My concern is this, kuna adui wenu mkubwa CCM, anawatafuta muanguke apete. Leo wewe unaleta hoja ya kuwatawanya. Sasa chadema ni vipande viwili, Lisu and Mbowe. CCM ameshinda na Lisu ndio mwisho wakeLakini mtoa mada umesikiliza sababu za kwanini Lissu anaona Kuna haja yeye kugombea Uwenyekiti Taifa?
Kwa maoni yangu, huu ni wakati wa Mbowe kupisha mawazo mapya pale juu ili kukivusha Chama
Akifanya mchezo, hata Wabunge wawili mwakani hapati
Kwani Mbowe ana hatimiliki ya Chama?My concern is this, kuna adui wenu mkubwa CCM, anawatafuta muanguke apete. Leo wewe unaleta hoja ya kuwatawanya. Sasa chadema ni vipande viwili, Lisu and Mbowe. CCM ameshinda na Lisu ndio mwisho wake
Unajuaje yeye kuamua kugombea siyo makubaliano yao?1. Lisu kwa upumbavu wako umipa CCM ushindi!
2. kulikuwa na haja gani ya kuitisha press?
3. kama ulisema mara 100, kuwa hutagombea Uenyekiti, leo umegeuka Jiwe, ni kuwa HUAMINIKI
View: https://www.instagram.com/habarimpyatv_/reel/DDUepM5iQsa/
KIFO CHA CHADEMA TAYARI
No, a big NO. Lakini unaangalia mazingira ya kuleta mpasuko. Chaguzi zinakuwa na mipasuko. Kuna CCM pale ana kila zana za kuwaua, kinachiowanganisha ni Umoja wenu. sasa unaleta hoj ya kuwagawa. LLISU IS STUPI! MROPOKAJI. AMEKULA MATAPISHI YAKE. HAAMINIKI TENAKwani Mbowe ana hatimiliki ya Chama?
Kwamba bila yeye Chama hakipo?
My concern is this, kuna adui wenu mkubwa CCM, anawatafuta muanguke apete. Leo wewe unaleta hoja ya kuwatawanya. Sasa chadema ni vipande viwili, Lisu and Mbowe. CCM ameshinda na Lisu ndio mwisho wake
Lakini Wanasiasa ndivyo walivyo, hata Mbowe alisema hagombei tena UenyekitiNo, a big NO. Lakini unaangalia mazingira ya kuleta mpasuko. Chaguzi zinakuwa na mipasuko. Kuna CCM pale ana kila zana za kuwaua, kinachiowanganisha ni Umoja wenu. sasa unaleta hoj ya kuwagawa. LLISU IS STUPI! MROPOKAJI. AMEKULA MATAPISHI YAKE. HAAMINIKI TENA
View: https://www.instagram.com/habarimpyatv_/reel/DDUepM5iQsa/
HALAFU HUYU UMUAMINI KUMPA CHAMA, KESHO ATABADILIKA
No, a big NO. Lakini unaangalia mazingira ya kuleta mpasuko. Chaguzi zinakuwa na mipasuko. Kuna CCM pale ana kila zana za kuwaua, kinachiowanganisha ni Umoja wenu. sasa unaleta hoj ya kuwagawa. LLISU IS STUPI! MROPOKAJI. AMEKULA MATAPISHI YAKE. HAAMINIKI TENA
View: https://www.instagram.com/habarimpyatv_/reel/DDUepM5iQsa/
HALAFU HUYU UMUAMINI KUMPA CHAMA, KESHO ATABADILIKA
Huyu pengine hata hajasikiliza hotuba ya Lissu. Ndio utamaduni wa watz wengi hujibu bila kusikilizaLakini mtoa mada umesikiliza sababu za kwanini Lissu anaona Kuna haja yeye kugombea Uwenyekiti Taifa?
Kwa maoni yangu, huu ni wakati wa Mbowe kupisha mawazo mapya pale juu ili kukivusha Chama
Akifanya mchezo, hata Wabunge wawili mwakani hapati
Ndiyo changamoto yetuHuyu pengine hata hajasikiliza hotuba ya Lissu. Ndio utamaduni wa watz wengi hujibu bila kusikiliza
Kama alisema mwenyewe kuwa hatagombea nafasi ya Mwenyekiti na kwa utashi wake mwenyewe ameamua kugombea amevunja sheria yoyote? Na je Mbowe akija hadharani kusema hatagombea na anamuunga mkono Lissu utasimama upande gani? Tuacheni demokrasia ichukue mkondo wake.1. Lisu kwa upumbavu wako umipa CCM ushindi!
2. kulikuwa na haja gani ya kuitisha press?
3. kama ulisema mara 100, kuwa hutagombea Uenyekiti, leo umegeuka Jiwe, ni kuwa HUAMINIKI
View: https://www.instagram.com/habarimpyatv_/reel/DDUepM5iQsa/
KIFO CHA CHADEMA TAYARI
Sijawahi kuwa Mwanasisiem.CCM MMEFURAHI
Amka kwenye huo usingizi.Press na Mbowe na ya Lisssu ni mioango mkakati
Hata alipoulizwa maswali na waandishi yaliyotafsiriwa kama makwazo, aliwaambia wafuasi wake wasichukie maswali. Kisha akayajibu vizuri bila chuki. Nilitamani viongozi wa serikali wawajibike hiviNdiyo changamoto yetu
Huenda alikuwa na MB 150 tu hivyo hakuweza kuisikiliza hotuba yote
Kusema kweli, Lissu ni mzungumzaji mzuri mwenye uwezo Mkubwa wa kupangilia hoja zake vizuri
Nilitamani angetumika kwenye Serikali ili aweze kuisaidia Nchi
Ni kweli Mkuu, jamaa yupo humble sanaHata alipoulizwa maswali na waandishi yaliyotafsiriwa kama makwazo, aliwaambia wafuasi wake wasichukie maswali. Kisha akayajibu vizuri bila chuki. Nilitamani viongozi wa serikali wawajibike hivi