Hongera Diamond kwa release ya Utanipenda, umenishika Nifah!

Hongera Diamond kwa release ya Utanipenda, umenishika Nifah!

nifah sasa naomba Diamond amshike mkono Ali Kiba
Nilivyoona hii mention kidogo nizimie....lol

Haya mabifu ya kijinga yaishe sasa jama,imagine wakifanya collaboration!!!
Nitafurahi sana.
 
Last edited by a moderator:
Nilivyoona hii mention kidogo nizimie....lol

Haya mabifu ya kijinga yaishe sasa jama,imagine wakifanya collaboration!!!
Nitafurahi sana.

Ha ha ha!!
Why uzimie jamani?😀
 
Sidhani kama Mondi anashida ila Tatzo Kiba atakubali? Ila ikatokea akakubali Kiba Africa nzima itamjua
Diamond X AliKiba
Hivi ujue hawa watu wakiungana tutaishika Afrika nzima?
Hizi beef za kishamba ziishe sasa.
 
Hivi ujue hawa watu wakiungana tutaishika Afrika nzima?
Hizi beef za kishamba ziishe sasa.

Kabisa yani itakua zaid ya collabo" wanaChemistry nzuri wakifanya collabo na ipigwe video moja matata" africa tunaikamata ..
 
Back
Top Bottom