- Thread starter
- #21
My concern is this, kuna adui wenu mkubwa CCM, anawatafuta muanguke apete. Leo wewe unaleta hoja ya kuwatawanya. Sasa chadema ni vipande viwili, Lisu and Mbowe. CCM ameshinda na Lisu ndio mwisho wakeLakini mtoa mada umesikiliza sababu za kwanini Lissu anaona Kuna haja yeye kugombea Uwenyekiti Taifa?
Kwa maoni yangu, huu ni wakati wa Mbowe kupisha mawazo mapya pale juu ili kukivusha Chama
Akifanya mchezo, hata Wabunge wawili mwakani hapati