Hongera DP world kwa kutua Tanzania

Hongera DP world kwa kutua Tanzania

kweli teknolojia inanunuliwa lakini sio kama unavyo nunua computers, teknolojia nyingine ni gharama kubwa ni sawa na bajeti ya miaka 20 ya nchi yetu,

kwa upande wa uzoefu, wafanyakazi wetu wa kitanzania watafundishwa na kujengewa uzoefu na hao wafanyakazi wa DPW.
WA Tz ni wafanyakazi wazuri Tu, Wana siasa ndio wanao haribu nchi hii na utaalamu, uadilifu n.k , hivyo cha kuwa DPw ni uongozi WA kisiasa
 
WA Tz ni wafanyakazi wazuri Tu, Wana siasa ndio wanao haribu nchi hii na utaalamu, uadilifu n.k , hivyo cha kuwa DPw ni uongozi WA kisiasa
watanzania tubadilike, tunaendekeza wizi sana.....bandari ilikuwa kichaka cha wezi wakubwa, wafanyabiashara wakubwa walikuwa wanapitisha mizigo hapo bila kulipa ushuru, ....kuna watu wananufaika na udhaifu ulipo kwenye badari yetu kwa sasa......bora muwekezaji aweke nguvu yake hapo...tuongize Billioni 27 kwa mwezi.
 
Mimi sijaelewa hao wanaopinga si wanaopinga vifungu vilivyomo na si uwekezaji.Serikali ifanyie kazi vifungu hivyo , mwekezaji apewe bandari.Mbona vitu simple tu kwa serikali.
Kwa jinsi walivyopeana kwa kifucho,Hila na gizani bila kuwekwa Mambo wazi ya uwekezaji huu wa DP WORLD NI WAZI,
Kuna unyang'au umefanyika ndio hili Jambo lilikuwa Siri Sana mpaka mpenda TANGANYIKA alifichua Siri hii ndio wengine tukajua.Kwanin walifanya Siri tangu mwanzo?

Wanatua NGUVU kubwa ili suala hili likubalike.
1).Wanahongo watu.
2).Watishie wengine.
3).wanajaribu kuwateka walio kinyume na dp world.
4)wanasafirisha watu kutoka sehemu mbali×2 wahudhurie mikutano yao.kwa hio Kuna hadaa.
5).Mama SAMIA na ccm yake hapa wanakitaka Ni Waarabu hao wa DP WORLD wakati wa uchaguzi wawapatie FEDHA za kampeni.

Hawajali mtanzania hata kidogo wanaangalia Matumbo yao TU.

TUKATAE UWEKEZAJI WA KISHENZI KAMA HUU HAUFAI NI WA OVYO OVYO SANA HAIJAWAHI KUTOKEA.
 
watanzania tubadilike, tunaendekeza wizi sana.....bandari ilikuwa kuchaka cha wezi wakubwa, wafanyabiashara wakubwa walikuwa wanapitisha mizigo hapo bila kulipa ushuru, ....kuna watu wananufaika na udhaifu ulipo kwenye badari yetu kwa sasa......bora muwekezaji aweke nguvu yake hapo...tuongize Billioni 27 kwa mwezi.
Hayo mabadiliko yanaweza kufanywa na Sisi wenyewe viongozi wakisiasa tukiwabadilisha wao ndio tatizo
 
Usiondoe watu relini. Wanaopinga huu Mkataba ni Watanzania karibia wote. Mimi ni CCM na ninapinga huu Mkataba,
Njoo kwenye korido za maofisi za CCM uone, hakuna kutizamana usoni.
Bunge,na kamati kuu ya ccm waliodhiria mkataba uendelee kumbe hawakuwa ccm eeh
 
Faida moja ya hawa wawekezaji labda mlikuwa hamjaiona ,mambo ya kugomboa mzigo wako itakuwa kwa bei che kabisa.

