Hongera CCM kwa ushindi

Hongera CCM kwa ushindi

Lakini mtoa mada umesikiliza sababu za kwanini Lissu anaona Kuna haja yeye kugombea Uwenyekiti Taifa?

Kwa maoni yangu, huu ni wakati wa Mbowe kupisha mawazo mapya pale juu ili kukivusha Chama

Akifanya mchezo, hata Wabunge wawili mwakani hapati
My concern is this, kuna adui wenu mkubwa CCM, anawatafuta muanguke apete. Leo wewe unaleta hoja ya kuwatawanya. Sasa chadema ni vipande viwili, Lisu and Mbowe. CCM ameshinda na Lisu ndio mwisho wake
 
Kwani Mbowe ana hatimiliki ya Chama?

Kwamba bila yeye Chama hakipo?
 
Kwani Mbowe ana hatimiliki ya Chama?

Kwamba bila yeye Chama hakipo?
No, a big NO. Lakini unaangalia mazingira ya kuleta mpasuko. Chaguzi zinakuwa na mipasuko. Kuna CCM pale ana kila zana za kuwaua, kinachiowanganisha ni Umoja wenu. sasa unaleta hoj ya kuwagawa. LLISU IS STUPI! MROPOKAJI. AMEKULA MATAPISHI YAKE. HAAMINIKI TENA

View: https://www.instagram.com/habarimpyatv_/reel/DDUepM5iQsa/

HALAFU HUYU UMUAMINI KUMPA CHAMA, KESHO ATABADILIKA
 
Mpaka sasa Mbowe hana athari zozote kwa ccm. Hatishi hata kidogo.

Mangi mwenzangu MBOWE mpishe bro Lissu ana uwezo wa kubadilisha upepo.

Lissu ana uwezo wa kushika upanga vizuri. Uwezo wa mbowe ni kutumia fimbo.
 
My concern is this, kuna adui wenu mkubwa CCM, anawatafuta muanguke apete. Leo wewe unaleta hoja ya kuwatawanya. Sasa chadema ni vipande viwili, Lisu and Mbowe. CCM ameshinda na Lisu ndio mwisho wake

Mbona CCM imeshinda Asilimia 99% serikali za mitaa na Mbowe ndio mwenyekiti wa chama. CCM umepata Asilimia 99 kabla hata Lissu hajatangaza kugombea mwenyekiti wa chama.
 
No, a big NO. Lakini unaangalia mazingira ya kuleta mpasuko. Chaguzi zinakuwa na mipasuko. Kuna CCM pale ana kila zana za kuwaua, kinachiowanganisha ni Umoja wenu. sasa unaleta hoj ya kuwagawa. LLISU IS STUPI! MROPOKAJI. AMEKULA MATAPISHI YAKE. HAAMINIKI TENA

View: https://www.instagram.com/habarimpyatv_/reel/DDUepM5iQsa/

HALAFU HUYU UMUAMINI KUMPA CHAMA, KESHO ATABADILIKA

Lakini Wanasiasa ndivyo walivyo, hata Mbowe alisema hagombei tena Uenyekiti
 
Lakini mtoa mada umesikiliza sababu za kwanini Lissu anaona Kuna haja yeye kugombea Uwenyekiti Taifa?

Kwa maoni yangu, huu ni wakati wa Mbowe kupisha mawazo mapya pale juu ili kukivusha Chama

Akifanya mchezo, hata Wabunge wawili mwakani hapati
Huyu pengine hata hajasikiliza hotuba ya Lissu. Ndio utamaduni wa watz wengi hujibu bila kusikiliza
 
Ndiyo changamoto yetu

Huenda alikuwa na MB 150 tu hivyo hakuweza kuisikiliza hotuba yote

Kusema kweli, Lissu ni mzungumzaji mzuri mwenye uwezo Mkubwa wa kupangilia hoja zake vizuri

Nilitamani angetumika kwenye Serikali ili aweze kuisaidia Nchi
 
1. Lisu kwa upumbavu wako umipa CCM ushindi!
2. kulikuwa na haja gani ya kuitisha press?
3. kama ulisema mara 100, kuwa hutagombea Uenyekiti, leo umegeuka Jiwe, ni kuwa HUAMINIKI

View: https://www.instagram.com/habarimpyatv_/reel/DDUepM5iQsa/

KIFO CHA CHADEMA TAYARI

Kama alisema mwenyewe kuwa hatagombea nafasi ya Mwenyekiti na kwa utashi wake mwenyewe ameamua kugombea amevunja sheria yoyote? Na je Mbowe akija hadharani kusema hatagombea na anamuunga mkono Lissu utasimama upande gani? Tuacheni demokrasia ichukue mkondo wake.
 
Press na Mbowe na ya Lisssu ni mipango mkakati
 
Ndiyo changamoto yetu

Huenda alikuwa na MB 150 tu hivyo hakuweza kuisikiliza hotuba yote

Kusema kweli, Lissu ni mzungumzaji mzuri mwenye uwezo Mkubwa wa kupangilia hoja zake vizuri

Nilitamani angetumika kwenye Serikali ili aweze kuisaidia Nchi
Hata alipoulizwa maswali na waandishi yaliyotafsiriwa kama makwazo, aliwaambia wafuasi wake wasichukie maswali. Kisha akayajibu vizuri bila chuki. Nilitamani viongozi wa serikali wawajibike hivi
 
Ni kweli Mkuu, jamaa yupo humble sana

Haoneshi kukasirishwa haraka
 
Bila mwamba DJ Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !!
 
Back
Top Bottom