Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Nyuzi za huyo jamaa ni ndefu kama nyimbo za bahati bukuku
Kaangalie huko mnavokimbizwa kimbizwa na watoto wadogo.....πΉUsiseme sasa, watajua.
π€£π€£π€£π€£Afu ilikuwa fupi kama goli la asubuhiNyuzi za huyo jamaa ni ndefu kama nyimbo za bahati bukuku
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ usikute ni bahati bukuku mwenyeweNyuzi za huyo jamaa ni ndefu kama nyimbo za bahati bukuku
Una IDs nyingi sana. Sasa hatujui wewe ni jinsia uke au me.Habari Wakuu!
Hii wengi walitaka itokee, kipekee imetokea.
Wakati Wengine wakimuita Miss pokea Simu
Mimi namuita Angeline Jolie wa JF. Star Γ mbaye Bongo movie imekosa Vionjo vingi vya kimataifa Kutoka kwΓ ke.
Mwanamke mwenye mvuto zaidi na mwenye ushawishi ikibidi kuliko wote JF Kwa Mwaka 2024.
Naambiwa chumvi yake pekee ni tamu kuliko Ile ya uvinza ukiilamba itakutatiza.
Wakati Wengine wakiwa Kiima yeye alikuwa kiarifu akitamatisha kiyama na hatma ya urembo.
Usukuma wake umesheheni, Wakati Wamakonde wakibeba chungu kichwani Wasukuma walikiweka Chini ha kiuno.
Wastani Kwa idadi kwèñye mizani ni nyama Kilo Mia. Tela la Scania mwendo adoado turboV4 kuubembeleza mzingo wa Eneo lilofungwa upande mmoja.
Hongera Sana Evelyn salt Kwa kuibuka mshindi katika shindano la JF la Watu wasiojulikana wanaopigia Mtu wasiyemjua na bado ukaibuka kidedea.
Evelyn Salt aliibuka mshindi Kwa Kupata Kura 30 akiwabwaga wenzake tisa huku Nyuma Yake akiwa anafuatiwa na To yeye aliyepata kura 27.
Kama utagundua Evelyn salt ni Msukuma huku To yeye ni Mnyakyusa. Correlation ya Siri iliyojitokeza ni kuwa wôte wanatoka kwèñye Makabila à mbayo Wanawake zao Wana shape.
Niwatakie Siku njema
Kumbe jamii forum watu wanafahamiana Kwa sura.Habari Wakuu!

Hebu nitag huko au nipe link hapaπ€£π€£π€£π€£Afu ilikuwa fupi kama goli la asubuhi
Nipe sasa namba nikutumie, alaf mi nawapenda singo mama kuhusu kuwachukia labda ulinifananishaNipe tu ya zawadi bhana
Alafu kuna watu wanabisha kuwa wewe sio mbabe....Namba inayopokea muamala naomba, jina litakuja nani.
Kama kuna nyuzi yake inayosema dunia haina huruma ujue ni yeye ππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ usikute ni bahati bukuku mwenyewe
Kumbe jamii forum watu wanafahamiana Kwa sura.
Una IDs nyingi sana. Sasa hatujui wewe ni jinsia uke au me.
Bro, naomba umtag Half american kwenye ule uziππ
Sikusikii vizuri, naona kuna shida ya network. Tuwasiliane wakati mwingine.Kaangalie huko mnavokimbizwa kimbizwa na watoto wadogo.....πΉ
kwa uzuri gani ulionao..? kaa pembeni mwali keshawekwa sokoni...π€£NAPINGA MATOKEO
Dakika 45 hizo nasikia majina tu ateba, ateba kama vile mpo darasani.....πππSikusikii vizuri, naona kuna shida ya network. Tuwasiliane wakati mwingine.
Tulia tulia Eve.Dakika 45 hizo nasikia majina tu ateba, ateba kama vile mpo darasani.....πππ
Mida ya jioni jioni mtibeli ataleta bahasha πΉShoga yangu huu ushindi una maokoto au maneno maneno tu?