Hongera Camilius Wambura kwa utulivu huu nchini

Takriban miezi 2 kufika leo media zote zilijaa mambo ya upotoshaji kutoka kwa akina Mwabukusi, Dr. Slaa, Mdude, Nshala, Lissu etc. Hawa walikuwa wanatumia lugha ya vitisho na matusi dhidi ya viongozi wa Serikali kuhusiana na Mkataba wa Bandari na DP World.

Wapo pia waliotumia fursa zao kukosoa bila matusi wala jazba baadhi ya vipengere kama Prof. Tibaijuka, Prof Shivji, Joseph Butiku, Jaji Warioba etc.

Hata mimi ninazo nyuzi zangu ambazo nimekosoa kwa staha tu vipengere ambavyo havina masilahi.

Kuanzia jana na leo tumetulia kusoma na kusikia clips za matusi toka kwa akina Mwabukusi, Mdude na Dr Slaa.

Nawapongeza Tanzania Police chini ya IGP Camilius Wambura na TISS kama imehusika kwa kuliheshimisha Taifa.

Bandari haijauzwa, tuachane na hii taharuki.
wapo jikoni wanaweka mambo sawa,fasta mbona vumbi litatimka
 
Hakuna mkataba wa bandari kima wewe!! Kuna maelewano kati ya nchi na nchi (Inter Governmental Agreement)
Rejea kesi ya bandari Mbeya uone majaji walisema kama ni mkataba au makubaliano. Wengi hamuujui ukweli!
 
Siwezi kufanya marejeo ya Mahakama ya Mbeya wakati kitu kimeandikwa Inter Governmental Agreement, eti nikubali kuita mkataba
 
Kumbuka kilicho kikubwa katika IGA, MOU, Contract, Agreement, etc ni BINDING FORCE iliyopo hapo! Ukivunja hiyo kuna madai. Si unajua hata sasa serikali ikivunja hayo unayoita IGA kuna kulipa fidia?
 
IGA iko valid hadi Novemba 2013 baada ambapo ni kipindi cha majadiliano kati ya Serikakali hizi. Kisha kutoka kwenye hayo majadiliano ndipo mikataba HGA(Host Government Agreements) zitatengenezwa kadri ya projects. Kwa jini mnalazimisha IGA iwe HGA?

Mnajizima data tu
 
Tuheshimu mamlaka ndiyo ustaarabu. Na fear of the unknown kwa siku hizi ndiyo ujanja. Inakufanya ufanye maamuzi bila risk yeyote
Maamuzi ya kusingizia TREASON? Hivi hii kauli ya UHAINI tunaiona nyepesi sana eeh! Hivi walioitoa wanaijua kwa hakika maana na madhara yake kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kondoo hutumia maisha yao yote kuogopa mbwa-mwitu, Lakini huishia kuliwa na mchungaji wake

Ukishaelewa kauli hii mchezo unabadilika na unaanza kuelewa siasa.
Screenshots_2023-08-16-14-04-32.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takriban miezi 2 kufika leo media zote zilijaa mambo ya upotoshaji kutoka kwa akina Mwabukusi, Dr. Slaa, Mdude, Nshala, Lissu etc. Hawa walikuwa wanatumia lugha ya vitisho na matusi dhidi ya viongozi wa Serikali kuhusiana na Mkataba wa Bandari na DP World.

Wapo pia waliotumia fursa zao kukosoa bila matusi wala jazba baadhi ya vipengere kama Prof. Tibaijuka, Prof Shivji, Joseph Butiku, Jaji Warioba etc.

Hata mimi ninazo nyuzi zangu ambazo nimekosoa kwa staha tu vipengere ambavyo havina masilahi.

Kuanzia jana na leo tumetulia kusoma na kusikia clips za matusi toka kwa akina Mwabukusi, Mdude na Dr Slaa.

Nawapongeza Tanzania Police chini ya IGP Camilius Wambura na TISS kama imehusika kwa kuliheshimisha Taifa.

Bandari haijauzwa, tuachane na hii taharuki.
Hata Hitler alipendwa na kupongezwa na baadhi ya watu.
 
Kumbuka kilicho kikubwa katika IGA, MOU, Contract, Agreement, etc ni BINDING FORCE iliyopo hapo! Ukivunja hiyo kuna madai. Si unajua hata sasa serikali ikivunja hayo unayoita IGA kuna kulipa fidia?
Unaogopa kuvunja IGA? You are not serious and can not dare do anything
 
Maamuzi ya kusingizia TREASON? Hivi hii kauli ya UHAINI tunaiona nyepesi sana eeh! Hivi walioitoa wanaijua kwa hakika maana na madhara yake kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukicheka na nyani utavuna mabua. Hata mbuyu huanza kama mchicha.

Dr Slaa ni bidhaa kama malaya wa Kimboka au Riverside, mtu akifika bei haangalii impact
 
Sio mitano, raia huku utanzaniani tunataka aongezewe hadi 30.

Unauliza kwa lipi?!!! Are u serious?!!! You must have eyes on your back.

Sisi tunaona maendeleo, tunaona utulivu, tunaona uhuru wa kutoa maoni na sasa tunaona ushughulikiwaji wa kistaarabu kabisa kwa waliolenga kuanzia taharuki kwa kupitia dini, ukanda, uvyama na jinsi.
Wakipatikana wajinga 5 kama wewe, humu jamiiforum nitajitoa kabisaaaa, Hamia sururu never never kiongozi wa mfano!
Unaona amani kwa kuwa hawagusi waovu na akemei maovu, ni sawa na Mbwa hasie bweka hanamadhara
 
Tumefungua Kesi hii, Under Certificate of Urgency, Wakati Wapiganaji wenzetu Wapo Korokorini. Ndio njia pekee ya kuwatia moyo. It's high Time kusimama na kuungana Ili twende kwenye kwenye Muafaka Mwema Maslahi mapana na Taifa Letu. TUSIOGOPE[emoji3578]View attachment 2717185

Sent using Jamii Forums mobile app
WaTz tupo nyumba ebu, walamba asali hawapendi kuliona hili
 
Wakipatikana wajinga 5 kama wewe, humu jamiiforum nitajitoa kabisaaaa, Hamia sururu never never kiongozi wa mfano!
Unaona amani kwa kuwa hawagusi waovu na akemei maovu, ni sawa na Mbwa hasie bweka hanamadhara
Akipatikana mpumbavu mwingine kama wewe mmoja tu humu jf asiyejua hata kuandika, siyo tu kwamba nitajitoa jf lakini pia nitaitupilia mbali hii simu yenyewe niliyoitumia kujiunga.

Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, tunae sana sisi watanzania. Waovu anawakemea na kuwashughulikia kabisa ndiyo maana dr slaa na wale wapuuzi wengine wanaendelea kushughulikiwa. Au kuna waovu zaidi ya hao wahaini?!!!!!!
 
Back
Top Bottom