Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

Hii jamii ni hatari sana. Iliweza kupenetrate Uganda na sasa wanaitawala, ikaweza kuchukua Rwanda na sasa wanaitawala.

Baadhi walikimbia Congo Mashariki waka kaa kama wakimbizi alafu badae wakasema pale ni kwao.

Wa Congo waliposhtuka kusema waondoke wakagoma na sasa ndo wanaendesha vikundi vya waasi Congo Mashariki kwa faida ya ndugu zao waliopo Rwanda na Uganda

Kiusalama wa taifa hawa watu ni tishio sana na wanachotaka sasa ni kuimega Congo ili waiunganishe na Rwanda na baadae hata Uganda wataifanyia hivyo hivyo kupitia vikundi vyao kikiwemo M23

Inaonekana Intelejensia ya Jeshi letu ipo vizuri sana kuliko hawa TISS.

Kwa Tanzania mikoa ya Magharibi wamedominate wao kwa sehemu kubwa hasa Geita, Kigoma na Kagera. Hivi karibuni wameanza kuingia Katavi

Kesho wakilianzisha wakisema Kagera, Kigoma na Geita au Katavi ziwe sehemu ya empire yao msishangae.
Ushauri na maoni ya General Mkunda ni super tatizo hili limezungumzwa muda mrefu sana kabla hata ya NIDA kuanza lakini linafanyiwa mzaha hakuna mikakati ya kiusalama ya muda mfupi na mufa mrefu. Wengi wameishajua udhaifu wetu wanapitia sana kwenye siasa, U-NEC, Ubunge usio na mchujo wa kiusalama, vyuo vikuu na taasisi za ki-uanaharakati,taasisi za dini nk. Hawa watu baadhi wana vyombo vya habari na biashara kubwa,wana milki ardhi na mali nyingi na wana ushawishi wa kisiasa,kiuchumi na kijamii. wana uraia wa Tanzania wa kujiandikisha,kuzaliwa na tajnisi. Pia wako kwenye baadhi ya vyombo vya usalama. The issue is complex, suluhisho iundwe kamati ya kimya kimya kuchunguza na ije na taarifa ya kutatua tatizo hili kwa kupitia sera,sheria na mifumo yetu ya uraia na kiusalama bila kuathiri misingi ya Mkataba wa Jumuia ya Afrika Mashariki na SADC. Kama sasa hivi hali ndiyo hiyo vipi tukiwa na uraia pacha, itifaki ya free movement of persons etc na ongezeko la wakimbizi nchini tena wa muda mrefu itakuwaje? Tuanze kuweka safeguards!
 
Hili suala la Watutsi kuanzisha Bahima Empire tumeshalisema sana lakini watu wanalichukulia kama ni nadharia mfu lakini ukweli lipo. Wao wanajiona ndiyo wenye haki ya kutawala eneo hili lote la maziwa makuu. Hongera CDF kwa kunusa hatari hii
Watu wa, Kagera, karagwe,wana asili ya, Rwanda, Burundi, Uganda,
Wa Masai wa Arusha, wapo na Kenya, Wamakonde wapo na msumbiji, lakini wanaoogopwa na Wa kazi, wa kagera tu!
Tumewahi kuwa na Waziri mkuu Mmasai(sokoine), hakuiuza, nchi Kenya! Akaja Lowasa, hakuiuza Nchi Kenya!
Tukapata Waziri wa maliasili Kutoka singida!Nyarandu, akaingia mikataba ya, kijinga na kenya!
Ila watu wanawachukia wahaya tu!
Wa Kikuyu wa, Kenya, ndio wachaga wa bongo, na wachaga wapo kila sekta nchini, hapo utasikia watu wakisema aaah hawa sio raia, lakini, watu wakisikia mtu anaitwa Kamazima, au, Ruta!watu, makalio yanaanza kupiga kelele! Aaah hawa ni warundi? Wajaluo wapo Kenya, wapo Tanzania! Huwezi, kusikia wananyanyapaliwa!
Odinga wa Kenya ni majaluo,kama wajaluo wa Tanzania, je amekuwa spy wa bongo, anatuuzia Siri za Kenya, kwa vile tu, kabila lake hata bongo lipo?
Wanaobagua wengine Kutoka na n asili Yao, ni makaburu meusi tu, na wengi wao, ni, watu maskini wa vipato, elimu,
 
