe faini na nani?Kisirisiri sana ni kama sisi tunaostream online kwenye viAPP uchwara hapo wakiripotiwa wanaweza kupigwa faini mpaka wachanganyikiwe