Hongera CP Hamduni Salum kwa kumpigia simu Elioth Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi

Hongera CP Hamduni Salum kwa kumpigia simu Elioth Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi

Ukitaka kujua sabaya alikuwa katili tafuta clip ambayo inamwonyesha akitoa kichapo kwa mfanyabiashara wa Arusha .

Kupitia ile clip mm kiukwel nimemwona sabaya ana ukatil shetan akasome .yote yanayosemwa hapa naamin ni kweli kabisa ,watu hawawez kukuchukia kiasi hicho .

Pia ukitaka kujua kuwa hawa watu aina ya makonda ni wanafki wa hatar anaua usiku kesho yupo kanisani anatoa hadi machoz kamuulize roma .Roma na mo wana Siri nzito sana ya makonda alivyokuwa mafia ila naamini makonda atakuja kulipa kuhusu Roma ,mo na wengine aliowafanyia umafia ,jamaa ajichunge sana Kuna cku watakuja kuta mwili wake unaelea juu ya maji huku ukiwa umelawitiwa kabisa maana watu wana machungu nae sana ,bahat nzuri nae analijua Hilo kuwa Kuna muda wa kulipa yale yote aliyowafanyie wenzie
Unataka kunambia Roma na Mo bado wanamuogopa Makonda hadi sasa?

Kwanini wasiende mahakamani kama nao wana ushahidi, maana sidhani kama mama atamlinda makonda dhidi yao.
 
Asee hii inafikirisha sana, mambo mengi yaliyoelezewa humu hayawezekani kwa hali ya kawaida

Na kama hii ni kweli, basi mna haki ya kumchukia sabaya

Ila ... logically haijakaa sawa sawa hii.
 
1623667626653.png
 
Huyu kijana hana tofauti ya yale Majambazi yanayoteka na kuua mabarabarani na msituni.. jamaa ni gaidi aisee.
 
Legacy ya mwenda zake inaharibiwa hii ni legacy kubwa sana ya JPM hakika alikuwa anapenda watu wa aina ya sabaya haswa alipokuwa anashughulikia watu ambao waliambiwa NYIE MAENDELEO YAMETOSHA SUBIRINI WENGINE...hukohuko wakapelekewa gambo,mnyeti,jery muro...dah mbaya zaidi waziri mkuu kafikishiwa malalamiko akanyamaza kimya
 
Kabisa mkuu maana ukisikia matendo ya wasaidiz wake yanatia kinyaa Sana na jins hayat alivyokuwa akijipambanua kuwa n mzalendo mtoa haki na haya tunayoyaona na mengne kusikia Kuna shida mahali kwa intelejensia yetu na madaraka ya Rais n makubwa Sana kwa kwel

Kuna mwaka tutachagua chizi kabisa na aiuze nchi na wananchi tutaufyata kabisaa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo Sabaya anajihusisha pia na madawa ya kulevya? Alipata wapi bangi na mirunhi?
 
Napenda kutumia fursa hii kumpongeza kwa dhati Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni kwa kumpigia simu mzee Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi.

Mzee Lyimo ni mfanyabiashara ambaye aliporwa TZS 25M na aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya. Inaelezwa kuwa Sabaya alikua na desturi ya kufuatilia akaunti za wafanyabiashara wakubwa na kujua kiasi walichonacho bank.

Baada ya kufuatilia akaunti ya mzee Lyimo na kujiridhisha kuwa ana "mzigo wa kutosha" bank, alimvamia nyumbani kwake akiwa na mabaunsa, pamoja na askari polisi wa kituo cha polisi Bomang'ombe. Askari hao walibaki nje ya geti wakiwa kwenye gari. Inadaiwa Sabaya aliambatana na Juma Rahibu ambaye kwa sasa ni Meya wa Moshi.

Waliingia ndani wakiwa na mabegi mawili. Walitoa silaha na kuwaweka chini ya ulinzi familia nzima. Kisha wakamchukua mzee Lyimo na kuzungumza nae. Sabaya akamwambia "nahitaji 25M sasa hivi, ama nikukabidhi haya mabegi yawe yako"

Akafungua kumuonesha begi moja lina bangi na jingine lina mirungi. Mzee Lyimo akaona anatengenezewa kesi ya madawa ya kulevya ambayo haina dhamana. Na ukizingatia umri wake anaweza kufia gerezani. Basi akakubali kutoa kiasi hicho cha pesa.

Sabaya akaagiza polisi waliokua nje na "difenda" wamsindikize bank, ambapo alienda kutoa kiasi hicho cha pesa na kuja kumkabidhi Sabaya. Matukio yote yalirekodiwa kwenye CCTV za nyumbani kwa mzee Lyimo lakini Sabaya wala hakujali. Alijua mamlaka inayomlinda ni kubwa sana.