Afro man. Mzee wa Luangwa

Acha kunisumbua bwana unajifanya hujui. Tafuta habari za msiba wa dada wa No. 2. uliofanyika tabora alafu linganisha majina yake na mchezaji wa Simba anaetokea Burundi
Ila wa bongo akili zetu ndogo Sana, huwezi, kutumia jina LA mtu kujua utaifa wake,
Barack Obama, ni m Kenya au mmarekani!?
Kuna jamaa yangu anaitwa Clinton, mwingine Washington, kwahiyo wamekuwa wamarekani?
Akili, za, makalioni hz,
Unapata jina Kutoka na na asili yako,Moyo, wapo Mbeya, hata Zambia!
Mtoto wa, Odinga, aliitwa, Fidel Castro! Kwahiyo amekuwa raia wa CUBA!
Mi natoka ngara, siwezi kuitwa Lyimo,sherukindo, wala Chacha, nitatumia ntukamazima, ambayo hata Burundi yapo.
You fuckers, ndio maana Nchi hii inaibiwa,
Sasa ma CCM, yamefanya spinning ya hatari, wwnajua wa bongo, swala LA uraia, dini,mpira ni vitu wanavyojari Sana, wametoa kauli, sasa hv watu hawajadili sukari kuwa 5K kwa kilo, au maandamano ya chadema, ni kuongelea uraia tu
 
Hii jamii ni hatari sana. Iliweza kupenetrate Uganda na sasa wanaitawala, ikaweza kuchukua Rwanda na sasa wanaitawala.

Baadhi walikimbia Congo Mashariki waka kaa kama wakimbizi alafu badae wakasema pale ni kwao.

Wa Congo waliposhtuka kusema waondoke wakagoma na sasa ndo wanaendesha vikundi vya waasi Congo Mashariki kwa faida ya ndugu zao waliopo Rwanda na Uganda

Kiusalama wa taifa hawa watu ni tishio sana na wanachotaka sasa ni kuimega Congo ili waiunganishe na Rwanda na baadae hata Uganda wataifanyia hivyo hivyo kupitia vikundi vyao kikiwemo M23

Inaonekana Intelejensia ya Jeshi letu ipo vizuri sana kuliko hawa TISS.

Kwa Tanzania mikoa ya Magharibi wamedominate wao kwa sehemu kubwa hasa Geita, Kigoma na Kagera. Hivi karibuni wameanza kuingia Katavi

Kesho wakilianzisha wakisema Kagera, Kigoma na Geita au Katavi ziwe sehemu ya empire yao msishangae.

Umenena vema sana. Tena huko Congo hawakuwahi kupewa madaraka makubwa ndani ya Serikali kama ilivyo hapa kwetu.

Fikiria mpaka tuna Naibu Waziri Mkuu. Hivi kwa nafasi kama hiyo atafanya mangapi kwaajili ya ndugu zake?

Alikuwa tu Waziri wa madini, madudu aliyoyafanya kwaajili ya kuwanufaisha wanyarwanda wenzake yanatisha. Huyu mtu aliwanyang'anya vitalu vya uchimbaji dhahabu Watanzania na wawekezaji wa nje, na kuwagawia jamaa zake wanayarwanda. Kwa kumtumia jamaa yake aitwaye Evarii, amejitajirisha sana, na kutumia utajiri huo akawa anawahonga wafanya vetting wote na maafisi wa TISS ikulu. Sasa amepewa unaibu waziri mkuu na uwaziri wa nishati. Tunajua anafanya nini huko? Kwa kupitia hiyo nafasi, tunajua atawajaza wanyarwanda wangapi?
 
Naskia ngazi ya Makatibu Wakuu na Watendaji Wakuu wa Serikali wapo wengi saana. Alafu wanajiitaga waha, wahaya au wasukuma
Sasa mpaka wanapata hizo nafasi maana ake watanzania wamelala mno hivyo acha iwe hivyo tu ...! Maana inaonekana jamaa wako smart sana nimewakubali kama haya uyasemayo ni kweli
 
Ila wa bongo akili zetu ndogo Sana, huwezi, kutumia jina LA mtu kujua utaifa wake,
Barack Obama, ni m Kenya au mmarekani!?
Kuna jamaa yangu anaitwa Clinton, mwingine Washington, kwahiyo wamekuwa wamarekani?
Akili, za, makalioni hz,
Unapata jina Kutoka na na asili yako,Moyo, wapo Mbeya, hata Zambia!
Mtoto wa, Odinga, aliitwa, Fidel Castro! Kwahiyo amekuwa raia wa CUBA!
Mi natoka ngara, siwezi kuitwa Lyimo,sherukindo, wala Chacha, nitatumia ntukamazima, ambayo hata Burundi yapo.
You fuckers, ndio maana Nchi hii inaibiwa,
Sasa ma CCM, yamefanya spinning ya hatari, wwnajua wa bongo, swala LA uraia, dini,mpira ni vitu wanavyojari Sana, wametoa kauli, sasa hv watu hawajadili sukari kuwa 5K kwa kilo, au maandamano ya chadema, ni kuongelea uraia tu
We tulia utafikiwa tu
 
Bashiru siyo Mnyarwanda yule?

