Hongera Camilius Wambura kwa utulivu huu nchini

Hongera Camilius Wambura kwa utulivu huu nchini

Wewe bandari ikiuzwa unafikiri itapelekwa Dubai? Aha hoja dhaifu.
Ni wapi umeona bandari imeuzwa? Au nyinyi ndiyo wajinga ambao mnakariro kama kasuku maneno ya wana harakati?? Weka risiti hapa ya kuuzia bandari
 
Ni wapi umeona bandari imeuzwa? Au nyinyi ndiyo wajinga ambao mnakariro kama kasuku maneno ya wana harakati?? Weka risiti hapa ya kuuzia bandari
Kweli wewe unafikiri bandari ikiuzwa serikali inapewa risiti?!
 
Shida yetu watanzania hatuna umoja. Dhahabu, gesi na sasa bandari inaondoka tunajifanya kupigana vijembe. Hii nchi hakuna mwenye uchungu nayo. Bora mafisadi waendelee kula na kuiba. Maana wananchi wenyewe hatujitambui. Kipindi Cha gesi tuliambiwa gesi itauzwa nafuu , Leo ulizia Bei ya gesi shilingi. Tunadanganywa na ahadi feki na sisi tunakibali.
 
Kwahiyo mnavosambaziana hivi vikaratasi mitandaoni basi mnajiona washindi kweli [emoji1787]. Tanzania hii watu wa kufanya mnayoyaita mageuzi ya kuiondoa CCM bado hawajazaliwa sana sana mpo wajinga wajinga tu wakupiga porojo.
Mjinga mwenyewe na manafiki mkubwa. Kamuulize Wambura kwanini amaekuja na kesi ya uhaini. Halafu muulize DPP kwanini alikuja na kesi ya ugaidi baadae akaifuta. Eti hawajazaliwa, CCM ishukuru Jeshi na polisi wapo upande wake, ila siku wakiwa neutral, CCM ni wepesi Kama karatasi.
 
Sio mitano, raia huku utanzaniani tunataka aongezewe hadi 30.

Unauliza kwa lipi?!!! Are u serious?!!! You must have eyes on your back.

Sisi tunaona maendeleo, tunaona utulivu, tunaona uhuru wa kutoa maoni na sasa tunaona ushughulikiwaji wa kistaarabu kabisa kwa waliolenga kuanzia taharuki kwa kupitia dini, ukanda, uvyama na jinsi.
Maendeleo gani? Ya kushindwa kupunguza mfumuko wa Bei au mafuta ya petroli. Punguzeni unafiki.
 
Njoo kesho Ubungo Kibo nikupeleke Kurasini kama hutaikuta bandari. Hizi kauli za kishenzi ndiyo zikienea zinaleta taharuki.

Mwanachi wa kawaida anataka efficiency ya bandari na mapato yatokanayo na bandari bila kujali wanaoendesha ni waarabu au wazungu au wasukuma
Umeelewa lakini?
 
Je unayo elimu ya mikataba? Je unajuwa kuwa kilichosainiwa ni IGA? Na IGA haiwezi kuwa enforceable in the court of law?
Kama haiwezi kuwa enforceable kwenye mahakama, bungeni ilipelekwa ya Nini?. Mnadanganywa na nyie manadanganya.
 
Ni wapi umeona bandari imeuzwa? Au nyinyi ndiyo wajinga ambao mnakariro kama kasuku maneno ya wana harakati?? Weka risiti hapa ya kuuzia bandari
Unajifanya mjinga kumbe unazo akili. Umeelewa lakini unajifanya hujaelewa. Kwa kifupi bandari kapewa muarabu, Kama ilivyokuwa kipindi Cha loliondo gate.
 
Maendeleo gani? Ya kushindwa kupunguza mfumuko wa Bei au mafuta ya petroli. Punguzeni unafiki.
1. Tutajie nchi ambayo yenyewe bei zinashuka tu siku baada ya siku
2. Maendeleo ni kushuka kwa bei ya mafuta tu basi?!!!!!!! Miradi hiyo huoni?!!!
 
Unajifanya mjinga kumbe unazo akili. Umeelewa lakini unajifanya hujaelewa. Kwa kifupi bandari kapewa muarabu, Kama ilivyokuwa kipindi Cha loliondo gate.
Kwa hiyo angepewa mzungu kama alivyopewa Geita na North Mara usingelalamika? Kwa hiyo issue ni mwarabu? Ubaguzi wa rangi utwatia unaskini pimbi nyinyi!!
 
Back
Top Bottom