Hongera Iran kwa kushtukia huu mchezo, ilikuwa ifutwe tukiiona, haya meli ya Marekani imeondoka

Iran hapa wametumia akili sana kwa kukunja mkia na kunyamaza ndani licha ya kila jitihada kufanywa kuwashika hadi masharubu. Iran ilisema Israel wakiingia Gaza watakua wamevuka mstari, aisei Marekani wakaleta gumeli kama lote na kuweka pale na kusema mwenye kifua ajaribu hata kujikuna, Israel wamepiga pale Gaza, wameingia kote kote na kuvuka kila mstari na kusambaratisha ghasia yote, Iran hakufanya chochote.

Hapa Iran nawapa hongera waliposhtukia mchezo wakapiga kimya, yaani sasa hivi Israel inaua hadi makamanda wa Iran pale Syria, wanajichagulia yupi wa kupiga, Iran bado kimya.......imetafutwa kwa kila mbinu. Japo najua itanasa tu sehemu maana mizuka ya kidini huwapofusha na watajikuta wanabwatuka akbar akbar na kufanya ujinga.

Huku gumeli kumegeuza baada ya kukosa cha kufanya pale.
======================

570876

The American aircraft carrier USS Gerald R. Ford is set to depart the Mediterranean Sea, close to three months since it was deployed to the area in the wake of Hamas's October 7 massacre on Israel and fears of a multi-front war, ABC News reported Sunday night.

The USS Gerald Ford, the latest, largest, and most formidable addition to the US Navy's nuclear carrier fleet, possesses the capability to independently launch strikes on Lebanon, Syria, or Iran.

It is supported by US Air Force refueling planes from the Emirates and sails with a battle group of five destroyers.
Ni mjinga pekee yake anayewaza kufikiri Marekani na Israel wanaweza kuifuta iran.wale wanajiweza hata kisayansi.
 
Israel imechokozwa Kwa makusudi kabisa wote tumeona kilichofanywa October 7 na magaidi.

R.I.P Joshua Mollel.
Wewe punguani kweli kachokizwa vipi wakati anakalia ardhi ya Palestina kwa nguvu halafu, huyo Joshua kauliwa na Israel Baba yake mzazi kasema wazi yule kwenye mitandao siyo mwanae kaenda Israel kujua ukweli.
 
Iran hapa wametumia akili sana kwa kukunja mkia na kunyamaza ndani licha ya kila jitihada kufanywa kuwashika hadi masharubu. Iran ilisema Israel wakiingia Gaza watakua wamevuka mstari, aisei Marekani wakaleta gumeli kama lote na kuweka pale na kusema mwenye kifua ajaribu hata kujikuna, Israel wamepiga pale Gaza, wameingia kote kote na kuvuka kila mstari na kusambaratisha ghasia yote, Iran hakufanya chochote.

Hapa Iran nawapa hongera waliposhtukia mchezo wakapiga kimya, yaani sasa hivi Israel inaua hadi makamanda wa Iran pale Syria, wanajichagulia yupi wa kupiga, Iran bado kimya.......imetafutwa kwa kila mbinu. Japo najua itanasa tu sehemu maana mizuka ya kidini huwapofusha na watajikuta wanabwatuka akbar akbar na kufanya ujinga.

Huku gumeli kumegeuza baada ya kukosa cha kufanya pale.
======================

570876

The American aircraft carrier USS Gerald R. Ford is set to depart the Mediterranean Sea, close to three months since it was deployed to the area in the wake of Hamas's October 7 massacre on Israel and fears of a multi-front war, ABC News reported Sunday night.

The USS Gerald Ford, the latest, largest, and most formidable addition to the US Navy's nuclear carrier fleet, possesses the capability to independently launch strikes on Lebanon, Syria, or Iran.

It is supported by US Air Force refueling planes from the Emirates and sails with a battle group of five destroyers.
Uharo mtupu.

Iran anapigana vita na Israel kupitia vijana wake Hezbollah, Yemen, Syriq, soma hii wewe punguani.

View: https://x.com/marionawfal/status/1741821632354652488?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Watu wa Gaza wakiona unaaandika ushuzi kama huu wakati wao kila siku wanakufa Kwa dozens watakutia madole.
Wafuasi wa ala na mikobasi yao gaza wanangamia wao wako bize na fix netanyau anawawaisha tu mazombi pale gaza kifusi tu
 
Hata we tukikupa bunduki na lori kumi za risasi uende ukapige wanawake na watoto utashindwa kweli kuuwa watu 20000 tu ndugu. Tena kwa miezi mitatu
Mbona mlijiamulia pale israwl mliua wanawake na watoto 1400 kwanini hamkuua 200000
 
Ni mjinga pekee yake anayewaza kufikiri Marekani na Israel wanaweza kuifuta iran.wale wanajiweza hata kisayansi.

Ustadhi bado upo.....Ni pumbavu lililokubuhu pekee linalodhani Iran haipigiki.
 
Back
Top Bottom