Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

Mkuu, Kwa bahati mbaya kulingana na matakwa ya Youtube hauwezi kutengeneza fedha unayoitegemea kwa kutegemea tu Idadi ya watazamaji ulionao tu.
Watu bado wana uelewa mdogo na hawataki jifunza
 
Unataka utukanwe
 
Mkuu Kumbuka kuwa ukiwa na subscribers wengi youtube inakuwa rahisi zaidi kupata views nyingi pia Youtube.
 
Mkuu ujuejuhudi binafsi lazima zitumike kwa ajili ya kuongeza kwa kasi hao Viwers na Subscribe huko Youtube kama upo Serious na kutengeneza pesa YouTube.

 
Mkuu Kumbuka kuwa ukiwa na subscribers wengi youtube inakuwa rahisi zaidi kupata views nyingi pia Youtube.
Sawa ila watu nao wanaangalia idadi na kasi ya unavyoupload video ndo wasubscribe kitu ambacho Diamond anakifanya....Nimetolea mfano wa Wizkid kuwa na video chache ila bado ana views wengi...Je angeupload hata nusu tu ya video allizoupload Mond, angekosa views Billion?
 
Nadhani Hao tidal, itune na youtube hawamfikii VEVO, faida ya msanii kuwa VEVO ni kwamba atasaidiwa nyimbo zake kupigwa promo na VEVO wao wenyewe kwa sababu hao wapo kibiashara zaidi wakati YouTube na hao wengine hawafanyi hivyo badala yake msanii anategemea ukubwa wa mashabiki wake yaani (Subscribers). Pia VEVO wanabana uhuru wa msanii wa kuposti videos ambazo sio rasmi kama matamasha yao au hata video za behind The Scene hao wanataka Official Release Videos wakati kwenye mtandao wa YouTube, Tidal, Itunes k msanii anakuwa huru kuposti videos zozote alizorekodi ilimradi zisivunje sheria zilizowekwa na wenye mtandao husika. Na hapa ndio maana kuna baadhi ya wasanii wanaotumia akaunti za VEVO wanalazimika kuwa na akaunti mbili yaani akaunti ya Youtube na VEVO ili wapate uhuru wa kuposti matukio mbalimbali ....... am stand to corrected guys.
 

Sasa uwoni ni ujinga wa uyo Wizzy kutokuweka Videos unalaumu Diamond vipi
 
Brother 😂 🤣 🤣 🤣 🤣 Itunes,Sportfy ,Tidal wanapost video....... ?

Hivi unajua bila Youtube hamna VEVO.Alafu VEVO ni kitu cha kawaida sana nashangaa mnavyoikuza,VEVO founded na UMG na SONY special kwa ajili ya wasanii waliokuwa chini yao na inategemea na Mkatab wako,Diamond na UMG Mkataba ni wa kusimamia audio ktk streaming platform zote.....ila video anazisimamia mwenyewe.

So hizi Itunes,Boomplay,Tidal,Sportfy hizi special kwa kustream audio na kuuza audio na si video.Huko kuna hela ndefu ndefu kuliko youtube wala VEVO ambayo ipo supported na Youtube.
 
Mkuu ebu tusaidiane jambo moja kwamba, kwamba pesa anazopata msanii husika kupitia youtube ni kutokana na matangazo hayo ambayo utatumiwa kutoka google (automatically) , sasa yale matangazo hayo yatakuwa yakionekana katika video zako utakazo kuwa unazipost lakini ili kupata matangazo hayo utatakiwa kukidhi VIGEZO vya Youtube ambavyo ni;
1. LAZIMA CHANNEL YAKO IWE IMETUMIKA KWA MIEZI ISIYOPUNGUA MI3.
2. LAZIMA CHANNEL YAKO IWE NA VIEWS WASIOPUNGUA 1000 KWA HIYO MIEZI MI3.
3. LAZIMA CHANNEL YAKO IWE NA SUBSCRIBES ZISIZOPUNGUA 100.
4. LAZIMA UWE NA ACCOUNT YA GOOGLE ADSENSE (kwaajili ya kulipwa pesa yako.
 
shida yako wewe umesoma haraka haraka sana ila shukrani kwa ukosoaji wako wenye hekima 🙏
 
Kama ni 3000 kwa views 1000 basi malipo kwa 1mil views ni 3mil ambapo sio rahisi kama tunavyoandika hapa
Mkuu kwanza nikusahishe kidogo, umekosea hesabu.... m=kwa views elf 1 ukilipwa elf 3 ina maana ya kwamba utapokea milioni 30 sio milioni 3. Endelea tu kuwa mbishi mkuu ula ndio facts hizi....

Kuna wengine kwa views zinazokaribia laki 2 wanapata pesa zaidi ya milioni 1 na nusu, hapo kwa views milioni ni zaidi ya milioni 7. Karibu ulimwengu wa utandawazi, Usione kina Diamond na kina Harmonze wanatoa tu vyupa vikali kaadri wanvyojisikia, Pesa ya vyupa zinarudi na chenji kubwa tu ya kununulia harrier inabaki

 
Hesabu zinakupiga chenga.
Kumbuka milioni ni 1000 mara 1000
Sasa kama 1000 ni 3000 hapo chukua 3000 mara 1000 unapata 3mil na pia youtube si wajinga kihivyo kukupa ads kwa kila view.
 
Hesabu zinakupiga chenga.
Kumbuka milioni ni 1000 mara 1000
Sasa kama 1000 ni 3000 hapo chukua 3000 mara 1000 unapata 3mil na pia youtube si wajinga kihivyo kukupa ads kwa kila view.
Youtube hawatoi adds zile adds zinatoka Google Adsense Automatic mkuu. Jmaa hesabu inampa chenga sana mkuu.
 
Samahanini jamani naomba kuuliza. Hivi hapa anaestahili pongezi ni anaeangaliwa au sisi tunaoangalia?
 
Mkuu Youtube uangalia zaidi video iliyotazamwa zaidi kuliko kiasi cha followers au subscribers ulionao kwenye chanel yako ya Youtube. Hivyo basi kama Video zako zinaangaliwa zaidi basi una nafasi kubwa ya kutengeneza fedha nyingi sana youtube hata kama hauna followers wengi.
 
Ni wapi nimeandika kinyume!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…