Hongera Evelyn salt Kwa kuwa Miss JF2024: Mwanamke mwenye mvuto na ushawishi JF 2024

#unawatakia siku njema hivi tu?#
Zawadi ya Evelyn Salt Iko wapi?
 
Mmmh haya maneno hadi akili zangu zimehama nlichokiwaza nisamehewe😹, uko wapi kwani.....

Ahsante sana kwa kwa wajumbe kuthamini michango yangu, nasemajeee nitawapigiaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…