Hongera Gerald Hando kwa kusimamia weledi kwenye kazi yako. Piga kazi watanzania tunakukubali

Thubutu, jay z alioa hakuchuja, Beyonce aliolewa hakuchuja, Michael Jackson alioa hakuchuja, Eminem alioa hakuchuja. The list goes on
Hajui kitu huyo

Yeye anawaabudu wasaf mpaka basi

Ova
 
Yeye sasa hivi ni mke wa mtu na mama aachane sasa na mambo ya vijana alichoambiwa ni ukweli vijana wanapenda watu wanaofanana nao ndio maana wasanii hawaoi wala kuolewa [emoji23]
Kwa beyonce vipi?
 
Pumba tupu unaongea hando kweli anapendwa, maulidi bila hando si kitu choka mbaya, ila kitendo cha kumnanga nandy ni kaharibu kila kitu, yeye hando kama alinyimwa kuingia kwenye harusi yao kwanini awanange si angekaa kimya tu🙄🙄🙄 kingine majizo na radio yake hawawategemei hao, efm ni brand kubwa kama hujui wewe acha ushabiki maandazi wewe
View attachment 2595372

Ni wazi Gerald Hando ni mmoja wa manguli wa habari hapa Tanzania. Very smart hayumbi kanyooka ndio maana majizo alipomletea mambo meusi akamuachia radio yake na kipindi kufa kabisa.
Sasa ametoa mtazamo wake wa kawaida alafu msanii anataka kumziba mdomo?

Hando kaisema serikali na hata walipomshambulia hajaomba radhi mwenye radio ndio alipiga magoti wewe nandy unajiliza bure Hando ni chuma kweli kweli usitafute huruma kupitia brand ya Wasafi. Tuwaache wanahabari watoe mitazamo yao wewe kama unataka kujibu toa wimbo.

Lakini tuzungumze ukweli nandy baada ya kuolewa mnaona nini kunaendelea wajameni?

Hando piga kazi watanzania tupo na wewe iwe jua iwe mvua.
 
Pumba tupu unaongea hando kweli anapendwa, maulidi bila hando si kitu choka mbaya, ila kitendo cha kumnanga nandy ni kaharibu kila kitu, yeye hando kama alinyimwa kuingia kwenye harusi yao kwanini awanange si angekaa kimya tu🙄🙄🙄 kingine majizo na radio yake hawawategemei hao, efm ni brand kubwa kama hujui wewe acha ushabiki maandazi wewe
Umesikiliza alichoongea Hando, au umekrupuka tu na emotion ya bi mdada
 
Pumba tupu unaongea hando kweli anapendwa, maulidi bila hando si kitu choka mbaya, ila kitendo cha kumnanga nandy ni kaharibu kila kitu, yeye hando kama alinyimwa kuingia kwenye harusi yao kwanini awanange si angekaa kimya tu🙄🙄🙄 kingine majizo na radio yake hawawategemei hao, efm ni brand kubwa kama hujui wewe acha ushabiki maandazi wewe
Kwa hiyo Hando alinyimwa kwenda kula ubwabwa akamaind 😂😂 hivi kwa nini watu mnakuwa hamna akili kiasi hiki ni shule ndogo au maumbile?
 
Thubutu, jay z alioa hakuchuja, Beyonce aliolewa hakuchuja, Michael Jackson alioa hakuchuja, Eminem alioa hakuchuja. The list goes on
Mkuu hili papai rojo la mwandinga linamuonea wivu mwanamke mwenzake kuolewa alitaka aolewe yeye.
 
Back
Top Bottom