pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Sasa moyo wangu na nifah unafanana kwani kila mtu na mapenzi yake mtu anabadilisha dini na inakuwa kawaida itakua kuhama team kiba
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa moyo wangu na nifah unafanana kwani kila mtu na mapenzi yake mtu anabadilisha dini na inakuwa kawaida itakua kuhama team kiba
Sasa moyo wangu na nifah unafanana kwani kila mtu na mapenzi yake mtu anabadilisha dini na inakuwa kawaida itakua kuhama team kiba
Kwanza kabisa naomba niwajuze wale wasiomfahamu nifah...
Mimi ni mkweli na mwenye msimamo mkali.
Huwa nasimamia katika kile ninachokiamini bila kuogopa wengine watapinga vipi au kunichukulia vipi.
Back to topic... Ni ukweli ulio dhahiri kuwa Diamond kafanya vizuri,na mimi kutokana na aya ya kwanza hapo juu sitaki kuwa mnafiki au kumung'unya maneno.....UMENISHIKA Diamond.
Nimependa Audio,video yaani kila kitu.
Tokea ulivyoutoa huu wimbo jumamosi nimekuwa nauangalia mara nyingi sana,na mara zote nimekuwa natikisa kichwa na kusema naam....hapa jamaa kaweza.
Ni unafiki na kuendeleza ubishani wa kipumbavu kwa kuponda vizuri kwa mwamvuli wa team, tuachane na huu ujinga na kuukubali ukweli.
Mimi kama mdau wa muziki mzuri,nasema huu wimbo wa Diamond ni mzuri sana.
#Note
Nimetoa hii post kwa mapenzi yangu mwenyewe,haina maana kwamba sasa nimekuwa team Diamond hapana,penye ukweli lazima niseme.
Sasa sitaki unafiki na kejeli kuwa nimesanda sijui na nini maana nawajua mashabiki wa Diamond vizuri tu.
Msilolijua ni kwamba nilikuwa shabiki mzuri tu Diamond, ila alikuja kunikera sehemu fulani (hata sasa simpendi ila nimeupenda wimbo wake).
Wale fans wa Kiba wenzangu bado nipo nanyi,ila tujifunze kusema ukweli.
Hata nyie majirani zetu pia....sio mnapenda wimbo lakini mnachokisema huku ni tofauti.
Period
Hajahama timu kapenda wimbo,sasa tatizo liko wapi ??????Sasa moyo wangu na nifah unafanana kwani kila mtu na mapenzi yake mtu anabadilisha dini na inakuwa kawaida itakua kuhama team kiba
Mkuu nimeingia nimeiona hiyo hadi nimeipenda safi WEMA si vizuri kuwa na kinyongo na ex inabidi maisha yaendelee na akiendelea hivi atatushika wengi.Mkuu kwema??? umemuona sepenga anavyoshusha mashairi #UTANIPENDA kama katunga yeye vilee
https://www.instagram.com/p/_TZEUPKU-x/
https://www.instagram.com/p/_TZEUPKU-x/
pwilo my dear, relax....Sasa moyo wangu na nifah unafanana kwani kila mtu na mapenzi yake mtu anabadilisha dini na inakuwa kawaida itakua kuhama team kiba
pwilo my dear, relax....
Nisome vizuri tena,wala sijaedit hii post tokea nilivyoipost.
Jifunze kusoma post yote kabla ya kucomment.
Yalaaaaa,wewe mnafiki umeonaje huu uzi?
Laiti ningeweza ningeuficha usiuone!
Sio case, nilishakuambia kuwa baada ya mwaka nitatoa tathmini yangu.
Unanijua mimi ni mdada makini,huwa sikurupuki....huu wimbo nimeusikiliza tokea jumamosi,nimeufanyia tathmini ndio maana leo nimefunguka.
Magufuli nae baada ya mwaka kupita nikifanya mchanganuo wa aliyoyafanya na kuona mengi ameyafanikisha kwanini nisimkubali?
Hahahahaa katia doa kivipi mkuu?
Niko outdated kwenye hilo,nijuze tafadhali.
Hahahahahaa uniambie wapi?Asanteeeee.. Hivi nishawahi kukwambia unasifa flani hivii za u genius?
https://m.youtube.com/watch?feature=youtu.be&v=q9l2ItDLsUk
Kwanza kabisa naomba niwajuze wale wasiomfahamu nifah...
Mimi ni mkweli na mwenye msimamo mkali.
Huwa nasimamia katika kile ninachokiamini bila kuogopa wengine watapinga vipi au kunichukulia vipi.
Back to topic... Ni ukweli ulio dhahiri kuwa Diamond kafanya vizuri,na mimi kutokana na aya ya kwanza hapo juu sitaki kuwa mnafiki au kumung'unya maneno.....UMENISHIKA Diamond.
Nimependa Audio,video yaani kila kitu.
Tokea ulivyoutoa huu wimbo jumamosi nimekuwa nauangalia mara nyingi sana,na mara zote nimekuwa natikisa kichwa na kusema naam....hapa jamaa kaweza.
Ni unafiki na kuendeleza ubishani wa kipumbavu kwa kuponda vizuri kwa mwamvuli wa team, tuachane na huu ujinga na kuukubali ukweli.
Mimi kama mdau wa muziki mzuri,nasema huu wimbo wa Diamond ni mzuri sana.
#Note
Nimetoa hii post kwa mapenzi yangu mwenyewe,haina maana kwamba sasa nimekuwa team Diamond hapana,penye ukweli lazima niseme.
Sasa sitaki unafiki na kejeli kuwa nimesanda sijui na nini maana nawajua mashabiki wa Diamond vizuri tu.
Msilolijua ni kwamba nilikuwa shabiki mzuri tu Diamond, ila alikuja kunikera sehemu fulani (hata sasa simpendi ila nimeupenda wimbo wake).
Wale fans wa Kiba wenzangu bado nipo nanyi,ila tujifunze kusema ukweli.
Hata nyie majirani zetu pia....sio mnapenda wimbo lakini mnachokisema huku ni tofauti.
Period
Nachelea kusema hujui mziki mzuri,huu wimbo nimeukubali sanaaaa.Wimbo wenyewe mbona mbaya tuuh...! We nifah smd bado una mapenzi na diamond siyo wimbo...!
Hahahahahaa uniambie wapi?
Kisa leo nimekufurahisha ndio umeniambia.