Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

mkuu teuzi bado zipo..keep it up.
Upo kundi moja na wapumbavu wanaozunguka nchi nzima kuilaumu Serikali wakati wao wapo serikalini.
Sasa hivi wako moshi wanashanga serikali haijafanya kitu, jana walikuwa Tanga.
Mimi unataka niwe jaji mkuu?
Unajua kwamba Jaji hateuliwi nafasi za kisiasa?
Wewe unataka Samia abaki na hao wahutu, tusi na wabembe waliopenyezwa kila idara na nanii ambaye inasemekana hakuwa mtanganyika?
 
tuemchelewa kipindi Mtikila r.i.p anatoa angalizo la nchi kuwa na mamluki tungeanzia pale.

kunakitu niliwai kucomment kwenye uzi flani wadau wakanikatalia.kipindi cha nyuma kuna watumishi wa serikali walikua wakiwakwamisha kwa makusudi wawekezaji ili waone uzito kisha wakimbilie nchi za jirani.Tz mambo ni hovyo vurugu mechi.
 
Ila wa bongo akili zetu ndogo Sana, huwezi, kutumia jina LA mtu kujua utaifa wake,
Barack Obama, ni m Kenya au mmarekani!?
Kuna jamaa yangu anaitwa Clinton, mwingine Washington, kwahiyo wamekuwa wamarekani?
Akili, za, makalioni hz,
Unapata jina Kutoka na na asili yako,Moyo, wapo Mbeya, hata Zambia!
Mtoto wa, Odinga, aliitwa, Fidel Castro! Kwahiyo amekuwa raia wa CUBA!
Mi natoka ngara, siwezi kuitwa Lyimo,sherukindo, wala Chacha, nitatumia ntukamazima, ambayo hata Burundi yapo.
You fuckers, ndio maana Nchi hii inaibiwa,
Sasa ma CCM, yamefanya spinning ya hatari, wwnajua wa bongo, swala LA uraia, dini,mpira ni vitu wanavyojari Sana, wametoa kauli, sasa hv watu hawajadili sukari kuwa 5K kwa kilo, au maandamano ya chadema, ni kuongelea uraia tu

Umeongea vyema kabisa mkuu...! Huyo mkuu wa majeshi kama kayazungumza hayo hakupaswa kuwa kwenye hiyo nafasi, anafanya uchochezi. Hii Dunia ni yote sote haijalishi uko wapi, Obama alikua Raisi ya marekani ilihali baba yake ni mkenya...! Mtoa mada na wengine wanaoshupalia hii mada ni watu wasiojiamini kabisa wanajiona duni mbele ya hao wanaowatuhumu, kama wameweza kujipenyeza na kuingia sehemu nyeti maana yapaswa tuwapongeze maana sio kazi rahisi eti, kama wameweza kuwa wafanyabiashara wakubwa na wanamiliki vituo vya radio, maana yake si ni faida hiyo kwa maendeleo ya nchi
Taifa hili kama akili ya wananchi wake hadi leo wanamawazo ya kijima itachukua miaka 1000 kuwa civilized had leo wanawaza ukabila wakati tukichunguza generation 3,tu origin ya mtu kutoka Tanganyika hatuipati,maana mababu wa mababu zetu kiasili sio wakazi wa Tanganyika,hata tukijaribu kutrace gene kwa kila mbogo patachimbika hapa😀😀😀,ila tatizo ni elimu tukianza kuangalia gene resemblance hata mtoa mada atakuwa sio mtanganyika,elimu elimu elimu,bongo ni tatizo ujinga bado upo wachaccm itawale wafu maana majority hawajielewi
 
Nenda rwanda uone kama utapewa hata kibustani cha nyany ulime. Ila huku shamba la Bibi wanaishi na kutesa wenyeji. Those people ndio maana waliuawa in 1994 ni tatizo.
Acha kudanganya watu nimeishi Rwanda Kigali Rwanda Kabustani unanunua tu kama una hela kama ilivyo Tanzania,acha kusambaza chuki sambaza upendo.
 
Taifa hili kama akili ya wananchi wake hadi leo wanamawazo ya kijima itachukua miaka 1000 kuwa civilized had leo wanawaza ukabila wakati tukichunguza generation 3,tu origin ya mtu kutoka Tanganyika hatuipati,maana mababu wa mababu zetu kiasili sio wakazi wa Tanganyika,hata tukijaribu kutrace gene kwa kila mbogo patachimbika hapa[emoji3][emoji3][emoji3],ila tatizo ni elimu tukianza kuangalia gene resemblance hata mtoa mada atakuwa sio mtanganyika,elimu elimu elimu,bongo ni tatizo ujinga bado upo wachaccm itawale wafu maana majority hawajielewi
We utakuwa mtusi si bure
 