Hata hivyo mzee Lyimo hakuridhika na akaamua kutafuta haki yake kimyakimya. Akaenda kuripoti TAKUKURU lakini hawakumsaidia, akaripoti polisi hawakumsaidia. Baadae akamwambia Godbless E.J. Lema ambaye alilifikisha kwa Waziri mkuu lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.

Sasa baada ya Sabaya kukamatwa, Lema akaamua kuandika tweet ya kukumbushia haki ya mzee Lyimo. Baada ya kuona tweet hiyo mamlaka zimeanza kuchukua hatua. CP Hamduni amempigia simu mzee Lyimo na tayari TAKUKURU Kilimanjaro wameshafungua jalada. Hongera sana Hamduni, naamini mzee Lyimo atapata haki yake.

View attachment 1818470
Sabaya anaonewa sana, angekuwepo dikteta magufuli haki ingetendeka
 
Ni kwanini polisi, Takukuru na a Waziri Mkuu walishindwa kumsaidia mzee Lyimo?
ni kwa sababu kijana alifanya kazi kwa usahihi ya kuwalawiti na kuwatesa wana chadema,hiyo ilikuwa ni furaha kubwa sana kwa CHIEF SADDIST tena watu wa huko walishaambiwa maendeleo yametosha so sabaya alikuwa mtu sahihi kuwa frustrate maana wafanyabishara kibao walifunga bishara na kuhamishia mitaji nairobi,kilimanjaro in 5 years wangeiua kabisa
Kule vunjo wananchi tena kupitia group la whatsapp walichanga 2 billions kujenga 3 kms za lami Kippi warioba mkuu wa wilaya akawa hataki anakazania waikabisgi serikalini jmaa wakakataa sasa uliza vinara wa mchango kilichowakuta kutoka TRA
Yaani vilikuwa visa vya waziwazi ni vita kabisa
 
Napenda kutumia fursa hii kumpongeza kwa dhati Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni kwa kumpigia simu mzee Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi.

Mzee Lyimo ni mfanyabiashara ambaye aliporwa TZS 25M na aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya. Inaelezwa kuwa Sabaya alikua na desturi ya kufuatilia akaunti za wafanyabiashara wakubwa na kujua kiasi walichonacho bank.

Baada ya kufuatilia akaunti ya mzee Lyimo na kujiridhisha kuwa ana "mzigo wa kutosha" bank, alimvamia nyumbani kwake akiwa na mabaunsa, pamoja na askari polisi wa kituo cha polisi Bomang'ombe. Askari hao walibaki nje ya geti wakiwa kwenye gari. Inadaiwa Sabaya aliambatana na Juma Rahibu ambaye kwa sasa ni Meya wa Moshi.

Waliingia ndani wakiwa na mabegi mawili. Walitoa silaha na kuwaweka chini ya ulinzi familia nzima. Kisha wakamchukua mzee Lyimo na kuzungumza nae. Sabaya akamwambia "nahitaji 25M sasa hivi, ama nikukabidhi haya mabegi yawe yako"

Akafungua kumuonesha begi moja lina bangi na jingine lina mirungi. Mzee Lyimo akaona anatengenezewa kesi ya madawa ya kulevya ambayo haina dhamana. Na ukizingatia umri wake anaweza kufia gerezani. Basi akakubali kutoa kiasi hicho cha pesa.

Sabaya akaagiza polisi waliokua nje na "difenda" wamsindikize bank, ambapo alienda kutoa kiasi hicho cha pesa na kuja kumkabidhi Sabaya. Matukio yote yalirekodiwa kwenye CCTV za nyumbani kwa mzee Lyimo lakini Sabaya wala hakujali. Alijua mamlaka inayomlinda ni kubwa sana.

Hata hivyo mzee Lyimo hakuridhika na akaamua kutafuta haki yake kimyakimya. Akaenda kuripoti TAKUKURU lakini hawakumsaidia, akaripoti polisi hawakumsaidia. Baadae akamwambia Godbless E.J. Lema ambaye alilifikisha kwa Waziri mkuu lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.

Sasa baada ya Sabaya kukamatwa, Lema akaamua kuandika tweet ya kukumbushia haki ya mzee Lyimo. Baada ya kuona tweet hiyo mamlaka zimeanza kuchukua hatua. CP Hamduni amempigia simu mzee Lyimo na tayari TAKUKURU Kilimanjaro wameshafungua jalada. Hongera sana Hamduni, naamini mzee Lyimo atapata haki yake.

View attachment 1818470
Kamata majahili tupa Lupango
 
Back
Top Bottom