Hongera CP Hamduni Salum kwa kumpigia simu Elioth Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi

Unataka kunambia Roma na Mo bado wanamuogopa Makonda hadi sasa?

Kwanini wasiende mahakamani kama nao wana ushahidi, maana sidhani kama mama atamlinda makonda dhidi yao.
 
Asee hii inafikirisha sana, mambo mengi yaliyoelezewa humu hayawezekani kwa hali ya kawaida

Na kama hii ni kweli, basi mna haki ya kumchukia sabaya

Ila ... logically haijakaa sawa sawa hii.
 
Huyu kijana hana tofauti ya yale Majambazi yanayoteka na kuua mabarabarani na msituni.. jamaa ni gaidi aisee.
 
Legacy ya mwenda zake inaharibiwa hii ni legacy kubwa sana ya JPM hakika alikuwa anapenda watu wa aina ya sabaya haswa alipokuwa anashughulikia watu ambao waliambiwa NYIE MAENDELEO YAMETOSHA SUBIRINI WENGINE...hukohuko wakapelekewa gambo,mnyeti,jery muro...dah mbaya zaidi waziri mkuu kafikishiwa malalamiko akanyamaza kimya
 
Kwa hiyo Sabaya anajihusisha pia na madawa ya kulevya? Alipata wapi bangi na mirunhi?
 
Sabaya anaonewa sana, angekuwepo dikteta magufuli haki ingetendeka
 
Ni kwanini polisi, Takukuru na a Waziri Mkuu walishindwa kumsaidia mzee Lyimo?
ni kwa sababu kijana alifanya kazi kwa usahihi ya kuwalawiti na kuwatesa wana chadema,hiyo ilikuwa ni furaha kubwa sana kwa CHIEF SADDIST tena watu wa huko walishaambiwa maendeleo yametosha so sabaya alikuwa mtu sahihi kuwa frustrate maana wafanyabishara kibao walifunga bishara na kuhamishia mitaji nairobi,kilimanjaro in 5 years wangeiua kabisa
Kule vunjo wananchi tena kupitia group la whatsapp walichanga 2 billions kujenga 3 kms za lami Kippi warioba mkuu wa wilaya akawa hataki anakazania waikabisgi serikalini jmaa wakakataa sasa uliza vinara wa mchango kilichowakuta kutoka TRA
Yaani vilikuwa visa vya waziwazi ni vita kabisa
 
Kamata majahili tupa Lupango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…