Watu wa, Kagera, karagwe,wana asili ya, Rwanda, Burundi, Uganda,
Wa Masai wa Arusha, wapo na Kenya, Wamakonde wapo na msumbiji, lakini wanaoogopwa na Wa kazi, wa kagera tu!
Tumewahi kuwa na Waziri mkuu Mmasai(sokoine), hakuiuza, nchi Kenya! Akaja Lowasa, hakuiuza Nchi Kenya!
Tukapata Waziri wa maliasili Kutoka singida!Nyarandu, akaingia mikataba ya, kijinga na kenya!
Ila watu wanawachukia wahaya tu!
Wa Kikuyu wa, Kenya, ndio wachaga wa bongo, na wachaga wapo kila sekta nchini, hapo utasikia watu wakisema aaah hawa sio raia, lakini, watu wakisikia mtu anaitwa Kamazima, au, Ruta!watu, makalio yanaanza kupiga kelele! Aaah hawa ni warundi? Wajaluo wapo Kenya, wapo Tanzania! Huwezi, kusikia wananyanyapaliwa!
Odinga wa Kenya ni majaluo,kama wajaluo wa Tanzania, je amekuwa spy wa bongo, anatuuzia Siri za Kenya, kwa vile tu, kabila lake hata bongo lipo?
Wanaobagua wengine Kutoka na n asili Yao, ni makaburu meusi tu, na wengi wao, ni, watu maskini wa vipato, elimu,
mbona povu sana mkimbizi nini
 
Taifa hili kama akili ya wananchi wake hadi leo wanamawazo ya kijima itachukua miaka 1000 kuwa civilized had leo wanawaza ukabila wakati tukichunguza generation 3,tu origin ya mtu kutoka Tanganyika hatuipati,maana mababu wa mababu zetu kiasili sio wakazi wa Tanganyika,hata tukijaribu kutrace gene kwa kila mbogo patachimbika hapa[emoji3][emoji3][emoji3],ila tatizo ni elimu tukianza kuangalia gene resemblance hata mtoa mada atakuwa sio mtanganyika,elimu elimu elimu,bongo ni tatizo ujinga bado upo wachaccm itawale wafu maana majority hawajielewi
ongeeni tu ila usalama wa nchi kwanza maana yakianza machafuko ukabila huwa haukosekani
 
Umenena vema sana. Tena huko Congo hawakuwahi kupewa madaraka makubwa ndani ya Serikali kama ilivyo hapa kwetu.

Fikiria mpaka tuna Naibu Waziri Mkuu. Hivi kwa nafasi kama hiyo atafanya mangapi kwaajili ya ndugu zake?

Alikuwa tu Waziri wa madini, madudu aliyoyafanya kwaajili ya kuwanufaisha wanyarwanda wenzake yanatisha. Huyu mtu aliwanyang'anya vitalu vya uchimbaji dhahabu Watanzania na wawekezaji wa nje, na kuwagawia jamaa zake wanayarwanda. Kwa kumtumia jamaa yake aitwaye Evarii, amejitajirisha sana, na kutumia utajiri huo akawa anawahonga wafanya vetting wote na maafisi wa TISS ikulu. Sasa amepewa unaibu waziri mkuu na uwaziri wa nishati. Tunajua anafanya nini huko? Kwa kupitia hiyo nafasi, tunajua atawajaza wanyarwanda wangapi?
Sasa inakuwaje kiongozi wa serikali(system) unakubali kula rushwa kwa ajili ya kuuza nchi? Kama ni hivo idara ya usalama Tanzania isukwe upya,haiwezekani watu wachache wauze nchi! Na mtu kama ni kiongozi wa serikali kama anaona hajaridhika na kuishi Tanzania aitwe ahojiwe kwa ushahidi,kisha apelekwe huko anakopeleka taarifa zetu na mali zetu za nchi, non sense mtu anapewa dhamana ya nchi halafu unauza hiyo dhamana.
 
Sisi wananchi tukishikirikiana na Jwtz tutaweza kuwatokomeza wahamiaji haramu wote
Inawezekana lakini itakuwa kazi ngumu kwa kuwa hata humo JWTZ tayari wameishapenyamo na wana ushawishi mkubwa sana.

Na kwenye muhimili mkuu wa uongozi tayari wamo. Hivi kwa mfano VP tutaanzia wapi kumng'oa na kumrudisha kwao Burundi?
 
Sisi wananchi tukishikirikiana na Jwtz tutaweza kuwatokomeza wahamiaji haramu wote
Hata we mwenyewe tukitrace gene zako maabara tunagundua inawezekana generation zako mbili zinatatoka zambia ,kutokana na gene resemblance,tukiichukulia hii issue serious watabaki watanganyika wachache hawazidi hata millioni ishirini,ila tatizo elimu elimu elimu na rudia elimu plus ujinga unapata ujuaji na upumbafu😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom