Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

Hili suala la Watutsi kuanzisha Bahima Empire tumeshalisema sana lakini watu wanalichukulia kama ni nadharia mfu lakini ukweli lipo. Wao wanajiona ndiyo wenye haki ya kutawala eneo hili lote la maziwa makuu. Hongera CDF kwa kunusa hatari hii
 
Mikakati wa Nyerere wakimbizi wa sehemu hizo ni kuwa hamishia mbali na sehemu wanazotoka ili kuondoa uwezekano wa hayo unayo sema. Kambi zikawa Tabora na Rukwa/Katavi au wampeleke Ntwara, Ruvuma n.k
 
Diblo Dibala ndiyo nani?

Namba moja nani? Msaidizi wake nani?

Mbona unaongea kiuoga? Unasema uongo?
Afro man. Mzee wa Luangwa

Acha kunisumbua bwana unajifanya hujui. Tafuta habari za msiba wa dada wa No. 2. uliofanyika tabora alafu linganisha majina yake na mchezaji wa Simba anaetokea Burundi
 
Taifa lilikuwa liende kuangamia kabisa kwishney by 105%.
°Asante molae!
Walipenetrate Uganda saivi Uganda wametawala wao. Aliyekuwa chief of Intelligence Uganda leo ndo Rais wa Rwanda.

Wakaisumbua Congo wakatengeneza muasi aliyefanikiwa hadi kuwa Rais wa nchi na alipofariki wakampa mtoto wake kuwa Rais wa Congo. Leo hii Congo ni kama failed state na wakifanikiwa wataenda kuyamega majimbo yake ya mashariki hasa miji ya Goma na Kivu

Wakifanikiwa Congo long plan ni hapa Tz na so far wameweza kushika nafasi zote nyeti hapa Tanzania so kwa kifupi wanaijua Tanzania inside out so haitawasumbua sana.

Kama waliweza hadi kumuweka Wazir wa Ulinzi na sasa wana Naibu Mtendaji Mkuu na kuna mmoja alikuwa hadi Katibu Mkuu Kiongoz na Katibu wa Chama wanashindwa nini kwa Tanzania?
 
Duh 🙄 !
 
I love Samia Suluhu, amepokea ushauri na sasa bajeti itengwe ya kuwarudisha kwao.
Mh Samia asante sana, mkuu wetu wa Majeshi ingefaa upewe pHD ya heshma, sijui kijeshi utapewa nini ila umeona mbali sana kwa niaba ya Watanganyika.
Hawa jamaa wamejipenyeza CCM na vyeo vikubwa, wanafadhili chama, wana biashara kubwa, wana NIDA na Uraia walioupata kwa ujanja ujanja na kupenyeza shekeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…