Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I don't care
nifah ni msaliti kama lipumba na slaaa...sijui amehongwa sh. ngapi..
hiyo statement imenifurahisha sana,nazani umeutendea haki ule msemo maarufu." ukweli utakuweka huru" that is why,baada ya kuusema ukweli amani ikapatikana!nazani hii mbinu ya diamond na mautundu ya kubadilisha badilisha flavour kila uchao mwisho wa siku kaangukia kwenye 'touches' zako.Let's enjoy good music!Hapana kaka,wewe wanijua vyema,huwa siwezi kuuficha ukweli.Na hili jambo lilikuwa linanisumbua sana,lakini tokea niliweke wazi nimekuwa na amani.
hiyo statement imenifurahisha sana,nazani umeutendea haki ule msemo maarufu." ukweli utakuweka huru" that is why,baada ya kuusema ukweli amani ikapatikana!nazani hii mbinu ya diamond na mautundu ya kubadilisha badilisha flavour kila uchao mwisho wa siku kaangukia kwenye 'touches' zako.Let's enjoy good music!
Hadi nifah kashikwa!!!
ID yako tu inaonesha wewe ni mtu wa aina gani.