Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Ukishamaliza kunywa nitumie lipa namba NikulipieNtakupigiaaaa ngoja kidogo nakunywa hii fanta hapa joto ni kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishamaliza kunywa nitumie lipa namba NikulipieNtakupigiaaaa ngoja kidogo nakunywa hii fanta hapa joto ni kali
wasukuma wana shep?,ingekuwa uganga wa kienyeji sawa.Habari Wakuu!
Hii wengi walitaka itokee, kipekee imetokea.
Wakati Wengine wakimuita Miss pokea Simu
Mimi namuita Angeline Jolie wa JF. Star àmbaye Bongo movie imekosa Vionjo vingi vya kimataifa Kutoka kwàke.
Mwanamke mwenye mvuto zaidi na mwenye ushawishi ikibidi kuliko wote JF Kwa Mwaka 2024.
Naambiwa chumvi yake pekee ni tamu kuliko Ile ya uvinza ukiilamba itakutatiza.
Wakati Wengine wakiwa Kiima yeye alikuwa kiarifu akitamatisha kiyama na hatma ya urembo.
Usukuma wake umesheheni, Wakati Wamakonde wakibeba chungu kichwani Wasukuma walikiweka Chini ha kiuno.
Wastani Kwa idadi kwèñye mizani ni nyama Kilo Mia. Tela la Scania mwendo adoado turboV4 kuubembeleza mzingo wa Eneo lilofungwa upande mmoja.
Hongera Sana Evelyn salt Kwa kuibuka mshindi katika shindano la JF la Watu wasiojulikana wanaopigia Mtu wasiyemjua na bado ukaibuka kidedea.
Evelyn Salt aliibuka mshindi Kwa Kupata Kura 30 akiwabwaga wenzake tisa huku Nyuma Yake akiwa anafuatiwa na To yeye aliyepata kura 27.
Kama utagundua Evelyn salt ni Msukuma huku To yeye ni Mnyakyusa. Correlation ya Siri iliyojitokeza ni kuwa wôte wanatoka kwèñye Makabila àmbayo Wanawake zao Wana shape.
Niwatakie Siku njema
😃😃Mmmh haya maneno hadi akili zangu zimehama nlichokiwaza nisamehewe😹, uko wapi kwani.....
Ahsante sana kwa kwa wajumbe kuthamini michango yangu, nasemajeee nitawapigiaaaa
BAMIA ZIMENIPONZA DADEKIII🤦🙄
Ahsanteee, ila lini hiyooo nimechekea chooni 😂😂😂 labda miaka mitatu hukoo ilopita....ila kwa sasa ni mwendo wa cheko la binua mchanga, yanga banaaa 💛💚💐💐Anastahili kabisa. Nampenda mno Evelyn Salt sababu Huwa anachekea chooni Yanga wakifungwa, anacheka hadi anapaliwa.
Robert Heriel Mtibeli - mshindi anapata zawadi au zawadi ni sir I🤗🤗🤗
Kwanini bibi Faiza hakuwa nominated ktk hizi tuzo?Kata rufaa.
Huyu mwenzako kadanganya wajumbe na sera ya kitapeli ya kuwapigia wajumbe baàda ya uchaguzi
Bro bamia ni code? 😹BAMIA ZIMENIPONZA DADEKIII🤦🙄
Kumbuka nilikuwa mtu wa kwanza kumpigia kura...yupo social sana huyu dada🙏🙏Kata rufaa.
Huyu mwenzako kadanganya wajumbe na sera ya kitapeli ya kuwapigia wajumbe baàda ya uchaguzi
Kwanini bibi Faiza hakuwa nominated ktk hizi tuzo?
Wajumbe watu wa maana sana, nitawapigiaaa giza tu likianza kuingia wapokee simu 😂😃😃
Wajumbe toka umeahidi utawapigia bado wanatumaini Ipo Siku. Imani wanayo ndîo maana wakakupigia Kura.
Kumbe wameachwa stendi 😂😂
Hata baàda ya Ushindi bado unawapa Moyo waendelee kuweka Simu chaji kwani utawapigia na kîla mmoja atafikiwa
Kumbuka nilikuwa mtu wa kwanza kumpigia kura...yupo social sana huyu dada🙏🙏
Wajumbe watu wa maana sana, nitawapigiaaa giza tu likianza kuingia wapokee simu 😂
Faiza anamawenge
Alafu anasifa
Alipopata Tuzo mwaka Jana Mpaka Arabuni walijua