Na hata mnaosafirisha magari na vinginetele kutoka huko ulimwenguni kuingia TZ mbona itakuwa bei che kabisa yaani ,hata serikali itakuwa haihusiki kabisa na kutupangia bei wateja.
Ile kufukuzana na panda shuka kugomboa mzigo bandarini ,yaani unatoa chauchau mpaka unaamua kuachana na mzigo ,yote yatakuwa mambo ya paukwa pakawa hapo zamani za kale.

Ndio maendeleo , Nani asiejua ugumu wa kutoa mzigo bandarini na ukitoka si ajabu kukuta vitu vimepungua.
DP world itazidi kuwafungua macho waTanzania.

Bado uwanja wa Ndege.
 
Wengi wao wanaona SISI tunaokataa ama kupinga uwekezaji wa DP WORLD (tunakosea); Wafuatilie hao wanasapoti MAMA SAMIA na ccm kwenye suala hili.

Asilimia kubwa ndio wapiga madeal,Ni wachia Tumbo TU.Lakini Ni watu wa system SERIKALINI Ila walioingizwa kimichongomichongo na kwa MASLAHI ya wachache.

Baadhi yao wamepewa vyeo wasivyovistahili,Watu wa namna hii wanaliingiza TAIFA kwenye hasara kubwa,
Mafarakano,Kutugawa kidini.
Nina chkia sanakuona Kiongozi unayemwona anafaa Kisha ANATURUGA KWA TAMAA YA KUJILIMBIKIZIA FEDHA NA MALI NA KUTUMIA RASILIMALI ZETU VIBAYA NA KWA HASARA NAMNA HII.
 
Faida moja ya hawa wawekezaji labda mlikuwa hamjaiona ,mambo ya kugomboa mzigo wako itakuwa kwa bei che kabisa.

Na hata mnaosafirisha magari na vinginetele kutoka huko ulimwenguni kuingia TZ mbona itakuwa bei che kabisa yaani ,hata serikali itakuwa haihusiki kabisa na kutupangia bei wateja.
Ile kufukuzana na panda shuka kugomboa mzigo bandarini ,yaani unatoa chauchau mpaka unaamua kuachana na mzigo ,yote yatakuwa mambo ya paukwa pakawa hapo zamani za kale.

Ndio maendeleo , Nani asiejua ugumu wa kutoa mzigo bandarini na ukitoka si ajabu kukuta vitu vimepungua.
DP world itazidi kuwafungua macho waTanzania.

Bado uwanja wa Ndege.
MUNGU na awalaani wote wenye nia MBAYA na Bandari ZETU kamwe wasiruhusiwe kufanikiwa kuendelea kutuibia Mali ZETU na KUWAPA waarabu,WASHINDWE KWA JINA LA YESU KRISTO.

Tunauwezo wa kuziendeleza wenyewe bila warabu ama wazungu hata bila wachina.

Ni viongozi wasiotumia Akili ipasavyo kwa manufaa ya umma,Ni wavivu wa kufikiri,sio wabunifu,Ni walegevu, wazembe na wenye kujaa tamaa MBAYA wenye kujaa udini.

MAMA SAMIA yeye sio mwalimu waadarasa inakuaje unafanya Mambo kidini dini hivi.MUNGU NA AHUKUMU KATI YA MAMA SAMIA NA MALI ZETU WATANGANYIKA,MUNGU ASINYAMAZE,MUNGU AONAYE SIRINI na aingilie Kati kikamilifu na skate mzizi wa fitina juu ya mkataba wa Kipuuzi usio na Ukomo.
 
Barabara 8 alishajenga Magufuli kimara mwisho to kibaha so ni jambo linawezekana bila hata DP World.

Serikali ikisitisha kununua V6 LC300 za billion 500 kila mwaka tu inakamilisha hilo zoezi ndani ya miaka 8 ya raisi aliyepo madarakani.
Hili uliloongea hapa ndio kitu mtu mweusi hataki kufanya, sisi tuishi extravagant hatutaki kujinyima ili tufanye maendeleo tutegemee wawekezaji wafanye, upo sahihi kabisa inawezekana kwa ku cut unnecessary spending. Hamna kitu hatuwezi fanya including usimamizi wa hiyo bandari. kikubwa hapa tunatakiwa kuwa wazalendo.
 
