Hongera daughter. Division 2 ya point 20 from Kayumba School

Hongera daughter. Division 2 ya point 20 from Kayumba School

Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Ni wakati mzurii wa kumtengenezea future yake..... Najua ana plan zake lakini mueke au zungumza naye ujue anaenda kusoma nn ama kafaulu masomo yepi ? Na jee yupo tyr kwa combination husika!

Asifike fom six hajui asome nn chuoni it's a time now to decide for her next carrier..... Nafurah kuona madg wakifanya vzr hasa waliopita shule ya kata ama serikalini za kawaida.....

Pia mkuu Kuna issue siku hz kupangiwa chuo hata akiwa na two jee upo tyr mwanao kuanza diploma one ?
 
ajenda yake hujaielewa? Ana wivu na wazazi wanowekeza kielimu kwa watoto kwa kuwapa elimu bora ya gharama.
Elimu bora ni nini
Ni wakati mzurii wa kumtengenezea future yake..... Najua ana plan zake lakini mueke au zungumza naye ujue anaenda kusoma nn ama kafaulu masomo yepi ? Na jee yupo tyr kwa combination husika!

Asifike fom six hajui asome nn chuoni it's a time now to decide for her next carrier..... Nafurah kuona madg wakifanya vzr hasa waliopita shule ya kata ama serikalini za kawaida.....

Pia mkuu Kuna issue siku hz kupangiwa chuo hata akiwa na two jee upo tyr mwanao kuanza diploma one ?
Yeye mwenyewe anapenda kupiga 5 na 6 so atapiga 5 na 6
 
Nampa hongera binti nawe pia kama mzazi hongera najua jitihada zako pia zimefanya 2 ikapatikana.
 
NI ile inayoendana na wakati,

Kuendana na wakati ni nini? Wakati ni nini?
vitendea kazi bora:- majengo mazuri,maabara za kisasa,na uwiano bora kati ya walimu na wanafunzi,huduma bora kiafya,usafiri na chakula.

Kwa hiyo hata kama haina uwezo wa kusolve matatizo as long as watoto wanaenda shule na gari still bado itakuwa elimu bora kwako?
 
Kuendana na wakati ni nini? Wakati ni nini?


Kwa hiyo hata kama haina uwezo wa kusolve matatizo as long as watoto wanaenda shule na gari still bado itakuwa elimu bora kwako?
Kama hujaelewa kwaheri.. huna hoja ya maana😅😅🙌
 
I don't know.

But basing on what you post in here, I'm pretty sure it's very high.

You're vindictiveness towards EMS made me believe you'd make sure your child scores the very best just to prove your point.

But here we are.
You are a c student. You have failed my Class. This is not what I am preaching
 
Nianze Kwa kushusha lawama nzito sana Kwa wazazi jirani zangu ambao mlikuwa mnawasomesha watoto wenu Kayumba kuanzia primary huku Mimi nikichoma hela Kwa kumsomesha huyu dogo shule ya EM kuanzia chekechea Hadi la Saba.

Duh mlikuwa mnanichora tu nnavyo pigwa hela zangu kiboya na maboya.

Kwanini hamkuniambia ni raha hivi kumsomesha dogo Kayumba halafu anatusua?



Anyways I thank God kuanzia form one Hadi form 4 kasoma Kayumba na kapata Division 2 ya point 20.

Na kama asingekuwa "mtundu mtundu" angepata one kabisa . Coz alipomaliza mtihani wa form two niliona mabadiliko I think alipata kiboy friend wakawa wanadanganyana.

So form 3 na form 4 yote hiyo her life style was just " Osh Kosh B'Gosh"

Hata kujisomea home alikuwa hajisomei akirudi home ni tv na Instagram na yeye na virafiki vyake ( class mates) vikija kumtembelea home story zao ni za Ki elfu 2 elfu 2.

Matokeo yametoka kapata Division 2 ya point 20 something hich means that ataenda form 5 shule ya serikali. Huko najua atapata wani tu Kwa sababu itakuwa boarding na atakuwa a little bit matured. ( she wqs born in 2007.

Kumbuka.


Huyu ni mtoto wa uswahilini.

Kazaliwa jijini Dar es Salaam, uswazi

Kukulia uswazi.

Na pepa form 4 katusua.

( Watu wa mikoani wanasemaga Dar es salaam watoto hawasomagi)


My Budget was : 50 Cents.

But Matokeo : Jay Z.

No stress No nothing but dogo katusua, what a feeling.

Kilicho nifurahisha Zaidi kuhusu shule Yao ni kwamba katika zile Division One 5 kwenye shule Yao, zote ni watoto walio piga pure Kayumba kuanzia la kwanza..


Wewe Mtanzania unae jistress kusomesha watoto wako shule ya Ems wakati huna assets huna real investment Kwa ajili ya future ya watoto wako, acha kuendelea kujitesa for nothing. Usiwe kama wale vilaza wanao amini katika kujitesa .

Haya twende Kazi Sasa: Kimbia haraka Sana nenda kawatoe watoto wako shule ya Ems warejeshe Kayumba. Wewe mwenyewe ni masikini wa kutupwa. Hiyo pesa unayo itupa Huko itumie kufanya investments na kumsimamia mtoto wako kwenye shule hiyo hiyo ya Kayumba.

Kama Upo obsessed na English Kuna programs kibao za kuwasaidia watoto kumaster English.



# Kwanini Uhangaike kwenda kuuza nyumba au kiwanja Chako upate pesa za kumlipa 50 cents aje kufanya interview kwenye podcast yako wakati unayo cash ya kumlipa Tony Yayo na chochote unacho taka kujua kuhusu 50 cent, Tony Yayo anaweza kukujibu Kwa ufasaha kabisa?

Ni kwamba hesabu zinakupiga chenga ama ubongo wako umekuwa wired kuwa fala?

Kwa cv ya Mwanao atafanikiwa kufika mpaka degree, ila atakuja kuleta usumbufu kwenye ndoa lazima, vijana na watoto wangu huyu ni Baba Mkwe wenu mtarajiwa na hivi ndivyo anamuelezea binti yake, kweli Malezi Hakuna siku hizi!
 
Back
Top Bottom