Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Uko wapi sahivi....nije uuone 😊Huo mvuto huwa mnaangalia wapi 🤒🤒🤒??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko wapi sahivi....nije uuone 😊Huo mvuto huwa mnaangalia wapi 🤒🤒🤒??
Ahsante sana teacher ake 🥰
Hahahah Hongera nyingi kwake anaepinga afungue ID ya kike aonyeshe ubora wake.Habari Wakuu!
Hii wengi walitaka itokee, kipekee imetokea.
Wakati Wengine wakimuita Miss pokea Simu
Mimi namuita Angeline Jolie wa JF. Star àmbaye Bongo movie imekosa Vionjo vingi vya kimataifa Kutoka kwàke.
Mwanamke mwenye mvuto zaidi na mwenye ushawishi ikibidi kuliko wote JF Kwa Mwaka 2024.
Naambiwa chumvi yake pekee ni tamu kuliko Ile ya uvinza ukiilamba itakutatiza.
Wakati Wengine wakiwa Kiima yeye alikuwa kiarifu akitamatisha kiyama na hatma ya urembo.
Usukuma wake umesheheni, Wakati Wamakonde wakibeba chungu kichwani Wasukuma walikiweka Chini ha kiuno.
Wastani Kwa idadi kwèñye mizani ni nyama Kilo Mia. Tela la Scania mwendo adoado turboV4 kuubembeleza mzingo wa Eneo lilofungwa upande mmoja.
Hongera Sana Evelyn salt Kwa kuibuka mshindi katika shindano la JF la Watu wasiojulikana wanaopigia Mtu wasiyemjua na bado ukaibuka kidedea.
Evelyn Salt aliibuka mshindi Kwa Kupata Kura 30 akiwabwaga wenzake tisa huku Nyuma Yake akiwa anafuatiwa na To yeye aliyepata kura 27.
Kama utagundua Evelyn salt ni Msukuma huku To yeye ni Mnyakyusa. Correlation ya Siri iliyojitokeza ni kuwa wôte wanatoka kwèñye Makabila àmbayo Wanawake zao Wana shape.
Niwatakie Siku njema
Mtibeli kajipa tuzo kwenye id zake nyingine 😂😂😂😂 shindano lina vitimbwiAu To yeye ndo Evelyn na ndo mtibeli maana haiwezekani bibi FAIZA hakose tuzo
Nimeambiwa wajumbe hawakuridhia😅Nimehuzunika sana kwanini hawajakupa hii tuzo ?
SheitwaaaanAstakafirullah
ni mwalimu wa ngeli kumbe alaah jambo jema
Hahahah Hongera nyingi kwake anaepinga afungue ID ya kike aonyeshe ubora wake.
😁😁😁 aisee😀😀
FaizaFoxy alishashinda Mkûu
Kumweka tena nitawakosesha Wengine Nafasi àmbao hawakupata.
Faiza atashinda Kwa sababu maalumu
😁😁😁 aisee
Yeah 😊ni mwalimu wa ngeli kumbe alaah jambo jema
ASANTENI WOTE MLIONIPIGIA KURA ...Enyi 27 people.... mbarikiwe kwa kuonesha real upendo hata kwa hilo dogo linaloonekana halina maana kwenye macho ya wengine but kwangu limebeba maana kubwa sana."upendo"
Hakutazama threads zangu, comments zangu bali mlitazama kile kisichoonekana kwa macho ila Mwenyezi Mungu kaniumbia.
Ninawapenda na Nina upendo na watu wote.... natamani watu wote tuishi tusife tena tukiwa na afya.
TUJITAHIDI SANA KUENDELEA KUWA WATU WEMA.MUNGU AWABARIKI SANA JF MEMBERS!💓
Naomba namba yakoASANTENI WOTE MLIONIPIGIA KURA ...Enyi 27 people.... mbarikiwe kwa kuonesha real upendo hata kwa hilo dogo linaloonekana halina maana kwenye macho ya wengine but kwangu limebeba maana kubwa sana."upendo"
Hakutazama threads zangu, comments zangu bali mlitazama kile kisichoonekana kwa macho ila Mwenyezi Mungu kaniumbia.
Ninawapenda na Nina upendo na watu wote.... natamani watu wote tuishi tusife tena tukiwa na afya.
TUJITAHIDI SANA KUENDELEA KUWA WATU WEMA.MUNGU AWABARIKI SANA JF MEMBERS!💓
Nitafanya jambo 😁😁😁Nimeambiwa wajumbe hawakuridhia😅
Nakuambia
Ningemweka angeshinda tenà.
Sababu sitaisema