Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Hiyo ni pesa ndefu lakini siyo kwamba ameipata kwa wakati mmoja, ni kwamba kaipata throughout toka ameanzisha channel yake na post zote alizokuwa akipost video zote ukicombine ndiyo unapata hiyo billion views.Tunaambiwa ya kua kijana Diamond Platnumz kwa sasa ana 1 Billion youtube views, wale watalaam wa mitandao na views katika Youtube hiyo ni sawa na bei gani?
ndio, ametazamwa mara bilioni, ndio nataka kujua ni pesa ngapi hizo, na mfano kama hajawahi ku claim hizo pesa alikua anaziacha tu ziwe nyingiHiyo ni pesa ndefu lakini siyo kwamba ameipata kwa wakati mmoja, ni kwamba kaipata throughout toka ameanzisha channel yake na post zote alizokuwa akipost video zote ukicombine ndiyo unapata hiyo billion views.
hahaBei ya IST mbili tu.
Ni ngumu sana kujua mkuu maana pia Youtube wanalipa kutokana na location ya watazamaji ina matter. Aliyetazama video na tangazo akiwa US yani watazamaji tokea US wanakupa mapato zaidi kuliko wa TZ.ndio, ametazamwa mara bilioni, ndio nataka kujua ni pesa ngapi hizo, na mfano kama hajawahi ku claim hizo pesa alikua anaziacha tu ziwe nyingi
Watazamaji wa kazi za Diamond...Ni ngumu sana kujua mkuu maana pia Youtube wanalipa kutokana na location ya watazamaji ina matter. Aliyetazama video na tangazo akiwa US yani watazamaji tokea US wanakupa mapato zaidi kuliko wa TZ.
Lakini roughly inaweza fika zaidi ya dollar 2,000,0000