Hongera BAVICHA na BAWACHA mmefanya kazi nzuri matunda tunayaona

Hongera BAVICHA na BAWACHA mmefanya kazi nzuri matunda tunayaona

Wimbo wa Kampeni2020 : Aiyaya CHADEMA Taifa

Wote CHADEMA, Dodoma CHADEMA, Morogoro CHADEMA, Mara we CHADEMA ......Kilimanjaro hi, Kura zote CHADEMA..

 
Shinyanga Mjini
Tanzania

Salome Makamba achanja mbuga Shinyanga mjini



Mgombea ubunge kupitia CHADEMA 2020 Salome Makamba anaendelea na kampeni huku akipokewa vizuri na wananchi
 
Bunda mjini, Mara
Tanzania

MOTO WA ESTER BULAYA JIMBO LA BUNDA SIO WA KITOTO

 
BREAKING NEWS
LISSU , MBOWE HALI SI SHWALI CHADEMA

Habari kutoka vyanzo vya ndani zinaeleza kuwa mambo sio shwari ndani ya CHADEMA kufuatia Mwenyekiti Freeman Mbowe kushawishi Kamati Kuu ikubali hukumu ya Kamati ya Maadili kinyume na mapendekezo ya Lissu aliyetaka CHADEMA isikubaliane na itangaze mgogoro.

Wadadisi wa mambo wanadai kuwa chama hicho kwasasa kinasumbuliwa na mambo mawili; kwanza ni Mbowe anahofia umaarufu wa Lissu kwa upande mmoja na Lissu kutokumuamini Mbowe kwa upande wa pili kiasi ameshindwa kumweleza wadau wa nje wanaoleta pesa za kampeni ni akina nani kitu ambacho Mbowe anaona nikama anazungukwa kama Mwenyekiti.

KIBARUA KIMEANZA KUOTA NYASI[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Endeeleni kupambana
IMG_20201006_155953_196.jpg


Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Kampeni za uchaguzi mkuu 2020 BAVICHA sasa inashiriki vilivyo

 
Mambo makubwa mwaka huu wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 vijana na kinamama wamejitokeza kwa kujiamini



UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU
 
Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
 
10 October 2020
Iringa, Tanzania

Vijana wakumbushwa wakapige kura

 
Nafurahi kusoma mnajipongeza.. kutiana moyo hata pale.. inajulikana ushindi sio wao.. ni kitu nzuri kusanaaaa..

Tabu munasahau.. kizuri haki_____.

Musubiri nane mbili.. picha mutaiwona.. ila [emoji1787][emoji1787][emoji1787].. muwanze [emoji1784][emoji1784][emoji1784]
Kwamba sio kweli magu ananunua watu chadema
 


Kampeni 2020 Mgombea wa ubunge Conchesa Rwamlaza wa jimbo Bukoba vijijini kupitia CHADEMA aelezea kuhusu maji ni uhai maana maji safi ni afya bora na hupunguza gharama za kwenda hospitali kupata huduma za matibabu na kuchochea watu kuchapa kazi kwa Maendeleo ya Watu
 
Chini ya Mh Mbowe wamepikwa wakapikika.

Hata Magufuli akitaka kijana makini anakuja kuomba chadema. Yale madungayembe ya UVCCM yanaishia kulalamika tu.
Mbowe mwenyewe anatafuta sehemu ya kijificha hiyo28
 
Back
Top Bottom