Sina uhakika na Bashiru. Lakini lililo dhahiri kabisa Dotto Biteko siyo mtanzania. Na amepewa unaibu waziri mdogo. Pacha wake naye yumo ndani ya Serikali. Na jamaa ni mafia hasa. Licha ya madudu yake mengi lakini amemkamata Rais vibaya sana kwa mbinu mbalimbali chafu. Na Rais amedanganyika na kumwamini. Huyu ni hatari kuliko wote maana amefanikiwa kujipenyeza mpaka nafasi za juu kabisa.
 
Ukiwa mtumishi wa umma mikoa ya Rukwa,Katavi,Tabora,Kigoma,Kagera na Mara ndio utagundua ajira za umma zilivyochukuliwa na Raia wa nchi jirani kwa kigezo cha kuingiliana lugha na tamaduni.
HILI JAMBO NI KUBWA KULIKO TUNAVYODHANI NA MADHARA YAKE NI MAKUBWA NA LILIPOFIKIA KULISHUGHULIKIA BILA BUSARA LITALETA SHIDA KUBWA
Hiyo mipaka iliyowekwa na wazungu isikuchanganye....! Dunia ni yetu sote, Tanzania ni kubwa sana bado inahitaji watu wa kujaza maeneo mengi yaliyo wazi...! Waacheni waje kwa wingi
 
Ushauri na maoni ya General Mkunda ni super tatizo hili limezungumzwa muda mrefu sana kabla hata ya NIDA kuanza lakini linafanyiwa mzaha hakuna mikakati ya kiusalama ya muda mfupi na mufa mrefu. Wengi wameishajua udhaifu wetu wanapitia sana kwenye siasa, U-NEC, Ubunge usio na mchujo wa kiusalama, vyuo vikuu na taasisi za ki-uanaharakati,taasisi za dini nk. Hawa watu baadhi wana vyombo vya habari na biashara kubwa,wana milki ardhi na mali nyingi na wana ushawishi wa kisiasa,kiuchumi na kijamii. wana uraia wa Tanzania wa kujiandikisha,kuzaliwa na tajnisi. Pia wako kwenye baadhi ya vyombo vya usalama. The issue is complex, suluhisho iundwe kamati ya kimya kimya kuchunguza na ije na taarifa ya kutatua tatizo hili kwa kupitia sera,sheria na mifumo yetu ya uraia na kiusalama bila kuathiri misingi ya Mkataba wa Jumuia ya Afrika Mashariki na SADC. Kama sasa hivi hali ndiyo hiyo vipi tukiwa na uraia pacha, itifaki ya free movement of persons etc na ongezeko la wakimbizi nchini tena wa muda mrefu itakuwaje? Tuanze kuweka safeguards!
Na kwa kuwa Nchi hii wenye pesa ndio kila kitu kuanzia mitaani mpaka maofisini wanatetemekewa,
Iko kazi !
 
