Hongera daughter. Division 2 ya point 20 from Kayumba School

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Nianze Kwa kushusha lawama nzito sana Kwa wazazi jirani zangu ambao mlikuwa mnawasomesha watoto wenu Kayumba kuanzia primary huku Mimi nikichoma hela Kwa kumsomesha huyu dogo shule ya EM kuanzia chekechea Hadi la Saba.

Duh mlikuwa mnanichora tu nnavyo pigwa hela zangu kiboya na maboya.

Kwanini hamkuniambia ni raha hivi kumsomesha dogo Kayumba halafu anatusua?

Anyways I thank God kuanzia form one Hadi form 4 kasoma Kayumba na kapata Division 2 ya point 20.

Na kama asingekuwa "mtundu mtundu" angepata one kabisa . Coz alipomaliza mtihani wa form two niliona mabadiliko I think alipata kiboy friend wakawa wanadanganyana.

So form 3 na form 4 yote hiyo her life style was just " Osh Kosh B'Gosh"

Hata kujisomea home alikuwa hajisomei akirudi home ni tv na Instagram na yeye na virafiki vyake ( class mates) vikija kumtembelea home story zao ni za Ki elfu 2 elfu 2.

Matokeo yametoka kapata Division 2 ya point 20 something hich means that ataenda form 5 shule ya serikali. Huko najua atapata wani tu Kwa sababu itakuwa boarding na atakuwa a little bit matured. ( she wqs born in 2007.

Kumbuka.

Huyu ni mtoto wa uswahilini.

Kazaliwa jijini Dar es Salaam, uswazi

Kukulia uswazi.

Na pepa form 4 katusua.

( Watu wa mikoani wanasemaga Dar es salaam watoto hawasomagi)

My Budget was : 50 Cents.

But Matokeo : Jay Z.

No stress No nothing but dogo katusua, what a feeling.

Kilicho nifurahisha Zaidi kuhusu shule Yao ni kwamba katika zile Division One 5 kwenye shule Yao, zote ni watoto walio piga pure Kayumba kuanzia la kwanza..

Wewe Mtanzania unae jistress kusomesha watoto wako shule ya Ems wakati huna assets huna real investment Kwa ajili ya future ya watoto wako, acha kuendelea kujitesa for nothing. Usiwe kama wale vilaza wanao amini katika kujitesa .

Haya twende Kazi Sasa: Kimbia haraka Sana nenda kawatoe watoto wako shule ya Ems warejeshe Kayumba. Wewe mwenyewe ni masikini wa kutupwa. Hiyo pesa unayo itupa Huko itumie kufanya investments na kumsimamia mtoto wako kwenye shule hiyo hiyo ya Kayumba.

Kama Upo obsessed na English Kuna programs kibao za kuwasaidia watoto kumaster English.

# Kwanini Uhangaike kwenda kuuza nyumba au kiwanja Chako upate pesa za kumlipa 50 cents aje kufanya interview kwenye podcast yako wakati unayo cash ya kumlipa Tony Yayo na chochote unacho taka kujua kuhusu 50 cent, Tony Yayo anaweza kukujibu Kwa ufasaha kabisa?

Ni kwamba hesabu zinakupiga chenga ama ubongo wako umekuwa wired kuwa fala?
 
a18754272a145f51e35913839e846f0f.jpg

Alie iba vidonge vya huyu mgonjwa avirudishe!

Acha kufundisha watu njaa zako wewe

Kila mtu anafanya vile anavyotaka

Unaweza kuta unasomesha mtoto kayumba lakini umepangishia malaya mbezi , sasa which is which.

🤢🤮
 
Nianze Kwa kushusha lawama nzito sana Kwa wazazi jirani zangu ambao mlikuwa mnawasomesha watoto wenu Kayumba kuanzia primary huku Mimi nikichoma hela Kwa kumsomesha huyu dogo shule ya EM kuanzia chekechea Hadi la Saba.

Duh mlikuwa mnanichora tu nnavyo pigwa hela zangu kiboya na maboya.

Kwanini hamkuniambia ni raha hivi kumsomesha dogo Kayumba halafu anatusua?

Anyways I thank God kuanzia form one Hadi form 4 kasoma Kayumba na kapata Division 2 ya point 20.

Na kama asingekuwa "mtundu mtundu" angepata one kabisa . Coz alipomaliza mtihani wa form two niliona mabadiliko I think alipata kiboy friend wakawa wanadanganyana.

So form 3 na form 4 yote hiyo her life style was just " Osh Kosh B'Gosh"

Hata kujisomea home alikuwa hajisomei akirudi home ni tv na Instagram na yeye na virafiki vyake ( class mates) vikija kumtembelea home story zao ni za Ki elfu 2 elfu 2.

Matokeo yametoka kapata Division 2 ya point 20 something hich means that ataenda form 5 shule ya serikali. Huko najua atapata wani tu Kwa sababu itakuwa boarding na atakuwa a little bit matured. ( she wqs born in 2007.

Kumbuka.

Huyu ni mtoto wa uswahilini.

Kazaliwa jijini Dar es Salaam, uswazi

Kukulia uswazi.

Na pepa form 4 katusua.

( Watu wa mikoani wanasemaga Dar es salaam watoto hawasomagi)

My Budget was : 50 Cents.

But Matokeo : Jay Z.

No stress No nothing but dogo katusua, what a feeling.

Kilicho nifurahisha Zaidi kuhusu shule Yao ni kwamba katika zile Division One 5 kwenye shule Yao, zote ni watoto walio piga pure Kayumba kuanzia la kwanza..

Wewe Mtanzania unae jistress kusomesha watoto wako shule ya Ems wakati huna assets huna real investment Kwa ajili ya future ya watoto wako, acha kuendelea kujitesa for nothing. Usiwe kama wale vilaza wanao amini katika kujitesa .

Haya twende Kazi Sasa: Kimbia haraka Sana nenda kawatoe watoto wako shule ya Ems warejeshe Kayumba. Wewe mwenyewe ni masikini wa kutupwa. Hiyo pesa unayo itupa Huko itumie kufanya investments na kumsimamia mtoto wako kwenye shule hiyo hiyo ya Kayumba.

Kama Upo obsessed na English Kuna programs kibao za kuwasaidia watoto kumaster English.

# Kwanini Uhangaike kwenda kuuza nyumba au kiwanja Chako upate pesa za kumlipa 50 cents aje kufanya interview kwenye podcast yako wakati unayo cash ya kumlipa Tony Yayo na chochote unacho taka kujua kuhusu 50 cent, Tony Yayo anaweza kukujibu Kwa ufasaha kabisa?

Ni kwamba hesabu zinakupiga chenga ama ubongo wako umekuwa wired kuwa fala?
Masha'Allah
 
Uko sahihi kabisa,maraisi wetu wote walisoma kayumba,kuanzia J K.Nyerere ni sifa tuu na kujimwambafya mahela!
 
Hongera kwa binti yako anastahili ........ Leo mchinjie jogoo she deserves that!

kidato Cha tano concentration nzuri akipiga single school itakuwa rahisi kufaulu zaid compared na mix school kwa A level

All the best to her
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
 
Mbona kama makasiriko au umekasirika mtoto wa mwenzio kupata Division 2.

Nyie ndio mnakuwaga wachawi hadi NECTA siku hizi hawaweki majina wanaweka namba ili msione majina ya watoto wenzenu walivyo faulu mkaenda kuwaroga
ajenda yake hujaielewa? Ana wivu na wazazi wanowekeza kielimu kwa watoto kwa kuwapa elimu bora ya gharama.
 
Back
Top Bottom