Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si atulie.... hatuwezi kufananahujamuelewa yaani yeye haoni impact yoyote ya EMs kwani mwisho wa siku wanakuja kukutana na Kayumba huko vyuoni nahao Kayumba wanawaburuza wa EMs sasa yanini utumie pesa nyingi badala ya kumuwekea investment mapema? Ingekuwa na huko mbeleni kuna vyuo vya waliotoka EMs vyenye hadhi ya juu kuliko waliotoka Kayumba hapo sawa..hv hvo waliotoka EMs mwisho wa siku wanakuja kusaka ajira pamoja na hawa waliotoka Kayumba nini maana yake? anaenda mbali kwa kusema kama huko EMs mnafata kingereza mbona kuna program mtoto anaweza zitumia kujifunza kingereza..Ngoja niachie hapo kwanza nimechoka kuponyeza.
Angetusua hapo, angepata fursa ya kwenda A level nzuri ambayo ni mlango wa mafanikioMkuu Mimi nimeshahama kutoka kwenye mentality ya kutaka good grades.
But if we go down to that level kuna wanafunzi wapeta division 3 na 4 kwenye shule za private.
Dogo anasoma Kayumba na katusua Division 2 ambayo inampeleka form five halafu unasema sijafikia lengo? What's up? Kwani lengo la kusoma O level si kufaulu kwenda 5?
Mkuu hiyo nimeikuta tu inazunguka WhatsApp kuna mpambano mkali hapa kuhusu lugha ya kufundishia ngoja nirudi chimbo kuifuatiliaHii shule Gani?
Hii Isunga chupi iko wapi mkuu?Anajua. Ni Mtoto wa mjini. Hajakulia Isunga Chupi. Ukizaliwa mjini Daslamu tayari wewe ni form 6 hata kama umeishia la saba
We nawe? Upo so much obsessed na English eti eeh?🤣🤣🤣🤣🤣
sio hoja hyo kuna waliosoma Kayumba wanapiga ngeli kama walisomea abroad vile.Congratulations still mateso ya debate na presentations chuo bila ung'eng'e atapata tabu sana. Somesha watoto ems kama uwezo unakuruhusu mkuu
Uelewa wako mdogo Sana mbona hamaanishagi hivyo?ajenda yake hujaielewa? Ana wivu na wazazi wanowekeza kielimu kwa watoto kwa kuwapa elimu bora ya gharama.
Kweli kabisa English ni wewe tu ukiwa unaipenda utaijuasio hoja hyo kuna waliosoma Kayumba wanapiga ngeli kama walisomea abroad vile.
Ushauri; Hakikisha anajua computer ili aende sambamba na wale wa EMs
Sasa kama unajua hamuwezi kufanana una komenti Nini kwenye Uzi wake. HajakuitaSasa si atulie.... hatuwezi kufanana
Uelewa wako mdogo Sana mbona hamaanishagi hivyo?
sio hoja hyo kuna waliosoma Kayumba wanapiga ngeli kama walisomea abroad vile.
Sasa kama unajua hamuwezi kufanana una komenti Nini kwenye Uzi wake. Hajakuita
Ilikuwa Zamani hiyo mkuu siku hizi utandawazi umebadilisha mambo watu wengi Sana wanajua English
Sikia nowdays hakuna haja ya kupata ama kufaulu kwa A zote , hakuna dili , hata mwanangu napenda apate katikati, mie nimepata hizo wani both A&O hakuna maajabu sana.For your standards, II 20 is very mediocre.