Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Njoo nikunoe haiwezekan upitwe na mim nipo bhana@To yeye aliyepata kura 27
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nikunoe haiwezekan upitwe na mim nipo bhana@To yeye aliyepata kura 27
BICHWA KOMWE - na Mshangazi nyie wajinga hamjawahi kuwa serious hata siku mojaDume hilo, sasa jichanganye uingie choo cha MABWABWA.
Jamiiforums tupo madem wawili tu, mimi na Lamomy
Wengine wote MANJEMBA.
Cc: Tlaatlaah Mbaga Jr Poor Brain Kapeace binti kiziwi Extrovert Lloyd Munroe
Pdidy amekuandaliq mafuta ya kupakaaAfya ya akil ni TATIZO KUBWA ila jana waziri mkuu katu hakikishia kuna TUME MTATENGENEZEWA,,,
Hongera kwake, hongera kwa taifa
Robert Heriel Mtibeli jichanganye eve akushenyete. Hiyo dp tu mzee na hii yenyew jf tu.. kama alivyo mwamba muuza juisi ya miwa ubungo pale Lamomy
Tulia mzee, unamharibia plan Mtibeli ....!!Maelezo ya kusifia mwanamke bila picha yake ni uhuni
Asante 😍Evelyn Salt Nilikapenda sana kipidi kile pamoja na masai dada hawa ndio warembo wangu wa siku zote JF.
Tulia mzee, unamharibia plan Mtibeli ....!!
mamako ndio kaigiza pilauLini Angeline Jolie kaigiza Pilau.
Au pilau la Huko kwèñu?
Bila kapicha kake uzi huu ni fake!Habari Wakuu!
Hii wengi walitaka itokee, kipekee imetokea.
Wakati Wengine wakimuita Miss pokea Simu
Mimi namuita Angeline Jolie wa JF. Star àmbaye Bongo movie imekosa Vionjo vingi vya kimataifa Kutoka kwàke.
Mwanamke mwenye mvuto zaidi na mwenye ushawishi ikibidi kuliko wote JF Kwa Mwaka 2024.
Naambiwa chumvi yake pekee ni tamu kuliko Ile ya uvinza ukiilamba itakutatiza.
Wakati Wengine wakiwa Kiima yeye alikuwa kiarifu akitamatisha kiyama na hatma ya urembo.
Usukuma wake umesheheni, Wakati Wamakonde wakibeba chungu kichwani Wasukuma walikiweka Chini ha kiuno.
Wastani Kwa idadi kwèñye mizani ni nyama Kilo Mia. Tela la Scania mwendo adoado turboV4 kuubembeleza mzingo wa Eneo lilofungwa upande mmoja.
Hongera Sana Evelyn salt Kwa kuibuka mshindi katika shindano la JF la Watu wasiojulikana wanaopigia Mtu wasiyemjua na bado ukaibuka kidedea.
Evelyn Salt aliibuka mshindi Kwa Kupata Kura 30 akiwabwaga wenzake tisa huku Nyuma Yake akiwa anafuatiwa na To yeye aliyepata kura 27.
Kama utagundua Evelyn salt ni Msukuma huku To yeye ni Mnyakyusa. Correlation ya Siri iliyojitokeza ni kuwa wôte wanatoka kwèñye Makabila àmbayo Wanawake zao Wana shape.
Niwatakie Siku njema
Huyu dada Evelyn Salt anaonekana kupitia maandishi yake hana mambo ya kiwaki,masikhara mengi straight to the point,mwaka 2025,2026,2027 wampe tena na tenaHabari Wakuu!
Hii wengi walitaka itokee, kipekee imetokea.
Wakati Wengine wakimuita Miss pokea Simu
Mimi namuita Angeline Jolie wa JF. Star àmbaye Bongo movie imekosa Vionjo vingi vya kimataifa Kutoka kwàke.
Mwanamke mwenye mvuto zaidi na mwenye ushawishi ikibidi kuliko wote JF Kwa Mwaka 2024.
Naambiwa chumvi yake pekee ni tamu kuliko Ile ya uvinza ukiilamba itakutatiza.
Wakati Wengine wakiwa Kiima yeye alikuwa kiarifu akitamatisha kiyama na hatma ya urembo.
Usukuma wake umesheheni, Wakati Wamakonde wakibeba chungu kichwani Wasukuma walikiweka Chini ha kiuno.
Wastani Kwa idadi kwèñye mizani ni nyama Kilo Mia. Tela la Scania mwendo adoado turboV4 kuubembeleza mzingo wa Eneo lilofungwa upande mmoja.
Hongera Sana Evelyn salt Kwa kuibuka mshindi katika shindano la JF la Watu wasiojulikana wanaopigia Mtu wasiyemjua na bado ukaibuka kidedea.
Evelyn Salt aliibuka mshindi Kwa Kupata Kura 30 akiwabwaga wenzake tisa huku Nyuma Yake akiwa anafuatiwa na To yeye aliyepata kura 27.
Kama utagundua Evelyn salt ni Msukuma huku To yeye ni Mnyakyusa. Correlation ya Siri iliyojitokeza ni kuwa wôte wanatoka kwèñye Makabila àmbayo Wanawake zao Wana shape.
Niwatakie Siku njema
Yuko vizuriHuyu dada Evelyn Salt anaonekana kupitia maandishi yake hana mambo ya kiwaki,masikhara mengi straight to the point,mwaka 2025,2026,2027 wampe tena na tena