Hongera Camilius Wambura kwa utulivu huu nchini

Hongera Camilius Wambura kwa utulivu huu nchini

Akipatikana mpumbavu mwingine kama wewe mmoja tu humu jf asiyejua hata kuandika, siyo tu kwamba nitajitoa jf lakini pia nitaitupilia mbali hii simu yenyewe niliyoitumia kujiunga.

Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, tunae sana sisi watanzania. Waovu anawakemea na kuwashughulikia kabisa ndiyo maana dr slaa na wale wapuuzi wengine wanaendelea kushughulikiwa. Au kuna waovu zaidi ya hao wahaini?!!!!!!
Wahuni + walamba asali = hamia sururu
 
Tumesha anza Hatua Rasmi za Kukata Rufaa dhidi ya Maamuzi ya Kigugumizi ya Majaji Wa(3) wa Mahakama KUU,Mbeya Vs. Mkataba Mbovu wa Bandari (IGA). TUTAWAPIGANIA Wenzetu waliobambikiwa KESI kwa nguvu zote Huku tukipinga Uamuzi husika Mahakama ya Rufaa TanzaniaView attachment 2717184

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua mnapambana peke yenu wakati mnaowapambania hawajui hata wanakopelekwa kizazi Cha ajabu sana hiki ila Mungu atawasimamia
 
Back
Top Bottom