Hongera BAVICHA na BAWACHA mmefanya kazi nzuri matunda tunayaona

Hongera BAVICHA na BAWACHA mmefanya kazi nzuri matunda tunayaona

14 October 2020
Nansio, Ukerewe
Tanzania

Balaaa la mapokezi ya Mhe. Tundu Lissu 2020 Ukerewe, baada ya kuvuka kwa mtumbwi kutoka Mwibara.

 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mwanza, Tanzania

Mama asisitiza Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu ndiyo jambo muhimu 28 October 2020

 
  • Nzuri
Reactions: BAK
16 October 2020
Urambo, Tabora
Tanzania

URAMBO, KINA MAMA WAFANYA MAKUBWA KTK KAMPENI ZA 2020
KUWATAKIA CHADEMA KURA NYINGI

 
05 Oktoba 2020
Karagwe, Kagera

TAMKO LA KIFALSAFA LA ASKOFU BAGONZA KUHUSU KINACHOENDELEA UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2020, AMGUSA TUNDU LISSU

Mitano kwanza vs Mitano Tena, Aliyekwisha fanya apewe shukrani.. Na anayeahidi kufanya apewe nafasi.



Balam wa Tanzania, punda hajamkemea bado.
 
Back
Top Bottom