Ila wa bongo akili zetu ndogo Sana, huwezi, kutumia jina LA mtu kujua utaifa wake,
Barack Obama, ni m Kenya au mmarekani!?
Kuna jamaa yangu anaitwa Clinton, mwingine Washington, kwahiyo wamekuwa wamarekani?
Akili, za, makalioni hz,
Unapata jina Kutoka na na asili yako,Moyo, wapo Mbeya, hata Zambia!
Mtoto wa, Odinga, aliitwa, Fidel Castro! Kwahiyo amekuwa raia wa CUBA!
Mi natoka ngara, siwezi kuitwa Lyimo,sherukindo, wala Chacha, nitatumia ntukamazima, ambayo hata Burundi yapo.
You fuckers, ndio maana Nchi hii inaibiwa,
Sasa ma CCM, yamefanya spinning ya hatari, wwnajua wa bongo, swala LA uraia, dini,mpira ni vitu wanavyojari Sana, wametoa kauli, sasa hv watu hawajadili sukari kuwa 5K kwa kilo, au maandamano ya chadema, ni kuongelea uraia tu