Hongera Azam kwa kuanza kuonesha Ligi ya Kenya mtafika mbali. Commentator awe na lafudhi yao kama DJ Afro

Azam hawaonyesh EPL kwa siri...zile mechi huwa ni za free..yan ligi ya uingereza huwa kuna mechi huwa zinaruhusiwa kurushwa free ili ku ipromote ligi yao..na ndo hizo huwa zinarushwa na azam kupitia UTV
 
Azam hawaonyesh EPL kwa siri...zile mechi huwa ni za free..yan ligi ya uingereza huwa kuna mechi huwa zinaruhusiwa kurushwa free ili ku ipromote ligi yao..na ndo hizo huwa zinarushwa na azam kupitia UTV
Kumbe!!
 
Azam TV hakuna siku watakuja kunishawishi ninunue king'amuzi chao nikiwa Tanzania.. napenda ubora zaidi wa king'amuzi cha DSTV kuanzia contents mpaka ubora wa picha.. Azam TV nooooo! mpaka mwisho
 
Acha siasa bwana wee kama ipo basi sio HD dstv hawahawa kabsa waoneshe ligi ya KE.
Walianzaga tena muda sana kama hio ni 2013 na hd ya dstv imetulia kuliko ya azam.... Na ligi yao bado haikuweza kua maarufu kama ligi ya bongo
Kagere jina limekuja kua kubwa sana alipotua Simba.... Kipindi yupo GorMahia walikua wanamjua wajaluo tu
 
App uchwara inakipi cha ajabu
Machaguo ya resolution
Ubora wa picha na sauti
Mechi nyingi (karibu zote)
Channel nyingine za movie nk

Hakuna matangazo mengi wala buffering
 
Machaguo ya resolution
Ubora wa picha na sauti
Mechi nyingi (karibu zote)
Channel nyingine za movie nk

Hakuna matangazo mengi wala buffering
~Inachelewa dakika nyingi sana hata ukiweka resolution ya chini kabsa ile 230 quality game inachelewa dakika 3-5 nyuma

~Lugha gani ile
 
Ukiachilia mbali ukweli kwamba Azam kafanya kazi kubwa sana kuinua ligi ya Bongo ila Tanzania pia ilikua ready kwa maendeleo hayo ,

Kwanza kabisa watanzania hawakua waki idharau ligi ya ndani kama jinsi wakenya wanavyo idharau ligi yao , so azam ali panda mbegu sehem yenye rutuba tayari

Pili Tanzania hakuna matabaka , kama yapo ni madogo sana , matabaka kama ya ukabila / udini hii inafanya suala la kuwaunganisha mashabiki kwenye soka kua rahisi sana ila kenya kuna battle la wao kwa wao ndani ,

Peace , uwepo wa amani na utulivu umefanya ukuaji wa soka la nchi ya Tanzania kua rahisi sababu hata wachezaji wa kigeni wanakua wame relax wanapo kua Tanzania , wengine wame chukua Uraia kabisa , sababu ya amani ,

Mwisho ni ubora wa miundo mbinu , ya soka , wakati azam anaanza kubroadcast ligi ya tz miundo mbinu haikua mizuri kama ya sasa , ila haikua mibovu kama ilivyo ya Kenya leo!

Ligi ya kenya kuwa level ya ligi ya Tz ya sasa ni swala gumu sana japo lina wezekana , DSTV mwenyewe ime mshinda hiyo ligi,.
 
Uhuru hakuwa huru kwa Wafanyabiashara wa Tz, alikiwaogopa. Entrance ya Azam Kenya isingewezekana wakati wa Uhuru Kenyatta
Angalia hata Taifa Gas ilipata usumbufu sana kuingia Kenya ila baada ya kuingia Ruto shughuli ikawa nyepesi sana
Wakati mwingine wanasiasa wakiingia kwenye biashara kunakuwa na matatizo
 
Una uhakika huyo RUTO hayupo kwenye biashara. Wake up buda RUTO owns pesa chafu than any other EAST AFRICAN citizen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…