Watu wa, Kagera, karagwe,wana asili ya, Rwanda, Burundi, Uganda,
Wa Masai wa Arusha, wapo na Kenya, Wamakonde wapo na msumbiji, lakini wanaoogopwa na Wa kazi, wa kagera tu!
Tumewahi kuwa na Waziri mkuu Mmasai(sokoine), hakuiuza, nchi Kenya! Akaja Lowasa, hakuiuza Nchi Kenya!
Tukapata Waziri wa maliasili Kutoka singida!Nyarandu, akaingia mikataba ya, kijinga na kenya!
Ila watu wanawachukia wahaya tu!
Wa Kikuyu wa, Kenya, ndio wachaga wa bongo, na wachaga wapo kila sekta nchini, hapo utasikia watu wakisema aaah hawa sio raia, lakini, watu wakisikia mtu anaitwa Kamazima, au, Ruta!watu, makalio yanaanza kupiga kelele! Aaah hawa ni warundi? Wajaluo wapo Kenya, wapo Tanzania! Huwezi, kusikia wananyanyapaliwa!
Odinga wa Kenya ni majaluo,kama wajaluo wa Tanzania, je amekuwa spy wa bongo, anatuuzia Siri za Kenya, kwa vile tu, kabila lake hata bongo lipo?
Wanaobagua wengine Kutoka na n asili Yao, ni makaburu meusi tu, na wengi wao, ni, watu maskini wa vipato, elimu,
Umeongea vyema kabisa mkuu...! Huyo mkuu wa majeshi kama kayazungumza hayo hakupaswa kuwa kwenye hiyo nafasi, anafanya uchochezi. Hii Dunia ni yote sote haijalishi uko wapi, Obama alikua Raisi ya marekani ilihali baba yake ni mkenya...! Mtoa mada na wengine wanaoshupalia hii mada ni watu wasiojiamini kabisa wanajiona duni mbele ya hao wanaowatuhumu, kama wameweza kujipenyeza na kuingia sehemu nyeti maana yapaswa tuwapongeze maana sio kazi rahisi eti, kama wameweza kuwa wafanyabiashara wakubwa na wanamiliki vituo vya radio, maana yake si ni faida hiyo kwa maendeleo ya nchi
 
Umenena vema sana. Tena huko Congo hawakuwahi kupewa madaraka makubwa ndani ya Serikali kama ilivyo hapa kwetu.

Fikiria mpaka tuna Naibu Waziri Mkuu. Hivi kwa nafasi kama hiyo atafanya mangapi kwaajili ya ndugu zake?

Alikuwa tu Waziri wa madini, madudu aliyoyafanya kwaajili ya kuwanufaisha wanyarwanda wenzake yanatisha. Huyu mtu aliwanyang'anya vitalu vya uchimbaji dhahabu Watanzania na wawekezaji wa nje, na kuwagawia jamaa zake wanayarwanda. Kwa kumtumia jamaa yake aitwaye Evarii, amejitajirisha sana, na kutumia utajiri huo akawa anawahonga wafanya vetting wote na maafisi wa TISS ikulu. Sasa amepewa unaibu waziri mkuu na uwaziri wa nishati. Tunajua anafanya nini huko? Kwa kupitia hiyo nafasi, tunajua atawajaza wanyarwanda wangapi?
Safi sana na ww ukipata nafasi jali sana watu wa kwenu, maana ndo baraka zinatoka huko....! Charity begins at home
 
Watu wa, Kagera, karagwe,wana asili ya, Rwanda, Burundi, Uganda,
Wa Masai wa Arusha, wapo na Kenya, Wamakonde wapo na msumbiji, lakini wanaoogopwa na Wa kazi, wa kagera tu!
Tumewahi kuwa na Waziri mkuu Mmasai(sokoine), hakuiuza, nchi Kenya! Akaja Lowasa, hakuiuza Nchi Kenya!
Tukapata Waziri wa maliasili Kutoka singida!Nyarandu, akaingia mikataba ya, kijinga na kenya!
Ila watu wanawachukia wahaya tu!
Wa Kikuyu wa, Kenya, ndio wachaga wa bongo, na wachaga wapo kila sekta nchini, hapo utasikia watu wakisema aaah hawa sio raia, lakini, watu wakisikia mtu anaitwa Kamazima, au, Ruta!watu, makalio yanaanza kupiga kelele! Aaah hawa ni warundi? Wajaluo wapo Kenya, wapo Tanzania! Huwezi, kusikia wananyanyapaliwa!
Odinga wa Kenya ni majaluo,kama wajaluo wa Tanzania, je amekuwa spy wa bongo, anatuuzia Siri za Kenya, kwa vile tu, kabila lake hata bongo lipo?
Wanaobagua wengine Kutoka na n asili Yao, ni makaburu meusi tu, na wengi wao, ni, watu maskini wa vipato, elimu,
Tatizo la watusi ni hile tabia yao ya "kill their host and rule," sio kwa makabila mengine ilio taja hapo juu.
 
Hili suala la Watutsi kuanzisha Bahima Empire tumeshalisema sana lakini watu wanalichukulia kama ni nadharia mfu lakini ukweli lipo. Wao wanajiona ndiyo wenye haki ya kutawala eneo hili lote la maziwa makuu. Hongera CDF kwa kunusa hatari hii
CDF achukue nchi kwa miaka miwili alafu atuondolee huu uchafu wa Wageni na kuandika katiba mpya!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom