Hongera Iran kwa kushtukia huu mchezo, ilikuwa ifutwe tukiiona, haya meli ya Marekani imeondoka

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Iran hapa wametumia akili sana kwa kukunja mkia na kunyamaza ndani licha ya kila jitihada kufanywa kuwashika hadi masharubu. Iran ilisema Israel wakiingia Gaza watakua wamevuka mstari, aisei Marekani wakaleta gumeli kama lote na kuweka pale na kusema mwenye kifua ajaribu hata kujikuna, Israel wamepiga pale Gaza, wameingia kote kote na kuvuka kila mstari na kusambaratisha ghasia yote, Iran hakufanya chochote.

Hapa Iran nawapa hongera waliposhtukia mchezo wakapiga kimya, yaani sasa hivi Israel inaua hadi makamanda wa Iran pale Syria, wanajichagulia yupi wa kupiga, Iran bado kimya.......imetafutwa kwa kila mbinu. Japo najua itanasa tu sehemu maana mizuka ya kidini huwapofusha na watajikuta wanabwatuka akbar akbar na kufanya ujinga.

Huku gumeli kumegeuza baada ya kukosa cha kufanya pale.
======================

570876

The American aircraft carrier USS Gerald R. Ford is set to depart the Mediterranean Sea, close to three months since it was deployed to the area in the wake of Hamas's October 7 massacre on Israel and fears of a multi-front war, ABC News reported Sunday night.

The USS Gerald Ford, the latest, largest, and most formidable addition to the US Navy's nuclear carrier fleet, possesses the capability to independently launch strikes on Lebanon, Syria, or Iran.

It is supported by US Air Force refueling planes from the Emirates and sails with a battle group of five destroyers.
 
God bless America,God bless Israel,God bless only Tanzanians Opponents MUNGU ilaani CCM
 
America alisema vile vile Hezbullah akigusa Israel wataishambulia umesahau au huwa unapoteza memories

Iran unajua vipi kama hawezi shambulia Israel?

America Yemen anaitafutia nchi ziwe naye ili wampige Yemen ye si alijidai mwamba kuleta carries zake hapo Middle East.
 
Wa houthi wamegongwa huko baharini na jeshi la marekani boti nne za wahouthi zimezamishwa na na boti tatu zimetoroka na wapiganaji kumi wa houthi wameuawa walijaribu kujipendekeza kwa marekani

Marekani huwa hana shughuli ndogo! Halafu huwa anajifanya kama anaonewa hivi ila akijibu mashambulizi lazima yasababishe maafa makubwa kwa magaidi[emoji3][emoji2]

Hizo tweets si sawa na haya maandiko yenu mnayoyaandika humu. Ameshindwaje vita wakati kaipindua Gaza nje ndani na anaendelea kutoa kipondo na hadi sasa si chini ya Wapalestina 20,000 wameuawa. Maamuma mkubwa wewe.
Hata we tukikupa bunduki na lori kumi za risasi uende ukapige wanawake na watoto utashindwa kweli kuuwa watu 20000 tu ndugu. Tena kwa miezi mitatu
 
Hawa kondoo mtu anaye ambiwa na Yesu hakuna binadamu alimuona Mungu akaishi na bado wanasema Yesu ni Mungu.

Waisrael wanwacheka wakristo wanawambia hawana dini na nimashetani na bado wanasema eti wao na Israel Mungu wao mmoja 😄

Paulo aliwavuruga akili mpa kuwambia Israel ni taifa teule 😄 labda uteule wa kishoga.
 
Back
Top Bottom