mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Mwalimu alisemaga Makabila yamebaki ni kwa ajili ya Matambiko tu. !!kuna mmoja humu alianzisha uzi kua anaiomba serikali iwatambue kama wao ni kabila huru wasitambuliwe kama n wahaya nashukuru memba humu nao walimpinga vikali
Sisi tunachotaka ni Maendeleo !!
Tukianza kuchunguzana habari ya makabila ya hapa TZ unaweza ukakuta wote ni wahamiaji tu kutoka Zinazoitwa Nchi nyingine kwa hivi sasa!
Nani anajua Deustch Ostafrica ilikuwa Nchi gani ??!