Palipoandikwa
Faida moja ya hawa wawekezaji labda mlikuwa hamjaiona ,mambo ya kugomboa mzigo wako itakuwa kwa bei che kabisa.

Na hata mnaosafirisha magari na vinginetele kutoka huko ulimwenguni kuingia TZ mbona itakuwa bei che kabisa yaani ,hata serikali itakuwa haihusiki kabisa na kutupangia bei wateja.
Ile kufukuzana na panda shuka kugomboa mzigo bandarini ,yaani unatoa chauchau mpaka unaamua kuachana na mzigo ,yote yatakuwa mambo ya paukwa pakawa hapo zamani za kale.

Ndio maendeleo , Nani asiejua ugumu wa kutoa mzigo bandarini na ukitoka si ajabu kukuta vitu vimepungua.
DP world itazidi kuwafungua macho waTanzania.

Bado uwanja wa Ndege.
Wata intervene TRA na TPA fee structure ni wapi?
 
Upinzani wacheni kupiga mekelele wala huko mahakamani hakutokusaidieni kitu ,subirini kama mkijaaliwa kushinda 2025,tuone yenu.
Ninachokiona walichonacho hawa vikoti kama askari wa magereza ni kushupalia udini,japo wanajilinda lakini kuna mbegu za udini zinajipandikiza na zimeanza kutoa miche.(Tuwekeeni udini pembeni hao maaskofu waacheni makanisani na misikitini). Kila mtu abebe mzigo wake.

Hakuna Nchi imeendelea kivyakevyake hakuna. Tz inahitaji ushirikiano ,hili la bandari sio ishu kabisa,isipokuwa vilaza wachache wanaofaidika na milango ya uwani ndio wamelivalia njuga ,kuudanganya umma wa waTanzania.

Ukweli hawana hoja zaidi ya hivyo vijisheria viwili vitatu.

DP world inajipanga kujenga barabara 8 lanes 4 go 4 return kuunganisha mipaka yote inayotegemea bandari za TZ ,hilo sio jambo dogo,barabara za kisasa,mnapoambiwa bandari za kisasa ,mfahamu kila kitu within the port will be automated systematical ,huoni mtu au watu kuluka luka huku na kule ,kila kitu monitored from the screen.

Wapinzani tafuteni jingine la kufanya hili la bandari waachieni CCM wajipapatuwe ,hamliwezi hata mkienda kwa wataalamu aka waganga.

Mnawagandisha waTz kwenye Bandari hivi hili mnaona liawasaidia kwenye uchaguzi 2025 ? Kwa nini hamjikiti kwenye madai ya Tume huru za Uchaguzi,kwa nini hamliamshi la Katiba ?

Mnangoja kesho uchaguzi ndio mnaanza makelele ya tunadaka tume mpya na huru tunataka katiba mpya au hatuingii kwenye uchaguzi ,uongo mtupu , kwani mwisho wa siku mnaingia kwenye uchaguzi.

Au na nyinyi ni watu/vyama vitengo vya serikali iliyopo madarakani ? Mna agenda za siri .
Turufu pekee ya CCM maji yakifika shingoni ni kukimbilia UDINI. Kwenye suala hili la bandari, hoja ya UDINI hakuna atakayeisikiliza, kinachoangaliwa ni bandari zetu kwa Nini apewe DP World bila tenda, Tena bandari za Tanganyika tu?
 
Upinzani wacheni kupiga mekelele wala huko mahakamani hakutokusaidieni kitu ,subirini kama mkijaaliwa kushinda 2025,tuone yenu.
Ninachokiona walichonacho hawa vikoti kama askari wa magereza ni kushupalia udini,japo wanajilinda lakini kuna mbegu za udini zinajipandikiza na zimeanza kutoa miche.(Tuwekeeni udini pembeni hao maaskofu waacheni makanisani na misikitini). Kila mtu abebe mzigo wake.

