Hongera Diamond kwa release ya Utanipenda, umenishika Nifah!

Asubir video bora utunzi ni Barnaba na kiba mwisho
Kweli,na kwenye video nimependa pale kwenye dinner date,the way anavyotikisa kichwa chake kwa mbwembwe....daaamn!
Suti nyeupe imemtoa sana.
 
Asubir video bora utunzi ni Barnaba na kiba mwisho

Mkuu usitegemee kumuona Diamond anashindanishwa tena, kwenye vituzo uchwara...

Ndio maana hata Nzumari za Kenya hukumuona, alizochukuwa zinatosha itabidi awaachie wenzake yeye akibakia kuwa Godfather kwenye Game
 
Nami naomba niseme Hapa hapa, Ingawa tulikuwa tunatofautia Kiitikadi kule Siasani lakini kwa bandiko Hili nakupa Saluti Nifah na kuanzia leo nakuweka katika Orodha Ya Wenye misimamo mikali na Iliyotukuka.

Daima Ukweli Usemwe hata Kama Utawaumiza Wengine.. Natamani kumuona Wema Akijitokeza na Kuusifia huu Wimbo..

HONGERA NIFAH
 

Mkuu kwani hujamuona wema akiimba wimbo wa Taifa???
https://www.instagram.com/p/_TZEUPKU-x/
https://www.instagram.com/p/_TZEUPKU-x/
https://www.instagram.com/p/_TZEUPKU-x/
 
Mkuu mbona hadi kuuimba ameuimba tayari?
Cheki link alizoweka Kidingi hapo juu uende ukaangalie video.

Asante sana,am humbled!
 
Last edited by a moderator:
pwilo my dear, relax....
Nisome vizuri tena,wala sijaedit hii post tokea nilivyoipost.
Jifunze kusoma post yote kabla ya kucomment.
Nifah wala usijali mimi nilimjibu huyo alie ni tag tu kila mtu na uhuru wake
 
Last edited by a moderator:
nyimbo n haram af unajisifia unasema ukweli ukweli upi huo
shame upon ur face

tooby ila llah faina lmauta qad-hana
 
nyimbo n haram af unajisifia unasema ukweli ukweli upi huo
shame upon ur face

tooby ila llah faina lmauta qad-hana
Kheri yako wewe Maalim tena Khamsa Salawati lakini umeweza kuja kwenye hili jukwaa na kufungua hii thread hadi ukaisoma yote na kuimaliza!!!!!

Nilidhani waumini kama wewe wanasoma Quran tu muda wote kumbe hata mambo kama haya mnasomaga?
Masikini Umat Muhammad unapotea!!!
 
Jamaa kajitahidi ni miongoni mwa nyimbo nzuri za kitanzania...nice
 
Nachelea kusema hujui mziki mzuri,huu wimbo nimeukubali sanaaaa.
Diamond simpendi na hata katika post yangu nimesisitiza hilo.
Baniani mbaya,kiatu chake dawa....
Sifa zake tumpe tu jamani,hatutopungukiwa na chochote kwa kusema ukweli.

Kwahiyo kuukubali mziki wewe ndiyo utuaminishe kuwa wimbo mzr au au sijui ndiyo uchelewe au uchelea kusema wengine hatujui mziki...! Mimi shabiki wa diamond ingawa sina mambo ya team make huwa naona km maujinga fulani but kwa huu wimbo naona unastahili miongoni mwa nyimbo mbovu alizowahi kufanya diamond...!
 
Oh,basi kila mtu abaki na lake.
 
watu tuko tofauti kwa kweli

mie huu wimbo sijaupenda kabisaaaaaaaa
 
nyimbo n haram af unajisifia unasema ukweli ukweli upi huo
shame upon ur face

tooby ila llah faina lmauta qad-hana

Unaweza kumiliki simu/computer ya kukufanya uzurure mitandaoni wakati kuna watu hawana hata uhakika kula mlo mmoja kwa siku? usijitie utakatifu, na anasa zako...!!
 
Unaweza kumiliki simu/computer ya kukufanya uzurure mitandaoni wakati kuna watu hawana hata uhakika kula mlo mmoja kwa siku? usijitie utakatifu, na anasa zako...!!
Mtakatifu katika jukwaa la celebrities, hatari sana.
 
nifah achana na huyo kenge. Pleaseee. Lets enjoy the good music. Anakutisha nini labda?
pwilo my dear, relax....
Nisome vizuri tena,wala sijaedit hii post tokea nilivyoipost.
Jifunze kusoma post yote kabla ya kucomment.
 
Last edited by a moderator:

Kwa mfano mond akibadilika na kuacha hako katabia kalikofanya umchukie #JeUtampenda na kurudi team yake ??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…