Hongera Diamond kwa release ya Utanipenda, umenishika Nifah!

Mtumeee usha fall in love with him. Hio ndo sababu
 
Last edited by a moderator:
Thanks for your appreciation nifah.Tahadhari yako baadae niliielewa maana hili jukwaa members wako kwenye makundi ya ushabiki. Kuna mashabiki wa AK na wapo wa DPtnmz.Ukitoa thread ya kumsifia mmoja wa hao, mashabiki wa upande mwingine wananyanyua juu mikuki yao!Anyway, ulijaribu kujieleza vizuri bila ushabiki ule wa kukera.
 
Last edited by a moderator:
Mtumeee usha fall in love with him. Hio ndo sababu
Sio kila mtu anayemsifia mtu amefall in love nae,kama unanijua vyema mondi sijawahi kumkubali tokea nijiunge humu takribani miaka miwili sasa.
Kafanya vizuri na mimi ni mkweli,nikampa hongera zake.
To cut long story short,sijawahi kumpenda Diamond kwa namna ya kimapenzi hata siku 1.
 
Ha ha ha, leo umetoa dukuduku lako
 
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa chibu, but kusema ukweli hii nyimbo ya utaipenda hapana!! me sijaipenda kwakweli serious. Kitu nana aaah! ni moto wa kuotea mbali!!!!
 
Duh! Km ndoto vile
 
Last edited by a moderator:
Excellent! Kuwa shabiki wa Kiba kusifanye usikubali wimbo mzuri wa Diamond. The same applies kwa washabiki wa Diamond. Kiba akifanya kweli, lazima apewe heshima yake.

By extension....
 
Malalamiko ya Wema kwnd kw Team Wema
 
Attachments

  • 1450373656775.jpg
    50.1 KB · Views: 145
Duh! Km ndoto vile
Kabisa,sikuwahi kufikiri kama kuna siku nitamkubali mondi hadharani......ila ndio hivyo,jamaa kafanya poa nami sina khiyana,nimempa pongezi zake.
 
Excellent! Kuwa shabiki wa Kiba kusifanye usikubali wimbo mzuri wa Diamond. The same applies kwa washabiki wa Diamond. Kiba akifanya kweli, lazima apewe heshima yake.

By extension....
Sure.......
 
Kabisa,sikuwahi kufikiri kama kuna siku nitamkubali mondi hadharani......ila ndio hivyo,jamaa kafanya poa nami sina khiyana,nimempa pongezi zake.

Hongera! Ila mi ndio siikubali kabisa hii nyimbo, zaidi ya ujumbe
 
Tatizo la mtoa mada ni kwamba yeye alimchukia diamond sababu ya siasa!
 
kuna thread aliileta Pasco kule jukwaa la siasa ambapo yeye alisema kama wewe nifah kuwa yeye kuanzia ile juzi amemkubali magufuli japo si shabiki wake..amekubali kile alichokifanya magufuli lakini si vinginevyo....na wewe umeonyesha hilo..hongera kwa kuzisikiliza hisia za ndani kabisa
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la mtoa mada ni kwamba yeye alimchukia diamond sababu ya siasa!
Masikini weeeee,kweli wewe mgeni humu na umenijua wakati wa uchaguzi.
Nashindwa hata nikuambie nini maana kama ni harusi basi sasa hivi bibi harusi yule ana mtoto......
Imagine umechelewa kiasi gani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…