Hongera daughter. Division 2 ya point 20 from Kayumba School

Anajua. Ni Mtoto wa mjini. Hajakulia Isunga Chupi. Ukizaliwa mjini Daslamu tayari wewe ni form 6 hata kama umeishia la saba
Isunga chupi ndo wapi Likud 😹😹🤣
 
My schools are Ilboru and Tabora boys , hao ndio wengine walikuwa watani wetu, boys mtu alikuwa anakomaa anatoka bila hata ya mwalimu kutoa mchango wowote, yaani tulizoea kukomaa wenyewe so inakujengea how to find out something for yourself
100% Fact
 
Hongera sana.

Toto langu limesoma Precious Blood limepata Div 1 ya Point 7 limenuna kwasababu hizo point ni jambo la kawaida sana.

Precious Blood ukipata Div 1 ya point 10 na kuendelea umefanya vibaya sana.

Hizi shule za Catholic ni balaa kubwa yaani hakuna Div 2 kabisa mwisho ni One ya 11.

Sasa wewe unakuja na Div 2 ya point 20 unashangilia huku Precious wangekanyongelea mbali kwa kutia doa kubwa na baya Shule takatifu.

Ngongo kwasasa niko na Binti yenu River Tree 🌳 tunakula bata ingawa hana furaha sana.
 

Bajeti ya aliyotumia Ngongo Kwa mtoto wake kuanzia form one mpaka form 4 👇👇

= Milioni ishirini.


Matokeo ya form 4= Division 1 ya point 7.


Bajeti aliyo tumia Likud Kwa mtoto wake kuanzia form one mpaka form 4 = 50 Cents.


Matokeo = Division 2 ya point 20.

Wote wanaenda Form V
Halafu Ngongo eti anamshangaa Likud kushangilia matokeo ya mtoto wake.


Ngongo ni kwamba hujui hesabu ama?


Yani wewe Hamisa Mobetto umemuhonga Milioni Kumi ndio kakupa halafu Mimi kanipa Bure.

Hapo mjanja nani fala nani?
 
English muhimu bana. Usitese watoto
To Numbisa , English is better than Oygen🤣🤣🤣

Ila ukiweza kupata jibu la swali, Tunakula ili tuishi au tunaishi ili ule? Ndo utajua English ni muhimu au Sio muhimu
 
 
Defensive mechanism
Broke ass
 
Kula inapatikana baada ya kuongea. Tunaongea ili tuishi
To Numbisa , English is better than Oygen🤣🤣🤣

Ila ukiweza kupata jibu la swali, Tunakula ili tuishi au tunaishi ili ule? Ndo utajua English ni muhimu au Sio muhimu
 
Haaaa haaaa LIKUD kupanga ni kuchagua.Vipato vyetu havilingani,vipaumbele vyetu vinatofautiana sana.

Sasa wewe unaona 20 Mil hela nyingi sana huwezi kuwekeza kwa mwanao unaibana unajiona mjanja wakati mimi na familia yangu tunatumia hiyo hela kushherekea XMAS na Mwaka mpya.

Jirani yangu watoto wake wanasomo St Constantine fees yake kwa mwaka ni bei ya Hilux double cabin.

Ngongo kwasasa Rivet Tree 🌳 USARIVER.
 
Umewekeza Kwa mwanao au umewekeza Kwa mmiliki wa shule?



Jirani yangu watoto wake wanasomo St Constantine fees yake kwa mwaka ni bei ya Hilux double cabin.

Ngongo kwasasa Rivet Tree 🌳 USARIVER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…