Hakuna Nchi imeendelea kivyakevyake hakuna. Tz inahitaji ushirikiano ,hili la bandari sio ishu kabisa,isipokuwa vilaza wachache wanaofaidika na milango ya uwani ndio wamelivalia njuga ,kuudanganya umma wa waTanzania.

Ukweli hawana hoja zaidi ya hivyo vijisheria viwili vitatu.

DP world inajipanga kujenga barabara 8 lanes 4 go 4 return kuunganisha mipaka yote inayotegemea bandari za TZ ,hilo sio jambo dogo,barabara za kisasa,mnapoambiwa bandari za kisasa ,mfahamu kila kitu within the port will be automated systematical ,huoni mtu au watu kuluka luka huku na kule ,kila kitu monitored from the screen.

Wapinzani tafuteni jingine la kufanya hili la bandari waachieni CCM wajipapatuwe ,hamliwezi hata mkienda kwa wataalamu aka waganga.

Mnawagandisha waTz kwenye Bandari hivi hili mnaona liawasaidia kwenye uchaguzi 2025 ? Kwa nini hamjikiti kwenye madai ya Tume huru za Uchaguzi,kwa nini hamliamshi la Katiba ?

Mnangoja kesho uchaguzi ndio mnaanza makelele ya tunadaka tume mpya na huru tunataka katiba mpya au hatuingii kwenye uchaguzi ,uongo mtupu , kwani mwisho wa siku mnaingia kwenye uchaguzi.

Au na nyinyi ni watu/vyama vitengo vya serikali iliyopo madarakani ? Mna agenda za siri .
Ukishatukana Basi hata wewe unakuwa huna maana!

Great thinker hajengi hoja kwa vijembe.

Sasa wewe una tofauti gani na hao unaowasema.
 
Bunge,na kamati kuu ya ccm waliodhiria mkataba uendelee kumbe hawakuwa ccm eeh
Waarabu wakiamua wanaweza kuwashitaki kwa kuchelewesha kuridhia IGA bungeni, Hatahivyo wameridhia baada ya kukurupushwa na Mkataba kuwekwa hadharani wakakimbia mbio mbio kwenda "Kujisimika" upumbavu, hiyo moja.

Pili, kama kweli CCM na viongozi wa Serikal ambao ndio hao hao tu, walishindwa , aidha kwa makusudi au kwa kupanga kuridhia mkataba ule Kichama, na kiserikali kama ilivyoainishwa- hiyo peke yake inatuambia Wenyewe walifichana kuhusu Mkataba huo, walijua kuna mapungufu , kwamba mchakato mzima ulikuwa shagalabagala na ina maana hata wabunge hawakuwa wanajua wanaenda kuridhia kitu gani wakati huo mkataba umefika Bungeni. Jiulize ni kwanini hoja za mwanzo kabisa kuibuliwa kuhusu mkataba huu zilihusisha Usiri, jiulize ni kwanini whistleblower anashukuriwa. Sio hivyo tu, inadhihirisha wana CCM wachache tu ndio waliojua kuhusu Mkataba huo, nao ni pamoja na January Makamba, Shaka Hamidu Shaka na Mbarawa na makarani walioongozana Dubai.

Hivyobasi suala zima la kuwa Bunge na Kamati kuu vimeridhia ni Propaganda tu, ukweli ni kwamba walichelewa na mchakato.mzima ni tata tu ......wameridhia after the fact kwa lengo la kuwahadaa Wananchi. Wamefanya vitu kinyume nyume kabisaaa......Wanaumbuka CCM tunaumbuka. Wamekamaywa Unyagoni.
 
Umejitoa akili makusudi, unajidai huoni vile terms za ule mkataba na wale waarabu zilivyo za hovyo kwetu, zilizotugeuza watumwa ndani ya nchi yetu.

Suala hapa sio kupinga uwekezaji, waje kuwekeza lakini lazima pawepo na fairness kwa pande zote.
Wewe unachopinga ni kwa nini Mwarabu, mengine ni kichaka tu
 
Back
Top Bottom