Asante sana jirani,mimi ni mkweli siku zote,basi tu hunielewagi.
Nikuulize wewe......
Nilivyoona hii mention kidogo nizimie....lol
Haya mabifu ya kijinga yaishe sasa jama,imagine wakifanya collaboration!!!
Nitafurahi sana.
nifah sasa naomba Diamond amshike mkono Ali Kiba
Yataanza na sisi mashabiki.
Nilivyoona hii mention kidogo nizimie....lol
Haya mabifu ya kijinga yaishe sasa jama,imagine wakifanya collaboration!!!
Nitafurahi sana.
Asanteeee
Sio sahihi kumlinganisha Ally Kiba na Diamond kwa sasa
nifah sasa naomba Diamond amshike mkono Ali Kiba
Basi tu umenikuta kwenye mood nzuri.
Sio sahihi kumlinganisha Ally Kiba na Diamond kwa sasa
Hivi ujue hawa watu wakiungana tutaishika Afrika nzima?
Hizi beef za kishamba ziishe sasa.