Hongera BoT kwa utaratibu wa watumishi kukopa benki kwa njia ya mtandao, japokuwa mikopo umiza mitaani bado imewashinda

Wewe achana na fikra potofu kuhusu walimu wetu wakati wewe mwenyewe hapo ni mkopaji wa hiyo mikopo unayosema. Issue za kukopa ni kila mtumishi na kila mtu mwenye shida zake anakopa. Acha fikra potofu. Usiishi kwa kukariri maisha kaka.
Umekuja mpaka huku, lofa la Facebook hili.. Walimu ni wapumbavu wajinga wasiojitambua na huu ndo ukweli masai wewe tahila we
 
Umekuja mpaka huku, lofa la Facebook hili.. Walimu ni wapumbavu wajinga wasiojitambua na huu ndo ukweli masai wewe tahila we
Tahila na mpumbavu ni wewe unayetukana walimu waliokulea na kukufundisha kila kitu. Atukanaye walimu hana akili timamu na kuna matatizo makubwa anayopitia maishani mwake yanayomfanya awe na makasiriko ovyo. Katafute hela ili uache makasiriko ovyo na kuchukia watu bila sababu. We ni **** tu usiyejielewa. Na huna la kuwafanya walimu zaidi ya kujipotezea muda wako bure.
 
Hongereni sana kwa utaratibu huu unaondoa kero ya wafanyakazi kukaa foleni benki kusubiri kuonana na Afisa Mikopo wa Benki na usumbufu mwingine kama kutembea na makaratsi kwenye bahasha, gharama za kutoa copy na ku-print documents husika.
  1. Kuwatafuta wanasheria wagonge mihuri
  2. Kutafuta stationery upige passport
  3. Kumtafuta supervisor kazini agonge mihuri
 
Ukiona jambo halishughulikiwi na serikali wakati lina madhara kwa jamii ujue kuna wakubwa wananufaika na adha hiyo
 
Serikali kupitia BoT, wamekuja na utaratibu mpya unaoelekeza mikopo ya Watumishi kutolewa online ambapo Mtumishi ataomba mkopo mtandaoni kuputia Watumishi Portal.
Wasiwasi wangu ni huenda riba na gharama za mkopo kuwa na vitozo vingi vitakavyomuumiza mnufaika, usishangae kusikia tozo za mkopo, gharama za huduma mtandao nk
 
Kausha damu mradi wa ccm pengine,kwani kwa wanayokumbana wananchi hasa wanawake naamini serikali ingeshawasaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…