Hongera Evelyn salt Kwa kuwa Miss JF2024: Mwanamke mwenye mvuto na ushawishi JF 2024

Hahahah Hongera nyingi kwake anaepinga afungue ID ya kike aonyeshe ubora wake.
 
ASANTENI WOTE MLIONIPIGIA KURA ...Enyi 27 people.... mbarikiwe kwa kuonesha real upendo hata kwa hilo dogo linaloonekana halina maana kwenye macho ya wengine but kwangu limebeba maana kubwa sana."upendo"
Hamkutazama threads zangu, comments zangu bali mlitazama kile kisichoonekana kwa macho ila Mwenyezi Mungu kaniumbia.
Ninawapenda na Nina upendo na watu wote.... natamani watu wote tuishi tusife tena tukiwa na afya.

TUJITAHIDI SANA KUENDELEA KUWA WATU WEMA.MUNGU AWABARIKI SANA JF MEMBERS!πŸ’“
 

Wamesikia.
NI Vizuri Sana ku- appreciate Watu wanaokukubali
 
Naomba namba yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…