BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Akipiga bapa anaongea sanaaNa wameolewa pia.
Hando ndo maana alisimamishwa kazi, sijui yukoje hata, ana hulka ya kike sanaaa
Hajui kitu huyoThubutu, jay z alioa hakuchuja, Beyonce aliolewa hakuchuja, Michael Jackson alioa hakuchuja, Eminem alioa hakuchuja. The list goes on
Yaan sijui yukojee, sijawahi mkubalii hata.Akipiga bapa anaongea sanaa
Ova
Huyu sinzapazuri jf syo j.lokole kweliNa wameolewa pia.
Hando ndo maana alisimamishwa kazi, sijui yukoje hata, ana hulka ya kike sanaaa
Beyonce ashafulia limebaki jina kubwa tu.Beyonce vipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni Baba Levo.Huyu sinzapazuri jf syo j.lokole kweli
Au baba level huyu
Ova
Kwani majobless huku mtaani HAWAJAENDA SHULE?Laiti haya mahaba uliyonayo kwa wasafi ungekuwa nayo shuleni saa hizi ungekuwa mbali Sana mjomba
Kwa beyonce vipi?Yeye sasa hivi ni mke wa mtu na mama aachane sasa na mambo ya vijana alichoambiwa ni ukweli vijana wanapenda watu wanaofanana nao ndio maana wasanii hawaoi wala kuolewa [emoji23]
Beyonce amefulia limebaki jina hana maajabuKwa beyonce vipi?
View attachment 2595372
Ni wazi Gerald Hando ni mmoja wa manguli wa habari hapa Tanzania. Very smart hayumbi kanyooka ndio maana majizo alipomletea mambo meusi akamuachia radio yake na kipindi kufa kabisa.
Sasa ametoa mtazamo wake wa kawaida alafu msanii anataka kumziba mdomo?
Hando kaisema serikali na hata walipomshambulia hajaomba radhi mwenye radio ndio alipiga magoti wewe nandy unajiliza bure Hando ni chuma kweli kweli usitafute huruma kupitia brand ya Wasafi. Tuwaache wanahabari watoe mitazamo yao wewe kama unataka kujibu toa wimbo.
Lakini tuzungumze ukweli nandy baada ya kuolewa mnaona nini kunaendelea wajameni?
Hando piga kazi watanzania tupo na wewe iwe jua iwe mvua.
Umesikiliza alichoongea Hando, au umekrupuka tu na emotion ya bi mdadaPumba tupu unaongea hando kweli anapendwa, maulidi bila hando si kitu choka mbaya, ila kitendo cha kumnanga nandy ni kaharibu kila kitu, yeye hando kama alinyimwa kuingia kwenye harusi yao kwanini awanange si angekaa kimya tu🙄🙄🙄 kingine majizo na radio yake hawawategemei hao, efm ni brand kubwa kama hujui wewe acha ushabiki maandazi wewe
Wewe ndio unakurupuka kushabikia vitu ambavyo huvijui sijui unalipwa🙄🙄🙄🙄tafuta kwa kina ujue kiazi wewe hebu tokaaaUmesikiliza alichoongea Hando, au umekrupuka tu na emotion ya bi mdada
Mbona kutukanana tena bossWewe ndio unakurupuka kushabikia vitu ambavyo huvijui sijui unalipwa🙄🙄🙄🙄tafuta kwa kina ujue kiazi wewe hebu tokaaa
Kwa hiyo Hando alinyimwa kwenda kula ubwabwa akamaind 😂😂 hivi kwa nini watu mnakuwa hamna akili kiasi hiki ni shule ndogo au maumbile?Pumba tupu unaongea hando kweli anapendwa, maulidi bila hando si kitu choka mbaya, ila kitendo cha kumnanga nandy ni kaharibu kila kitu, yeye hando kama alinyimwa kuingia kwenye harusi yao kwanini awanange si angekaa kimya tu🙄🙄🙄 kingine majizo na radio yake hawawategemei hao, efm ni brand kubwa kama hujui wewe acha ushabiki maandazi wewe
Hana akili huyo mtoto kichwani kama puto.Mbona kutukanana tena boss
Mkuu hili papai rojo la mwandinga linamuonea wivu mwanamke mwenzake kuolewa alitaka aolewe yeye.Thubutu, jay z alioa hakuchuja, Beyonce aliolewa hakuchuja, Michael Jackson alioa hakuchuja, Eminem alioa hakuchuja. The list goes on
Bora yeye puto kuliko wewe papai rojo 😂Hana akili huyo mtoto kichwani kama puto.
Mbona wewe lukole ulinyimwa dera ukanuna ??Kwa hiyo Hando alinyimwa kwenda kula ubwabwa akamaind 😂😂 hivi kwa nini watu mnakuwa hamna akili kiasi hiki ni shule ndogo au maumbile?